Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 309
- 522
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko amewataka mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine kuhakikisha wanatoa elimu ya namna ya kukabiliana na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kuanza kunyesha kuanzia mwezi huu mpaka mwakani, kwa mujibu wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA).