Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Hili halihitaji utabiri - mbona liko wazi? Hivi mnategemea nini wakati hatuna tume huru ya uchaguzi na katiba inasema wazi kuwa ikishatangaza mshindi hakuna mahakama yoyote inayoweza kuhoji? Watu acheni kuwa vipofu!
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Huyo siyo Mungu,kwani Mungu hana mipaka,hakuna lisilomshinda.Mapenzi ya Mungu hayana masharti anaweza yote.kama Mungu anapenda hakuna wakuzuia.
 
Back
Top Bottom