Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Nitabaki Tomaso mwenye mashaka juu ya unabii huu.

Je lini ujumbe unaitwa unabii? Haiwezekani pale mchakato unapoanza. Hii inayoitwa unabii ni matarajio ya watanzania wengi hata wa kijijini. Huhitaji ushahidi kwa hili unatazama mwenendo wa mchakato mzima na jinsi serikali inavyoeendeshwa, kauli mbiu na unahisi kuwa kama hawa wanasema ushindi ni lazima na wengine hawadanganyiki matokeo nini?. Kama ingekuwa unabii yaneshasemwa mwaka kabla.

Je unajimu ni nini? na unatofauti gani na unabii? Kwa leo hapa Tanzania yote ni kama sawa.

Kinachonisikitisha sana tamaa ni jinsi tunavyoweza kudanganyika kwa urahisi na kuamini super natural powers. Hii imetumika sana kuwadanganya watu wengi na kuwatawala. Hii hutumika kuhasi akili za watu, ili kuwanyima udadisi na kufikiri bali kuamini juu ya nguvu hizi zisizoonekana. Mifano ni mingi sana lakini yatosha kueleza jinsi Shekh Yahaya alivyotumika hapa Afrika ya mashariki katika utekelezaji wa mbinu a kijasusi ambapo yeye alitumika kuwa tayarisha watu kiakili na kutoa jibu la haraka kwa tatizo kubwa. Albino wanavyouawa nk

Wakati sisi tunabaki hapo wenzetu hujifunza tabia zetu na kutupa yale tunayopenda na kuamini. Mifano ni uenyekiti mwenza wa BWM juu ya globalisation na kumpa sifa kemkem. Nani asiye jua tabia yake ya kupenda kusifiwa na kuona maadui wanaomtahadharisha? Waliofanya hivyo walifaidi na kumwingiza mzee wa watu bikira wa rushwa katika umalaya wa rushwa.

Je tutajikomboa na hil?

Imani kama dini iliisha itwa opium of the people na communist kwa vile iliwafanya watu wasifikiri.
 
Niliona replay ya unabii/maono ya TB Joshua kwa alikuwa Rais wa Poland, alisema kwamba kuna bendera itapepea nusu mlingoti, rangi 2...., baadaye ndio hivyo ikatokea.
Kama kuna watu wanayo facts. weka links hapa.
Kwa nini hali si nzuri:-
1. Watu wameteseka chini ya utawala wa CCM wamechoka
2. CHADEMA ameuza sera zinauzika watu wanatakuzijaribu

BUT
1. CCM hasa mafisadi hawako tayari kuachia tonge
2. Hofu ya hukumu kwa mafisadi

Suluhisho:
1. Kila mtu amwombe Mungu wake anayemwamini mabadiliko mazuri na ya amani.
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

NAsikia kuwa JK alimwalika lakini Nabii TB Joshua akakataa.

Hiyo habari ya utabiri nitaanza kuifuatilia maana kila siku lazima niitazame Emmanuel TV. Lakini kama ni kweli mbona sijasikia hata kutoka kwa marafiki zangu ambao nao wamefunga nyungo na wanaangaliaga Emmanuel TV?
 
Kadogoo kumbuka Allah anakataza kwa nguvu zote ushirikina, kuna waislaim hawamuuingi mkono sheikh yahya kwa sababu ya kuamini anaendekeza ushirikiana hivyo afuati maagizo ya mola wao. hivyo sheikh yahya si muwakilishi wa waislam ktk tabiri zake, anafanya hivyo kwa mapenzi yake (au ni kazi yake) na Joshua anawakirisha waumini wake ktk maono yake na si wakristo wote.

Hivyo hapa hatushindanishi ukristo na uislam. Cha msingi wenye hoja za kumuungamkono Sheikh. YAHYA wazitoe na zijadiliwe na kufanyiwa upembuzi yakinifu hapa JF ili tubaini kama anachakachua siasa na amani yetu au la. Vilevile waamini na wafuasi ya Pastor Joshua nao watoe utetezi wao wa kiimani na kisayansi kuhusiana na maono yake ili wana JF tujadili na kufanya upembuzi au uchambuzi ulio bobea tuone ukweli au sanaa za hayo maono yake.

CHA MSINGI NI KUWA tusijikite katika udini maana hatutofika popote zaidi ya kugombana na kutukanana humu JF. Tafadhali tuepuke udini

MIMI SIKUBALIANA NA BINAADAMU YOYOTE ANAEFANYA KAZI ZA KUTABIRI MAISHA YA WATU NA HALI ZAO ZITAKUWAJE!,LABDA WANAOTABIRI HALI ZA HEWA KAMA KUTAKUWA NA MVUA AU BARIDI AU JOTO NK. SIKU ZINAZOKUJA.

HAWA HUWA NI WATABIRI KITAALAMU ZAIDI AIDHA KWA KUTUMIA VIFA MAALUM KAMA SETLITE NK.
LAKINI WATABIRI WANAO DAI ATI WAO NI MITUME, AU WAMEOTA WAKIWA USINGIZINI, AU WAMEPATA UFUNUO TOKA MBINGUNI, AU WANATABIRI KWA KUTUMIA NYOTA!!HAWA MIMI NAWAITA WATAPELI!! AWE NI MUISLAMU AU MKIRISTO!

