Usiridhike na uzito uliozidi,hapa jibu lako lipo!

LAMECK JOE

New Member
Jan 2, 2024
4
1
Watu wenye uzito uliozidi (unaoitwa obesity) wanaweza au uwezekano wa ku
Screenshot_20231225-055555_1[1].jpg
pata magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu na masuala mengine ya kiafya.

Ni muhimu kutambua kuwa mzunguko wa maisha unajukumu kubwa katika hali ya kiafya! watu wenye mtindo wa maisha wenye lishe bora pamoja na mazoezi ya kutoshana kutunza afya zao wanaweza kupunguza hatari ya magonjwa na kuboresha maisha yao hata kama wanakabiliwana changamoto ya uzito uliozidi.

Uzito wa mwili ni mojawapo ya viashiria vya kiafya lakini baado [pia ni moja ya tatizo katika magonjwa nyemerezi kama awali nilivyo sema ,! pia sio kila mtu alienao-uzito uliozidi atakabiliwa na matatizo ya afya.Kila mtu ni tofauti na wengine kama jenetiki na mazingirapia yanaweza kuchangia.
InShot_20231225_195130863[1].jpg

Screenshot_20231225-055555_1[1].jpg
 
SULUHISHO KATIKA TATIZO LA UZITO WA MWILI NA VITAMBI.

Habari ujumbe muhimu kwa walengwa wenye tatizo na changamoto ya uzito wa mili na vitambi vyenye ishara mbaya kiafya.

Napenda kuku-karibisha ndani ya darasa la bure katika what'sapp group lenye huduma ya program ya kitabibu hasa taaluma ya punguza na ondoa uzito wa mwili na kitambi bure, ila pia taaluma ya saikolojia ya afya Yako pamoja na tiba asilia mchanganyiko wa asili katika tatizo lako.

Pia nisisahau, kwa jina naitwa JOEL CHOMETE Ninawasaidia walengwa wenye tatizo la uzito na kitambi katika Darasa hii , hasa katika suluhisho kupitia taaluma ya tiba asilia bure, ila pia taaluma ya saikolojia ya afya Yako pamoja na tiba mchanganyiko asili ya majani asilia katika kusuluhisha tatizo lako.

Pasipo tabibu za kihatarishi, dawa za kifamasia au makampuni toka nje ila pitia tiba asilia sahihi kuondoa uzito na vitambi.

Kama utapenda kuhudhulia darasa hili uncomment namba yako ya simu ya what'sapp hapa chini au piga namba yangu ya what'sapp 06-55-225-289 ili kupata huduma hii kabla ya Tangazo hili kuondoa hewani na pia kabla ya kuja k
Lumii_20240311_055636845.jpg
wa group.
 
SULUHISHO KATIKA TATIZO LA UZITO WA MWILI NA VITAMBI.

Habari ujumbe muhimu kwa walengwa wenye tatizo na changamoto ya uzito wa mili na vitambi vyenye ishara mbaya kiafya.

Napenda kuku-karibisha ndani ya darasa la bure katika what'sapp group lenye huduma ya program ya kitabibu hasa taaluma ya punguza na ondoa uzito wa mwili na kitambi bure, ila pia taaluma ya saikolojia ya afya Yako pamoja na tiba asilia mchanganyiko wa asili katika tatizo lako.

Pia nisisahau, kwa jina naitwa JOEL CHOMETE Ninawasaidia walengwa wenye tatizo la uzito na kitambi katika Darasa hii , hasa katika suluhisho kupitia taaluma ya tiba asilia bure, ila pia taaluma ya saikolojia ya afya Yako pamoja na tiba mchanganyiko asili ya majani asilia katika kusuluhisha tatizo lako.

Pasipo tabibu za kihatarishi, dawa za kifamasia au makampuni toka nje ila pitia tiba asilia sahihi kuondoa uzito na vitambi.

Kama utapenda kuhudhulia darasa hili uncomment namba yako ya simu ya what'sapp hapa chini au piga namba yangu ya what'sapp 06-55-225-289 ili kupata huduma hii kabla ya Tangazo hili kuondoa hewani na pia kabla ya kuja kView attachment 2931118wa group.
mimi nimepungua sana mwili yani nimekonda, ajabu nikijitahidi kula uzito unaongezeka ila mwili hauji tatizo litakua nini?

NB: nimetumia sana uji wa lishe kipindi cha karibuni
 
Ukitaka kupungua vizuri pamoja na mengine yote usiache kutembea na kula kabla ya 1 saa Moja usiku
 
Back
Top Bottom