Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,935
- 5,559
Mrudesheni pesa zake kwanza ushauri mwingine umeshapewa na miss chagga
Last edited by a moderator:
Hadithi hadithi, uongo njooo utamu kolea!!!! Nyambafu zako, eti laki tano, za nini??
Duh ngoja waje wazinzi wenzio
Na ukubwa huo kama hujui? Bais, itabidi nikupe somo Chemba.Kwani hasira ndio kimdudu gani vile????????
Mmh napita kwanza
umenena vyemaa kaka
Na ukubwa huo kama hujui? Bais, itabidi nikupe somo Chemba.
follow mimi.:teeth:
Hahahahaha, Hiyo tu ndio unaogopa?Tobaaaaaaaaa!!!!!!!!!! hizo tuisheni za chemba zinaletaga :mimba: hahahahahahahaha!!!!!!!!!!