SASA KINACHONISHANGAZA NI KUWA BAADHI YA JF TENA WANAODAI ATI WAO NI The Home of Great Thinkers WANAPOSHABIKIA TABIRI ZA MCHUNGAJI WA KIMAREKANI NA KUPONDA TABIRI ZA SHEHE WA KITANZANIA!!!

SASA NAJIULIZA MBONA JF WANAUSHABIKI WA KITOTO HIVYO!! YAANI MTABIRI AKIWA MTANZANIA ANAITWA MTAPELI LAKINI KAMA NI MMAREKANI BASI HUYU NI MTUME NA UTABIRI WAKE HUWA KWELI!!!

NARUDIA TENA MIMI SIAMINI KTK UTABIRI LAKINI USHABIKI HUU WA KUPIGIA DEBE UTABIRI WA MMAREKANI UMENIACHA HOI MPAKA NAJIULIZA HIVI HAWA MASHABIKI WA CHADEMA MBONA SHEHE YAHAYA HUSSEIN ANAPOITABIRIA USHINDI CCM HUWA WANAMUITA TAPELI NA KAMA ANGETOKEA SHEHE MWINGINE AU MCHUNGAJI ANAETABIRIA USHINDI CHADEMA BILA SHAKA WANGEWAITA MITUME!! NA HUU NDIO UZUNGUMKUTI AU UNAFIKI ULIOJIFICHA NDANI YA CHADEMA!!
 
ndio huyo huyo mkuu fanya utaratibu umpelekee flag yetu aiombee

naona sasa huku ndio kuchanganyikiwa!! Yaani bendera ya taifa apelekewe mchungaji mtabiri kuiombea!! Yaani hii bendera yetu mumeigeuza kuwa bendera ya walokole!! Yaani tanzania wanaishi wakiristo peke yao!! Kweli nyinyi chadema ndio munataka mupewe ridhaa ya kuongoza nchi!! Ikiwa mawazo yenu ndio haya basi kura zetu hampati ngoooo!!
 
Crap
 
Tabu iko wapi hata sheikh yahya angesema apelekewe bendera ya Taifa ili CCM washinde si ungepeleka
 
naona sasa huku ndio kuchanganyikiwa!! Yaani bendera ya taifa apelekewe mchungaji mtabiri kuiombea!! Yaani hii bendera yetu mumeigeuza kuwa bendera ya walokole!! Yaani tanzania wanaishi wakiristo peke yao!! Kweli nyinyi chadema ndio munataka mupewe ridhaa ya kuongoza nchi!! Ikiwa mawazo yenu ndio haya basi kura zetu hampati ngoooo!!

kuna ujinga mwingi humu ndani@!!!
 
mim, nasema, utabiri ni imani, ya mtu, na m2 harazimishwi kuamini, yanaweza kuwa kweli au yasiwe, akili kichwani mwako.
 
JK alimwalika TB Joshua nchini Tanzania mwezi July 2010, kwa gharama za serikali, Joshua alimpa ukweli wa hali halisi itakavyokuwa baada ya uchaguzi kuwa upinzani watachukua uongozi wa serikali. JK alikuwa amemwalika aje kumuombea aweze kurejea tena Ikulu. Ziara yake nchini ilifutwa dakika za mwisho.
 
Jamani mimi ni msikilizaji mzuri sana wa Nabii T.B Joshua yule kiongozi wa kanisa la Synagoue Chuch of All Nations. Alitabiri ushindi wa Rais wa Ghana, alitabiri Obama kuwa raisi wa Marekani, ametabiri mambo mengi na yametokea.

Leo rafiki yangu mmoja ameniambia kuwa ametabiri kuwa katika uchaguzi wa Tanzania MPINZANI atashinda lakini hataongoza nchi. Kama ni kweli hii ina maana gani? Slaa ashinde lakini asiongoze? ama ina maana JK atapindua matokeo? Ama ina maana kuwa JWTZ wataingilia kati wakiona Dr Slaa ameshinda?

Mimi hili limenichanganya hasa ukitilia maanani kuwa huyu nabii kila analotabiri linatokea kweli.

Isikuchanganye mzee. Unabii maana yake tunapewa lijalo kabla ya kufika. Yaani tunaambiwa tuwe tayari kukutana na jambo fulani.

Lakini hilo narudia lisitutishe kama tutakaa na kusimama kwenye nafasi yetu. Mungu wetu ni mkubwa mnoooooooo, na hatuambii ili kututisha lakini anatu alert ili tusimame kwenye zamu yetu kubadilisha mambo katika ulimwengu wa Roho. Kumbuka yaliyotokea Ninawi baada ya Yona kupeleka unabii wa nini kinakwenda kutokea.

Tukisimama kwenye nafasi yetu tukaomba kwa Mungu wetu aingilie kati hayo yaliyokusudiwa na shetani hayatafanikiwa hata iweje. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ni mkuu saaaaaaaaana.
 
