Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

mchungaji maarufu dunia joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa nec na haya ni maneno yake:there is a country in east africa,it has election this year,the opposition willwin but it wont rule,bring the flag of that country so that we pray for it,
my take here:ccm we want peace,tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Huko ndiko anakotupeleka Kikwete.

Wahafanya kampeni misikitini. Wakitoka nje wanakemea udini.

Wengine wanathubutu kusema Kama si Kikwete basi ni Lipumba. Matamshi ya namna hii yana ujumbe ndani yake ambao ni mjinga tu anaweza shindwa kuelewa.

Dr. Slaa for Life!!!!
 
Ni huyu jamaa ila nimejaribu kutafuta utbiri huo sijauona. Ni Sheikh Yahya type wa kipastor



[video]http://viewers.streamingfaith.com/viewer/viewerframes_parent.asp?b=&p=&networkID=3000570&WMP=1&WMPv=7&RPIE=1&RPNAV=0[/video]


Kamanda kama hujaona utabiri wake basi you one among doubting Tomases of Today!!
 
Last edited by a moderator:
kumbe hata wakiristo wanao shehe yahya wao!!!!
yaani muislamu akitabiri ni mtapeli lakini mkiristo akitabiri.....ni ufunuo au sio!!!

chadema oyeeeeeeeeee!!!!

Real prophecy ni karama ya Mungu na huwa anawakirimu watumishi wake for the purpose of warning, rebuking, building, to mention just a few. However, the devil always tries to counterfeit karama za Mungu ili kuwapotosha wanadamu na huwa anatumia agents wake ambao ni wanadamu pia.

Sasa the difference kati ya hawa wawili ni kuwa Mungu wa kweli hufanya hayo bila charges zozote na mtumishi akionesha matendo yanayoambatana na utakatifu kama upendo, huruma,nk while huyu wa shetani atachaji watu, atatishia watu mfano ukigombea uongozi utakufa, kuitisha vitu mfano miguu ya albino, ngozi ya mtu, nk Na kufanya hivyo watu wengine wanakufa wasio na hatia, kama albino.

So kifupi ni kuwa hata Mungu anatoa karama ya prophecy lakini sio ile ya jamaa yetu wa mitaa ya kati, yule anafanya yanayomchukiza Mungu.
 
mchungaji maarufu dunia joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa nec na haya ni maneno yake:there is a country in east africa,it has election this year,the opposition willwin but it wont rule,bring the flag of that country so that we pray for it,
my take here:ccm we want peace,tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Tuonyeshe sehemu ya hayo mahubiri tusikilize
 
Uzuri wa hawa ni watumishi wa MUNGU wa kweli na huongozwa na Roho Mtakatifu katika neno la hekima na si kuongozwa na mapepo kama ilivyo kwa mashehe watumishi wa ibilisi.

Mambo ya utabiri wa nyota yanahusiana vipi na utumishi wa Mungu?
 
kumbe hata wakiristo wanao shehe yahya wao!!!!
yaani muislamu akitabiri ni mtapeli lakini mkiristo akitabiri.....ni ufunuo au sio!!!

chadema oyeeeeeeeeee!!!!

Kadogoo kumbuka Allah anakataza kwa nguvu zote ushirikina, kuna waislaim hawamuuingi mkono sheikh yahya kwa sababu ya kuamini anaendekeza ushirikiana hivyo afuati maagizo ya mola wao. hivyo sheikh yahya si muwakilishi wa waislam ktk tabiri zake, anafanya hivyo kwa mapenzi yake (au ni kazi yake) na Joshua anawakirisha waumini wake ktk maono yake na si wakristo wote.

Hivyo hapa hatushindanishi ukristo na uislam. Cha msingi wenye hoja za kumuungamkono Sheikh. YAHYA wazitoe na zijadiliwe na kufanyiwa upembuzi yakinifu hapa JF ili tubaini kama anachakachua siasa na amani yetu au la. Vilevile waamini na wafuasi ya Pastor Joshua nao watoe utetezi wao wa kiimani na kisayansi kuhusiana na maono yake ili wana JF tujadili na kufanya upembuzi au uchambuzi ulio bobea tuone ukweli au sanaa za hayo maono yake.

CHA MSINGI NI KUWA tusijikite katika udini maana hatutofika popote zaidi ya kugombana na kutukanana humu JF. Tafadhali tuepuke udini
 
Jamani mimi ni msikilizaji mzuri sana wa Nabii T.B Joshua yule kiongozi wa kanisa la Synagoue Chuch of All Nations. Alitabiri ushindi wa Rais wa Ghana, alitabiri Obama kuwa raisi wa Marekani, ametabiri mambo mengi na yametokea.

