Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

mie wa ukonga markaz ndio maana nacheka sana hapa,,nakumbuka jirani yangu mmoja alikwenda kwa boifrendi wake chuo kikuu akiwa na kanga kiunoni...

Huyo alikuwa anapendo la dhati na yuo real. kama ni huko upepo unakovuma angeazima na angepiga hata mzazi mzinga azame mr. price ili tu akajionyeshe. I like them USWAZs
 
ha ah ha ha!
we muhakikishie sabuni za kuogea,mafuta ya mgando ya kupaka baaaasi!hata simu hawahitaji!ukienda nae OLDI-TTRAFOORD utatamani kutoa ATM-card na password yake

Afu wewe!! Mshiki bado kukukabidhi ujue? Hahaha! Kuna kimwana nimekaa nacho kwa basi. Kikali ajabu. Nimekiuliza dar kinakaa wapi kikanambia Tandika! Hivi tandika uswazi au? Hahaha! (off topic kiduchu, mchango wangu mbona hujauwakilisha? Nimekopa fea ujue!)
 
Hehehehehe
Dah walah we acha tu mjomba. Yaani xmasi hii ilikuwa very advetured haswa.
Unajua mtoto wa geti kali unaambulia kuchat naye kwenye simu tu. I mean wana maneno matamu kuliko vitendo na sana sana jiandae kwa attitudes za ajabu ajabu na kurushwa roho kusiko na appointment.

Bora Uswazi ktk risesheni hii
..........na kusimuliana nyimbo tu!mara beyonce,mara rihhana ,mara hivi,mara vile!

ukikomaa nae ukamalize,MUNGU WANGU!....kiuno kikavuuuuuuuuuuuu!hadi unajuta.baada ya mshindo mmoja anaanza kutafuta chupi ilipo,kachoka anataka kurudi kwao.

mtoto wa uswazi anahakikisha umechoka wewe!ikibidi hata chupi haji nayo:D
 
wa maikocheni hawana ubavu wa kuteremsha ndume tatu kwa mpigo tena zinazofanana copy right...sisi wa uswazi bwana tunakula vegitables organic tupu tunazolima wenyewe uwani kwetu

Tena bila operesheni.
 
Uswazi mwanangu giza likianza tu ni mshike mshike huku mara mkaanga miguu na vichwa vya kuku, kona nyingine ndio bafu, mara kastudio ka kizushi mchiriku unaendelea kelele mtindo mmoja lakini vitoto vinamwagika kila kona mara huyu kapiga kipedo. Hakuna kulala mwanawane mpaka usiku mkubwa vitoto viko mtaani. Uzuri wao ukimbananisha sehemu na ukaimba vizuri unaweza kusaini kizigo hapo hapo fasta! Sio mpaka mtumiane sms mwezi mzima kwanza, mara mtoke out eti Mlimani City sijui Best Bite mara mtoto aulizie sijui VCD ya Rihanna, uswazi hakuna hiyo!!
 
..........na kusimuliana nyimbo tu!mara beyonce,mara rihhana ,mara hivi,mara vile!

ukikomaa nae ukamalize,MUNGU WANGU!....kiuno kikavuuuuuuuuuuuu!hadi unajuta.baada ya mshindo mmoja anaanza kutafuta chupi ilipo,kachoka anataka kurudi kwao.

mtoto wa uswazi anahakikisha umechoka wewe!ikibidi hata chupi haji nayo:D

Kweli wewe unaweza kuoa sasa.
 
Afu wewe!! Mshiki bado kukukabidhi ujue? Hahaha! Kuna kimwana nimekaa nacho kwa basi. Kikali ajabu. Nimekiuliza dar kinakaa wapi kikanambia Tandika! Hivi tandika uswazi au? Hahaha! (off topic kiduchu, mchango wangu mbona hujauwakilisha? Nimekopa fea ujue!)

Gloria in excelsis Deo, et in terra pax homunibus bonae voluntatis! Venite Venite Bethlehem,........................Bouna natale e felice anno.
 