Kuwa makini na utabiri wa huyu mtu. Kuna skendo zinamzunguka nyingi sana. Waliokuwa watumishi wake wakaribu na kujitenga naye walitoa the whole story jinsi alivyokuwa anawatumia kukusanya taarifa, then anatumia hizo taarifa kutolea utabiri.

Kama huamini check kwenye youtube hii link.

Au unaweza kusearch title yake inaitwa deception of Age.

Baada ya kuona hiyo ndio utaelewa kwamba politics, and religion have been closely linked na mizengwe sometimes. Iam not trying to talk about certainty, but iam just trying to say be aware pia na ujaribu kuchanganya na za kwako.

ina maana alipotabiri kifo cha wako jacko au kupigwa kwa waziri mkuu wa Italy alituma wasaidizi wake kwa Mungu wakachunguze?
 
Last edited by a moderator:
JK alimwalika TB Joshua nchini Tanzania mwezi July 2010, kwa gharama za serikali, Joshua alimpa ukweli wa hali halisi itakavyokuwa baada ya uchaguzi kuwa upinzani watachukua uongozi wa serikali. JK alikuwa amemwalika aje kumuombea aweze kurejea tena Ikulu. Ziara yake nchini ilifutwa dakika za mwisho.

Source Please?
 
Isikuchanganye mzee. Unabii maana yake tunapewa lijalo kabla ya kufika. Yaani tunaambiwa tuwe tayari kukutana na jambo fulani.

Lakini hilo narudia lisitutishe kama tutakaa na kusimama kwenye nafasi yetu. Mungu wetu ni mkubwa mnoooooooo, na hatuambii ili kututisha lakini anatu alert ili tusimame kwenye zamu yetu kubadilisha mambo katika ulimwengu wa Roho. Kumbuka yaliyotokea Ninawi baada ya Yona kupeleka unabii wa nini kinakwenda kutokea.

Tukisimama kwenye nafasi yetu tukaomba kwa Mungu wetu aingilie kati hayo yaliyokusudiwa na shetani hayatafanikiwa hata iweje. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ni mkuu saaaaaaaaana.

Hapa umesema kweli, tusimame kwenye nafasi zetu!! jambo hili halitatokea maadamu tumeambiwa kabla!
 
Mimi nilota pia!
Kwamba Slaa atashimda, ila atawekewa zengwe ikiwa ni pamoja na kuswekwa ndani kwa tuhuma za uchochezi.
Atanyanyaswa kama Mandela , japo kwa muda mfupi, lakini mwisho watu mahiri wataingilia kati, tena bila umwagaji damu , aachiliwe.
Hapo atakabidhiwa nchi na kuiongoza kule tutakako.

Na nikaota, JK ameshika tama, haamini kinachotokea. Ameichukia JF kuliko chochote.
Niliota, na tazama nilimwona JK akisukuma gari kwenye matope, huku mikono yake ikiwa imechafuka. Nikamwambia kwamaba hiyo ndiyo hali ya watanzania wengi.
Si utani, nimeota hivyo, ama kwa ajili ya mabishano mengi ya kisiasa, au kama ni ndotu tu, sijui....
ILA:
Kwa yeye (JK) kuwapigia magoti wazee wa CCM yaani, Mwinyi, Mkapa, Suamaye na Mangula, ni wazi anajaribu kujitoa kwenye tope alilozama ndani yake. Ni vile nilivyoota akichafuka mikono na kukata tamaa....
Kuna uwezekano kabisa kwamba, kwa kuwarudia Wazee, JK yuko matopeni....na hivyo anazidi kudidimiza jahazi, kwnai mbinu za hao wazee ,kamwe haziwezi endana na mbinu za kina MIraji, Riziwani, nk.....ni lazima kutakuwa na ubishani wa mikakati na hivyo kuididimiza zaidi matopeni CCM na watu wake.
Ni ndoto, ingawa ndoto zangu naamini kwa asilimia 90 plus!
 
Kumbe hata wakiristo wanao shehe yahya wao!!!! Yaani muislamu akitabiri ni mtapeli lakini mkiristo akitabiri.....ni ufunuo au sio!!!

chadema oyeeeeeeeeee!!!!

ungejua usingeongea kabisa, kwasababu utachokoza mengi. wakristo tunao manabii wa Mungu hata leo hivi, hata kama wakitabiri, sisi hatuhusishi na uchawi kama watu wengine wanavyofanya. tatizo la dini fulani ya wenzetu, huko huko utawakuta kina shehe yahya, huku huko utawakuta wale kina dr.manyaunyau wa eatv wanatumia kitabu ichoicho kufanya uganga na uchawi. juzi niliona kwenye east africa tv, dr.manyaunyau anatafuta mtoto aliyepotea kwa kutumia koran...hahaha nilicheka sana...manyaunyau mganga wa kienyeji...so, ukitaka usalama wa dini yako hapa, tujadili mengine, hapo usije kabisa.
 
Back
Top Bottom