Utafanya nini ukijua hela zako anatumia mwanaume mwingne?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week na kodi unalipa.

Je, siku ukigundua kuwa huyo pisi kali ana mtu ampendaye ambaye hatoi hata 100, ila anavaa anawaka, anakula chakula kizuri, na anapendwa kuliko wewe

Mbaya zaidi ukagundua wana mipango ya kuoana na demu kamnunulia jamaa mpaka boda boda kwa hela yako, ten zaidi ya moja.

Ukafuma na sms akikupondea kuwa anakupendea hela tu na hana hisia na wewe, kamuambia mshkaji una kibamia na husimamishi vizuri!! More enough kampa na location yako mpaka jamaa akakufahamu kwa sura

Jamani haya mambo yapo, sema nn tunashauriana tu, mtafanyaje kwa hali kama hii nyie wenzetu wenye mahela yenu aka wahongaji?

Mwendelezo:

Wanajamvi, wakubwa shikamoni na vijana habarini!

Nilitoa uzi juzi kati juu ya nini utafanya ukishagundua kuwa pesa unazohonga kwa mtu umpendaye kama mwanaume rijali, zinakwenda kumfaidisha mwanaume mwingine.

Ama kweli usilojua ni sawa na usiku wa giza, ile situation ni yangu na imenitokea na nilitaka kupata ushauri japo haukunitosha.

Nina demu wangu, yupo chuo mwaka wa pili, tulikubaliana kuwa nitamuoa akimaliza chuo, nimempangia nyumba nzima, nimempa usafiri(gari, IST new model), laptop nimenunulia nzuri, ana mkopo ila ada na hela ya kula namtumia 250k kila baada ya week mbili.

Nimekosa nini mimi? Nimegundua kuwa kumbe alikuwa akinitusi na kunikejeli yeye na mtu wake ambaye hata kazi wala hela hana, yaani natuma hela yeye anahonga huyo mpuuzi, gari yake anaendesha huyo mpuuzi na mengine mengi.

Wanafikia hatua ya kunicheka na kuyatusi maumbile yangu, naandika kwa uchungu mkubwa sana, nafikiria nifanye nini?

Pesa nampa kwa nini sipati mapenzi ya kweli? Nafikiria nimfanye nini yeye na huyo mpuuzi? Nina siku ya 4 sijaenda job nipo tu ndani, napitia wakati mgumu, kuhusu chuo huyo mpuuzi anasoma UDSM law.

Nishaurini nisije fanya uamuzi mbaya!
 
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week na kodi unalipa.

Je, siku ukigundua kuwa huyo pisi kali ana mtu ampendaye ambaye hatoi hata 100, ila anavaa anawaka, anakula chakula kizuri, na anapendwa kuliko wewe

Mbaya zaidi ukagundua wana mipango ya kuoana na demu kamnunulia jamaa mpaka boda boda kwa hela yako, ten zaidi ya moja.

Ukafuma na sms akikupondea kuwa anakupendea hela tu na hana hisia na wewe, kamuambia mshkaji una kibamia na husimamishi vizuri

Jamani haya mambo yapo, sema nn tunashauriana tu, mtafanyaje kwa hali kama hii nyie wenzetu wenye mahele yenu aka wahongaji??
Subiri kwanza....wakati huo ukiwa na uhakika gani kama wewe ulianza kujipendekeza wakati yeye bado hakua na ukaribu na huyo mwingine? Kuna wakati huwa tunadandia garimoshi kwa mbele bila kujua, "if you can't convince her, confuse her" si ni kwa imani ya kuwa pesa ndio kila kitu?
 
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week na kodi unalipa.

Je, siku ukigundua kuwa huyo pisi kali ana mtu ampendaye ambaye hatoi hata 100, ila anavaa anawaka, anakula chakula kizuri, na anapendwa kuliko wewe

Mbaya zaidi ukagundua wana mipango ya kuoana na demu kamnunulia jamaa mpaka boda boda kwa hela yako, ten zaidi ya moja.

Ukafuma na sms akikupondea kuwa anakupendea hela tu na hana hisia na wewe, kamuambia mshkaji una kibamia na husimamishi vizuri!! More enough kampa na location yako mpaka jamaa akakufahamu kwa sura

Jamani haya mambo yapo, sema nn tunashauriana tu, mtafanyaje kwa hali kama hii nyie wenzetu wenye mahela yenu aka wahongaji??
Thread za wavulana hizi.
 
Utafanyanini Sasa wakati ndo ukweli wenyewe unakata mirijaaa aone Cha mtema kuni
 
Ulitakiwa kujiuliza maswali haya kabla hujaanza mpangia nyumba...
Unampangia binti nyumba ubungo we unakaa tegeta..
Nyumba ina wavulana umri wake tele..
 
Ni kumfuata tu anayekula hela zako na kumjuza hizo hela anazokula ni zako ila anazipata kupitia mtu wa kati iwapo anataka kuendelea kuzifaidi hizo hela mtu wa kati atoke ili aingie yeye kuzitafuna hizo hela vizuri ila awe tayari kupoteza hazina yake ya marinda aliyoitunza miaka miaka
 
Back
Top Bottom