Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

Mimi ningemto.mba huyo shemeji kwakuwa hiyo ndio tabia yake na hata ukiacha kumto.mba wewe ataendelea tu kutomb.wa.
kwa mwendo huu JK asaini hiyo cyber crime bill aka war against indiscipline (WAI) haraka watu washikishwe adabu
 
Rudisha pesa....muhakikishie kuwa hutomchoma, halafu pita kushoto kama vile hukuona lolote.
 
Mudishie pesa yake
mwambie huwezi kutembea nae
na mwambie unamuomba ajirekebishe ikitokea tena unaweza shindwa kukaa nayo moyoni....
but kwa kuwa wote ni watu wazima.....kila mtu atazame yake
Ushauri mzuri
 
Hizi bahati nyingine daah, kula mzigo baba pesa mrudishie
 
kwa mwendo huu JK asaini hiyo cyber crime bill aka war against indiscipline (WAI) haraka watu washikishwe adabu

Nimekwisha ongea na mwanasheria wangu kaniambia kuna loophole kwenye sharia hiyo so ntatukana hadi nichoke
 
kwanza hongera kwa kupata mzinifu mwenzio ndoa za cku hizi balaaa. huyo mwenzio naye kayatak utaishije mbli na mkeo hilo fundisho kwa wengine. ushauri wangu mwambie mwenzio awe jiran na mkewe lasivyo imekula kwake nawe ucmguse shemejio mkanye tu
 
Binafs naona kwanza Rudisha hiyo hela yake maana huna sifa hata kidogo wakupokea hiyo hela na hata kama ungekuwa huna tabia hizo kupokea kitu kwa ajili yakunyamaza siyo sahihi,maana itaisha halafu haujasolve tatizo...

Yakupasa usifanye nae jambo lolote lile,ukitenda ubaya kwa wema ni USHETANI huo na utakuja kulipwa makubwa ambayo utalia sana,kinachokwenda lazima kirudi...

Kila ukikutana nae usionyeshe hali yakumsuta wala kumzodoa,muache dhambi aliyoifanya imtafune mwenyewe na pia kaa kando nae sana maana anaweza kukuundia zengwe.
 
Mrudishie pesa,msamehe ila mkanye,pia nawe acha kabisa uzinifu. Ni hatari kwako na kwa mkeo. Kumbuka Mla Vya Wenzake..Na Vyake Huliwa!
 
Watu mna roho mbaya sana, kwa vile mchepuko wako haukuonwa umejiona kidume unakuja kuuliza ushauri hapa. Mchepuko wako ungeonwa ungekuja kivingine kabisa hapa.
Wote wazinifu, huyo sio mkeo huna sababu yoyote ya kujiona msafi na kutafuta huruma hapa. Rudisha pesa ya watu na mhakikishie kua hutasema ili ulinde ndoa ya rafiki yako na shemeji yako awe na amani.
Kama ni tabia yake 40 yake itafika na mume atamkamata mwenyewe. What if useme halafu mume asikuamini? Itakua aibu kwako na mwisho wa urafiki.
 
Ushauri wetu unategemeana na lengo lako, unataka kula tunda???? unataka kuharibu ndoa ya watu??? unataka kuchukua advantage kosa la mwenzio wakati nawe ni aina yake???

We mwache mama wa watu bana...........!
 
Mrudishie pesa yake ila mwonye asiendelee. Mwambiye umekabidhiwa umwangalie si kulamba. Kisha na weye ukome. Ukiona mwenzio ananyolewa weye tia maji
 
Back
Top Bottom