Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
174
343
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
 
Mkuu Hapo Unasambaratizisha Familia Yako Mwenyewe Kwa Kutumia Hasira Badala Ya Akili.

Hiyo Ndio Umeona Njia Sahihi Ya Kusuruhisha Huo Mgogoro?

Tufanye Maamuzi Yanayojenga Bila Kuendeshwa Na Mihemko.

Changamoto Tunakabiriana Nazo Kwa Akili Na Si Kwa Hasira.
 
Usifanye maamuzi ukiwa na hisia "hasira sana au furaha sana".

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk)

Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu Mchepuko,ingawa haikua dhamira Yangu kua na Mchepuko.

Nilikua najenga Nyumba Ila kutokana na Mazingira ya mke wangu siyaelewi nimeuza hiyo Nyumba last week.

Mke wangu ameniomba Mara kadhaa Baadhi ya Mambo nimeshindwa kumtimizia kutokana na Hilo Tatizo ambalo kila Ni kimkataza anaendelea nalo. Mambo alioniomba yapo ndani ya uwezo wangu lakini,nilimjibu Sina uwezo huo.

Nimeona Bora kutafuta Mchepuko Maisha yaendelee. Yeye aendelee kuwasiliana na wakwe,mashemeji, na mawifi wa X-wake, na Mimi ntakua nawasiliana na Mchepuko wangu.
Ukiona unafanya jambo ili kumkomoa au kumridhisha mwanamke bado haujafika kwenye level ya wanaume rijali.

Unauza nyumba kumkomoa mwanamke? Nimehuzunika sana

Mwanamke huwa hapotezi, anaweza kuolewa tena na ex wake. Wewe je? Umepanga hautaki kujenga unafikiri unamkomoa mwanamke,watoto wanakua wakubwa anaenda kuishi kwa watoto, wewe je?

Jenga nyumba, kusanya mali za kutosha ili uzeeni uishi vizuri.
Shida ipo kwako kuoa mke wa mtu, ulitakiwa ufukuzie mbali mapema kabla ya kuoa
 
Mtoto anayo Nyumba yake.
Hiyo Nyumba nilikua najenga kwa ajiri yake.
Hata km ulifikiri umemkomoa?
Hiyo nyumba ulitakiwa upangishe ili ule maisha.
Maisha ya wafrika yanachekesha sana, utakuta mtu kapata vipesa kaoa mke wa pili, mwingine kagombana na mkewe kauza nyumba kisa ana kazi inayomuingizia hela hata level ya utajiri wa Dangote hajafikia lkn ameridhika na maisha😀😀😀
 
Hiyo, nimeuza, nifikiria kabla ya kuiuza, na Pesa yake iko sehemu salama.
 
Mkuu Hapo Unasambaratizisha Familia Yako Mwenyewe Kwa Kutumia Hasira Badala Ya Akili.

Hiyo Ndio Umeona Njia Sahihi Ya Kusuruhisha Huo Mgogoro?

Tufanye Maamuzi Yanayojenga Bila Kuendeshwa Na Mihemko.

Changamoto Tunakabiriana Nazo Kwa Akili Na Si Kwa Hasira.
Hilo jambo nimemkataza zadi ya Mwaka mmoja, bado anaendelea na Swala Hilo Hilo.
 
Kama anawasiliana na ma ex usitumie neno mke wangu tumia mke wetu

Je kwanini anawasiliana na ndugu wa ex wake? Ni kitu gani kinaendelea kiwaunganisha? Ulimuoa akiwa tatari na mtoto aliezaa na huyo ex?
wala hajazaa na Huyo Jamaa.
 
Hiyo, nimeuza, nifikiria kabla ya kuiuza, na Pesa yake iko sehemu salama.
Sioni sababu hata kuiuza hata km ulifikiri 1000000.
Ulitakiwa uiache km ilivyo, ungepangisha ukaendelea kula maisha au ingekuwa hata chimbo lako la kutulia.
Maisha haitaji hasira, visasi wala roho mbaya.
Siku zote usishindane na mwanamke na ukizidi kumzingatia ndivyo anavyozidi kukupiga matukio
 
Aiseee naonaa jinsi huyo mchepuko anavyoendaa kulaa kiulaini hlo jasho ulilotumia Kutafuta kiwanja mpk kujengaaa....

Unarukaa majivu unaendaa kukanyagaaa motooo ,wanawake ndio wale wale mkuu Bora Hela Yako ulee mwenyewe na wtt km unao maana nikisema ujenge ss utajenga Yann wkt ushauza nyumbaa..

Achana na kushindana na wanawake..
 
Mkuu Hapo Unasambaratizisha Familia Yako Mwenyewe Kwa Kutumia Hasira Badala Ya Akili.

Hiyo Ndio Umeona Njia Sahihi Ya Kusuruhisha Huo Mgogoro?

Tufanye Maamuzi Yanayojenga Bila Kuendeshwa Na Mihemko.

Changamoto Tunakabiriana Nazo Kwa Akili Na Si Kwa Hasira.
Anaruka majivu anaendaa kukanyaga moto mkuu c swala la kucheka lkn daaaa.

Anashindana na wanawake aiseé huyo mchepuko atafaidi Hela za kuuzwa Kwa nyumba c poaa
 
Back
Top Bottom