Afu wewe!! Mshiki bado kukukabidhi ujue? Hahaha! Kuna kimwana nimekaa nacho kwa basi. Kikali ajabu. Nimekiuliza dar kinakaa wapi kikanambia Tandika! Hivi tandika uswazi au? Hahaha! (off topic kiduchu, mchango wangu mbona hujauwakilisha? Nimekopa fea ujue!)
hahahahahaha!
wewe bwana haya bwana!

nauli yako ipo kwa zd
 
Kweli wewe unaweza kuoa sasa.

Nguli, you are so funny! Topic zako nyingi ni za kuvunja mbavu. Hope you had a great xmass na unausubiri mwaka mpya. Nimechngulia kidogo leo na kukuta umekomalia kuku wa kienyeji. Bravo, keep the floor mad!
 
DC thanks man, I had wonderful & colourful, fantastic & Cocalistic xsmas. Mambo vipi? uswazi noma karibu uswazi.
 
Halafu watoto wa uswazi hawagombanii wanaume!, wanaamini kila mwanaume ni wake kwa wakati wake!.
 
DC thanks man, I had wonderful & colourful, fantastic & Cocalistic xsmas. Mambo vipi? uswazi noma karibu uswazi.

Poa ndugu yangu. Mimi nimeishi sana uswazi (Kurasini Shimo la Udongo) na bado naendelea kuishi uswazi. Kwahiyo hayo yanayosemwa na wachangiaji siyo "Breaking News"!! Just a refreshmnet for the memories of those good old days kabla ya hatujabwaga manyanga na kuwaachia vijana!!
 
..........na kusimuliana nyimbo tu!mara beyonce,mara rihhana ,mara hivi,mara vile!

ukikomaa nae ukamalize,MUNGU WANGU!....kiuno kikavuuuuuuuuuuuu!hadi unajuta.baada ya mshindo mmoja anaanza kutafuta chupi ilipo,kachoka anataka kurudi kwao.

mtoto wa uswazi anahakikisha umechoka wewe!ikibidi hata chupi haji nayo:D
He hehehehe
Utasikia "naomba nitafutie rylics za wimbo wa La-Tromenta kulaleki.
Mkuu nakumbuka nilipokuwa naishi maeneo ya Namanga (kuna kauswazi fulani pale), kulikuwa na kabinti kanakuja kunitembelea hakajavaa chupi walah ilikuwa shughuli fastafasta bila presha.

Kitu kingine kuhusu Uswazi ni kwamba unaweza kumuomba kaka mtu akuitie dada yake bila hiyana cha msingi wewe uwe mshkaji na unamtoa kiaina.

Yule wa Mailmoja nilistuliwa na washakaji kuwa mama yake ni bandidu kinoma kwa watoto wake wa kike na washkaji wamekosa utamu kwa dada zake hivyo walivyoniona mie nateta na bi mkubwa bila zengwe halafu naondoka na zigo kilaiiin waliona soni kinoma. Ila nimeogopa lakini najitutumua kiume kuendeleza libeneke
 
Great Thinkers at Work!! Kweli hii ni Holiday season.
 
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.

Kama wewe kigezo cha Mke ni uzuri pekee basi mwone Majuto akupatie ushauri au pitia hii ThREAD
 
Great Thinkers at Work!! Kweli hii ni Holiday season.
sema umetolewa nje na binti wa uswazi halafu leo umeamkia chapati kwa serengeti bariiid then umeshaanza kukupalia unatuchafulia hewa sasa
 
Argrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh unaanza kuharibu hali ya hewa sasa

Dont be defensive, Great thinkers ni wanaosoma na wanaoandika, sio wanaoandika tu. Kwani nimefuata nini huku, nasoma ndiyo. Ya kuchekesha nacheka, ya kushangaa nashangaa, ya kujifunza najifunza, halafu napita. Na mimi nipo holiday
 
Halafu watoto wa uswazi hawagombanii wanaume!, wanaamini kila mwanaume ni wake kwa wakati wake!.
Tena watoto uswazi wao kuliwa tigo sio issue wala nini..ukimwambia nitakununulia kamongo wala hashangai ni kitu chikoli moto!!!
 
Back
Top Bottom