LAMECK JOE
New Member
- Jan 2, 2024
- 4
- 1
Watu wenye uzito uliozidi (unaoitwa obesity) wanaweza au uwezekano wa ku
pata magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu na masuala mengine ya kiafya.
Ni muhimu kutambua kuwa mzunguko wa maisha unajukumu kubwa katika hali ya kiafya! watu wenye mtindo wa maisha wenye lishe bora pamoja na mazoezi ya kutoshana kutunza afya zao wanaweza kupunguza hatari ya magonjwa na kuboresha maisha yao hata kama wanakabiliwana changamoto ya uzito uliozidi.
Uzito wa mwili ni mojawapo ya viashiria vya kiafya lakini baado [pia ni moja ya tatizo katika magonjwa nyemerezi kama awali nilivyo sema ,! pia sio kila mtu alienao-uzito uliozidi atakabiliwa na matatizo ya afya.Kila mtu ni tofauti na wengine kama jenetiki na mazingirapia yanaweza kuchangia.