NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.
Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.
Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.