Leo rafiki yangu mmoja ameniambia kuwa ametabiri kuwa katika uchaguzi wa Tanzania MPINZANI atashinda lakini hataongoza nchi. Kama ni kweli hii ina maana gani? Slaa ashinde lakini asiongoze? ama ina maana JK atapindua matokeo? Ama ina maana kuwa JWTZ wataingilia kati wakiona Dr Slaa ameshinda?

Mimi hili limenichanganya hasa ukitilia maanani kuwa huyu nabii kila analotabiri linatokea kweli.
 
Jamani mimi ni msikilizaji mzuri sana wa Nabii T.B Joshua yule kiongozi wa kanisa la Synagoue Chuch of All Nations. Alitabiri ushindi wa Rais wa Ghana, alitabiri Obama kuwa raisi wa Marekani, ametabiri mambo mengi na yametokea.

Leo rafiki yangu mmoja ameniambia kuwa ametabiri kuwa katika uchaguzi wa Tanzania MPINZANI atashinda lakini hataongoza nchi. Kama ni kweli hii ina maana gani? Slaa ashinde lakini asiongoze? ama ina maana JK atapindua matokeo? Ama ina maana kuwa JWTZ wataingilia kati wakiona Dr Slaa ameshinda?

Mimi hili limenichanganya hasa ukitilia maanani kuwa huyu nabii kila analotabiri linatokea kweli.

Lete source, ikiwa source ni wewe sema hapa
 
kwanini hujaamini.HUJAJIULIZA KUHUSU REDET NA SYNOVATE KULIKONI HUYO T.B JOSHUA AMBAYE NI SAWA 2 NA SHEHK YAHAYA?
 
Leo rafiki yangu mmoja ameniambia kuwa ametabiri kuwa katika uchaguzi wa Tanzania MPINZANI atashinda lakini hataongoza nchi.

Mbona ulisema wewe ni msikilizaji mzuri wa T.B Joshua lakini baadaye unatuambia taarifa za kusimuliwa........Hearsay..............................What is happening to you?

Jamani mimi ni msikilizaji mzuri sana wa Nabii T.B Joshua yule kiongozi wa kanisa la Synagoue Chuch of All Nations.

 
Mwenye reliable source aweke hapa, tusiendelee kuchangia unless tutafanya upotoshaji, leteni source ya ukweli.
 
Nami pia huwa namfatilia kwa karibu sana huyu Senior Prophet TB Joshua wa SCOAN. Kwa bahati mbaya for the last two weeks, nilizikosa ibada zake live za Jumapili. Lakini ikiwa kama kweli, huyu mtumishi amesema hivyo, basi kwa kweli imekula kwetu, kwa misingi yake utabiri wake wote autoao huwa sahihi. Kwa mfano, nilishuhudia akitabiri yafuatayo na yalitokea,

1. Alitabiri kuhusu the current President wa Nigeria (Jonathan) Kuwa atakuja kuwa rais.
2. Alitabiri the current Rais wa Ghana, kuwa uchaguzi utaahirishwa mara tatu na matokeo yatatoka mwaka unaofuata na ikawa kweli,
3. Kifo cha michel Jackson, alikitabiri , tena sio kutabiri tu, na kuwaomba wampeleke kwa ajili ya delivarence,
4. Ilitabiri ajari ya train India,
5. Alitabiri tetemeko la HAITI
6. Na hata jana ametabiri kuhusu uchaguzu wa nchi yao next year ( Nigeria) kuwa anaona kutakuwa na extension three times, na pia hali ya hatari.
7. Alitabiri ile Ndege iliyowaua viongozi wa juu wa Serikali ya Poland, na mengine mengi.

Kwa kifupi, narudia tena kusema, ikiwa kama huyu jamaa kweli ametabiri hivyo, basi imekula kwetu.

Maoni yangu. - Zifanyike juhudi za makusudi na za haraka za watu kumtafuta huyu mtu ili atufunulie zaidi. Kwani huwa anasema ikiwa akitabiri kitu na wahusika wakamfuata kwa maelezo zaidi, atawaambia kila kitu na hali itakavyokuwa. Mie naomba mwenye namba za Dr Slaa au Viongozi wa Chadema, kwani naamini hao wanamtegemea sana Mungu, niwapigie niwaombe waende wakamwone huyu Nabii. Kwa hakika TB Joshua si wakawaida.
 
Jamaica.jpg
 
Jamani tuache masihala na hili, ikiwa kama kweli huyu mtu katabiri, basi kuna kitu kweli kitatokea. Huyu mtu hatumii majini, anatumia Biblia na jina la Yesu. Majina kupita majina yote. Tuache masihala kabisa.
 
Back
Top Bottom