Utabiri wa mvua za El-nino umekwamia wapi?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Hivi hii mamlaka ya hali ya hewa imeishia wapi na utabiri wa mvua kubwa ambazo tuliaminishwa zingenyesha mwezi huu majuma ya mwanzo lakini sasa mwezi unaelekea kuisha hakuna dalili za mvua hizo.

Hivi kwanini tunashindwa kukisia kiuhalisia? Mitambo yetu haina uwezo wa kuona nini kitakachojiri katika anga yetu?au mpka tuangalie wazungu wamesemaje juu ya kitakachojiri kwenye anga letu nasi tuwatangazie uma kuwa kuna mvua zitakuja.

Hivi kwa mfano ndio mkulima unafuata utabiri wao si imekula kwako!
 
hapana walisema zitaanza mwezi wa tisa mwishoni mpaka mwezi wa kumi mwanzoni. huwa wanasema ikishatokea, na kusema itaendelea kidogo ila sasa walitaka wajitahidi kutabiri kabla ya tukio. Lakini hata hivyo huop ulikuwa ni utabiri tu na haikuwa fact, maana kutabiri unakuwa hauna uhakika
 
Mama Kijazi kazoea kutudanganya sana bila sababu. Ukute mshahara wake ni mkubwa sana huyu Mama. Sasa hivi umuhimu wa hii ofisi ni nini?
 
hivi watanzania kumbe kiswahili kinatushinda kiasi hiki. nini maana ya neno utabiri.
 
Mama Kijazi kazoea kutudanganya sana bila sababu. Ukute mshahara wake ni mkubwa sana huyu Mama. Sasa hivi umuhimu wa hii ofisi ni nini?

Kuka kodi zenu, na kila siku wanaenda kazini na kurudi kwemye mashangingi
 
Mitambo yao kama meli ya magufuli ya mwaka 1976, inawezekana ilisoma mvua ya mwaka 84
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom