Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa uswahilini is the best place to be.

Rafiki yangu aliniambiaga "misichana mzuri utamjua wakati wa kuamka na sio jioni akiwa amejipodoa" kwa wale wenzangu na mimi tunaokaa uswazi mtakubaliana na mimi asubuhi wakiwa wanaamka wanapigaga kanga moja tu na kuna vishuguli vya hapa na pale unakuta wanafanya kama kuchota maji kuandaa wadogo zao au watoto wao kwenda shule nk. Wanaoneka wazuri na wanamaumbile mazuri sana.Rangi ndio usisema ukikatiza kinondoni ndani- ndani utakuta watoto kama wakifilipino/kivenezuela nywele mpaka mgongoni jicho-jicho.

Hawana makuu mizinga hata kama ipo ni sh. 10,000 maximum. Hawana pozi ni waongeaji wazuri na wakarimu. Watoto wa kishua wameaachwa mbali sana na hawa dada zangu wa USWAZI.
 
USWAZI kuna watoto mkulu!
nenda pande za KITUNDA,KIWALANI,BANANA,MPIJI,MOSHI-BAR...!ingia KIMARA-KING'ONGO unakuta watoto bado wanatumia mafuta ya nazi kujipaka mwilini!....watoto NATURAL!mimi nyumba ndogo yangu ni mtoto wa uswazi...:D
 
Hehehehe ilikuwa uswahilini ya wapi Nguli X.Mass hii?

Unajua mimi ni mtoto wa uswazi pasee naamka nao nashinda nao, kumebarikiwa uswazi jana nilikuwa maeneo ya washua hamna kitu zaidi ya kuvuta fegi.
 
Dah ulikuwa huko kwa watoto wa geti kali.
Lakini ukitaka kuthaminisha totoz nenda Mlimani city pale huwezi tambua toto za kona wala za geti kali.
 
Ni kweli ukitaka kujua wa uswazi akifungua mdomo kuongea.
 
Unajua mimi ni mtoto wa uswazi pasee naamka nao nashinda nao, kumebarikiwa uswazi jana nilikuwa maeneo ya washua hamna kitu zaidi ya kuvuta fegi.
This is the worst thing i hate to ladies!umenikumbusha SILIVIA BAHAME pale mabibo-hostel,nadhani ulikuwa unakula pale sex-tower!...lol yule binti ni mzuri sana lakini ni CHAIN-SMOKER
 
Ni kweli ukitaka kujua wa uswazi akifungua mdomo kuongea.

Hehehehe hajui u know am saying? alafu kiswahili anaongea kama Mzungu nakaaa Maikocheni kama au Mabaibo au Kaigogo au burukunyi
 
Nguli, nakubaliana na wewe sana. Wikiendi moja nilikwenda kumtembelea ndugu yangu maeneo ya kiwalani. unajua nilikutana na vibinti viko bomba mpaka nikajikuta natamani kuanza mashambulizi, ingawa wanaonekana wamevaa mavazi ya kawaida kabisa na rangi ya mwili ni nechural kweli kweli. Kuna mmoja nilimkuta kwenye duka ni cheusi fulani kinang'aa kama jongoo, kifua kimesimama. Yaani wale wanahitaji kuwaogesha na Emperial then unamuongezea na tumafuta twa kileo aisee ni matata. Chini unakuta kapiga ndala ameshatembea vumbi limepanda. Nilipomsimulia jamaa yangu hiyo habari kwa kweli alinipa ukweli kuwa maeneo ya uswazi kuku wa kienyeji ni kibao na gharama nafuu kabisa!!! Nategemea kuwepo tena huko wakati wa mkesha wa Nyu Yia!!!
 
Uswazi mbona noma, mi nilikuwa hapo sinza, nikaena ubungo maziwa nikarudi mitaa ya mabibo NIT, yaani kote mitego tupu. Watoto noma, lakini miwaya sasa unatakiwa kuwa makini kweli kweli.
 
Ha ha ha ha ha, mzee we umenichekesha sana ila inaoneka wewe umewaonja.
 
Uswazi mbona noma, mi nilikuwa hapo sinza, nikaena ubungo maziwa nikarudi mitaa ya mabibo NIT, yaani kote mitego tupu. Watoto noma, lakini miwaya sasa unatakiwa kuwa makini kweli kweli.
sasa watoto wa-kishua ndo wameenea miwaya!...STUKA!
 
Hehehehe hajui u know am saying? alafu kiswahili anaongea kama Mzungu nakaaa Maikocheni kama au Mabaibo au Kaigogo au burukunyi

Kumbe mkulu unawafahamu vizuri. Na ndio nisichokipenda mostly are fake.
 
Nguli, nakubaliana na wewe sana. Wikiendi moja nilikwenda kumtembelea ndugu yangu maeneo ya kiwalani. unajua nilikutana na vibinti viko bomba mpaka nikajikuta natamani kuanza mashambulizi, ingawa wanaonekana wamevaa mavazi ya kawaida kabisa na rangi ya mwili ni nechural kweli kweli. Kuna mmoja nilimkuta kwenye duka ni cheusi fulani kinang'aa kama jongoo, kifua kimesimama. Yaani wale wanahitaji kuwaogesha na Emperial then unamuongezea na tumafuta twa kileo aisee ni matata. Chini unakuta kapiga ndala ameshatembea vumbi limepanda. Nilipomsimulia jamaa yangu hiyo habari kwa kweli alinipa ukweli kuwa maeneo ya uswazi kuku wa kienyeji ni kibao na gharama nafuu kabisa!!! Nategemea kuwepo tena huko wakati wa mkesha wa Nyu Yia!!!
Usisahau mla cha mwenzie na chake huliwa!!
 
Naona First Lady na akina VERACITY wao ni uzunguni wameogopa kuchangia mada hapa.
Totoz za uswazi ni breki kikomo. na bahati njema kwao wanajua kukata viuno I mean wanawajibika sana wawapo ktk makulaji ya sirini.

Kuna kabinti ka uswazi hukoo mailimoja huwa nakasafiria kila nikumbukapo jina lake. Ila sopsop ndo inahitajika kuhimizwa kwao kwani usije ukaambulia YUTIAI buree (kwa sisi tunaotumia kondom za vidonge)
 
HA HA HA HA!
mzee nakujengea picha unavyofunga safari ya kwenda kibaha,upo ndani ya hiace za mlandizi,umepita mlimani siti umebeba mikate kadhaa na sabuni!

ukiingia kule mtoto anaona kama OBAMA KAINGIA
 
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
HA HA HA TE TE TE, mbavu zangu!!!!!!!!!!
 
HA HA HA HA!
mzee nakujengea picha unavyofunga safari ya kwenda kibaha,upo ndani ya hiace za mlandizi,umepita mlimani siti umebeba mikate kadhaa na sabuni!

ukiingia kule mtoto anaona kama OBAMA KAINGIA
HEHEHEHEHEHE
we acha tu. Juzi ndo niligundua kuwa mama yake ni MNOKO ingawa nilishajivisha mabom mara kibao nilikuwa namkabili BI Mkubwa kumuomba ruhusa ya kusindikizwa na bintiye (nina pete mkononi).
Mkuu hawa vibinti vinajua kweli kuendana na shughuli we acha tu
 
Back
Top Bottom