Uswahilini kuna wasichana wazuri sana

HEHEHEHEHEHE
we acha tu. Juzi ndo niligundua kuwa mama yake ni MNOKO ingawa nilishajivisha mabom mara kibao nilikuwa namkabili BI Mkubwa kumuomba ruhusa ya kusindikizwa na bintiye (nina pete mkononi).
Mkuu hawa vibinti vinajua kweli kuendana na shughuli we acha tu
dah!:D:D
they are here to stay
 
AAAh! wapi nilikuwa COCO BEACH nakula mihogo na waswazi wenzangu na wahindi.
hehehe!mihogo na pilipili!

kuna kitoto cha uswazi one time nilikipa appointment kikaja na gauni na NDALA mabibo hostel nilitamani kukimbia
 
HA HA HA HA!
mzee nakujengea picha unavyofunga safari ya kwenda kibaha,upo ndani ya hiace za mlandizi,umepita mlimani siti umebeba mikate kadhaa na sabuni!

ukiingia kule mtoto anaona kama OBAMA KAINGIA

ha haa haa ha!!!
 
Ha ha ha ha ha, mzee we umenichekesha sana ila inaoneka wewe umewaonja.
..Hapana mkuu bado, lakini uwezekano huo upo kabisa nitakapoenda tena lazima kieleweke. Ila jamaa ananiambia tatizo lao hao watoto wa uswazi unaweza kukaona kadogo kwa umbo lakini ukatafuta hata ngazi ya kuteremkia!
 
dah!:D:D
they are here to stay
A mkuu we acha tu.
Vitoto vinashindana na mama zao walah.
Vibinti vya uzunguni vimepetezwa sana na kuku wa kienyeji wa uswazi. Mtoto hata umparamie mara mia haachi kutoa shikamoo. Vinajua kuheshimu sahani ya chakula
 
..Hapana mkuu bado, lakini uwezekano huo upo kabisa nitakapoenda tena lazima kieleweke. Ila jamaa ananiambia tatizo lao hao watoto wa uswazi unaweza kukaona kadogo kwa umbo lakini ukatafuta hata ngazi ya kuteremkia!
ha ha ha ha!
mkuu hiyo haijalishi!kuna watoto wengine wa-kishua unaweza kimbia!unakuta mtoto amezakiwa 1989,lakini ''miundo-mbinu,lol!'' MUNGU WANGU!hata TREN LINAINGIA ZIMA ZIMA
 
..Hapana mkuu bado, lakini uwezekano huo upo kabisa nitakapoenda tena lazima kieleweke. Ila jamaa ananiambia tatizo lao hao watoto wa uswazi unaweza kukaona kadogo kwa umbo lakini ukatafuta hata ngazi ya kuteremkia!

Sio kwamba ni wadogo la hasha(kiswahili fasaha
icon10.gif
)
Ni maumbile yao kwa vile kule hamna baga za pale moroko wala mayoniza na kuku wa shopraiti
 
Changia basi hoja ushacheka! uswazi/kishuani wapi kuna totoz kali?

hapo ndio unazidi kunichekesha, sasa mimi mwananke mwenzao ntajuaje ukali wa totoz, mi nawasikiliza nyie hapa mkimwaga hoja.. haha ati anakaa MAIKOCHENI!!
 
A mkuu we acha tu.
Vitoto vinashindana na mama zao walah.
Vibinti vya uzunguni vimepetezwa sana na kuku wa kienyeji wa uswazi. Mtoto hata umparamie mara mia haachi kutoa shikamoo. Vinajua kuheshimu sahani ya chakula
ha ah ha ha!
we muhakikishie sabuni za kuogea,mafuta ya mgando ya kupaka baaaasi!hata simu hawahitaji!ukienda nae OLDI-TTRAFOORD utatamani kutoa ATM-card na password yake
 
hapo ndio unazidi kunichekesha, sasa mimi mwananke mwenzao ntajuaje ukali wa totoz, mi nawasikiliza nyie hapa mkimwaga hoja.. haha ati anakaa MAIKOCHENI!!

Haya basi wewe unatokea wapi? masaki au m/ kwa kopa? nitajua nianzie wapi.
 
ha ah ha ha!
we muhakikishie sabuni za kuogea,mafuta ya mgando ya kupaka baaaasi!hata simu hawahitaji!ukienda nae OLDI-TTRAFOORD utatamani kutoa ATM-card na password yake
Hehehehehe
Dah walah we acha tu mjomba. Yaani xmasi hii ilikuwa very advetured haswa.
Unajua mtoto wa geti kali unaambulia kuchat naye kwenye simu tu. I mean wana maneno matamu kuliko vitendo na sana sana jiandae kwa attitudes za ajabu ajabu na kurushwa roho kusiko na appointment.

Bora Uswazi ktk risesheni hii
 
Haya basi wewe unatokea wapi? masaki au m/ kwa kopa? nitajua nianzie wapi.

mie wa ukonga markaz ndio maana nacheka sana hapa,,nakumbuka jirani yangu mmoja alikwenda kwa boifrendi wake chuo kikuu akiwa na kanga kiunoni...
 
huyu lazima maikocheni,
ana watoto watatu kwa mpigo

wa maikocheni hawana ubavu wa kuteremsha ndume tatu kwa mpigo tena zinazofanana copy right...sisi wa uswazi bwana tunakula vegitables organic tupu tunazolima wenyewe uwani kwetu
 
Back
Top Bottom