usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

Umeongea kwa mafumbo sana MM, kwa nini usiku wa leo na sio wa jana kwa mfano? kipi unachojua ambacho sie hatujui?
 
Upepo unapita

Masikini ataendelea kuwa masikini...................Nothing New..................By Smile wa JF
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaanza kupata jawabu la kauli aliyowahi kuitamka zamani muheshimiwa waziri mstaafu Joseph Sinde Warioba namnukuu! Watanzania ni watu wapole sana lakini itafika siku na watasema basi sasa inatosha! Mwisho wa kumnukuu! Kauli hii aliitoa katika utawala huhuu wa JK . Na haya ndiyo yanayojiri na bado yanakuja mengi tena mno!
 
Hao Waislam ni wachache sana. Wakileta upuuzi wao tunawaangamiza kabisa.

Sasa Kama wewe umekosa cha kuchangia siungepita Kama Mimi? Unawatia aibu wakristo wenzako we Nyumba inaungua wewe ndio unamwagia petrol? Nilikuwa najua ni kikundi cha wahuni wa kiislam wakiongozwa na uyo shekh kumbe na wahuni wakristo mpo Haya na nyie kiongozi wenu ni nani?
 
mmhh,na kuna tahadhari wakristo tulinde makanisa kuanzia leo ucku........duh!so leo cendi calabash!
 
Hili nalo litapita watanzania ni watu wa kusahau!.
Angalia
* mauaji ya mwangosi
*kutekwa kwa Dr ulimboka
*kugoma kwa madaktari.
*kugoma kwa walimu.
*mauaji ya barlow
*Riport ya mauaji ya mwangosi
*Dr ulimboka kamtaja ana ye husika kumteka.

Na sasa ya sheikh ponda.

Huu wote ni upepo utapita na watanzania kama kawaida yao ni kupuuza they wont think about it again as usual.

Watanzania wenyewe ni moja ya maajabu ya dunia.
 
Mama una nini nami? Saa yangu bado!........Lolote atakalowaambia fanyeni basi mkafanye..Asema bwana wa majeshi!....Nabiii ulisemaje wewe? Wana macho yasiyoona na masikio yasiyosikia....Ole wao wale walio kondeni maana saa ya utungu ikifika aliyeko shambani asikimbilie mlimani....Nguvu ya mfalme wa persia imeanguka na walinzi wake wanatapa tapa they dont know where to go......

In the name of Jesus Christ of Nazareth kila neno lenye pumzi ya Mungu lazima litimie kama lilivyotamkwa then will all the flesh understand that there is no other God in Tanzania than the God of Ame!
 
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought

Kaka Mwanakijiji, nimeyatafakari maneno yako kwa kina yanakuwa na maana nzito, kama unabii fulani. Ili kujiweka sawa na mwelekeo wa maamuzi hayo, basi nami najisheheneza hapa kwangu, napageuza ngome kongwe, yenye shehena ya chakula, simu full charge, internet modem zote full bundle, na cable tv nimelipia kabisa. Liwalo na liwe, tutajua kesho!!!

  • Thanks
Reactions: Paw
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought

One man one rocket. Watakoma.
 
kova hatoshi dsm,hivi hakuna kamanda mwingine tz nzima afanye kazi ya ulinzi na usalama ionekane?sehemu kama dsm cyo ya kuongozwa na akina kova
 
Hili nalo litapita watanzania ni watu wa kusahau!.
Angalia
* mauaji ya mwangosi
*kutekwa kwa Dr ulimboka
*kugoma kwa madaktari.
*kugoma kwa walimu.
*mauaji ya barlow
*Riport ya mauaji ya mwangosi
*Dr ulimboka kamtaja ana ye husika kumteka.

Na sasa ya sheikh ponda.

Huu wote ni upepo utapita na watanzania kama kawaida yao ni kupuuza they wont think about it again as usual.

Watanzania wenyewe ni moja ya maajabu ya dunia.

Bila kusahau Babu wa Loliondo na kikombe cha BUKU JERO nao ulikua ni upepo!
 
Hakutakuwa na tukio kubwa sana zaidi ya Ponda na wafuasi wake kutolewa mahabusu kwa nguvu na wafuasi wao, Tifu litakalotokea yetu masikio maana ukiweka macho uhai haupo.
 
Hili nalo litapita watanzania ni watu wa kusahau!.
Angalia
* mauaji ya mwangosi
*kutekwa kwa Dr ulimboka
*kugoma kwa madaktari.
*kugoma kwa walimu.
*mauaji ya barlow
*Riport ya mauaji ya mwangosi
*Dr ulimboka kamtaja ana ye husika kumteka.

Na sasa ya sheikh ponda.

Huu wote ni upepo utapita na watanzania kama kawaida yao ni kupuuza they wont think about it again as usual.

Watanzania wenyewe ni moja ya maajabu ya dunia.
mkuu hiyo kwenye red umemaliza kila kitu...
 
Utawala wa Baba wa Taifa/Mzee Mwinyi/ Mkapa kulikua hakuna upuuzi kama huu! Sasa hivi Jk anagomewa mpaka na waendesha Daladala! huyu jamaa kweli ni Mtazanzania????:A S-frusty:
 
Ninakubaliana na hoja kwamba watu wako tayari kwa lolote kwa sababu hawana tumaini la maisha wala thamani yao ya kuishi hawaioni. Lakini Mungu anaweza.
 
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought
Mungu pekee anajua. Je wewe uko naye Karibu hapo ulipo.!?
 
Back
Top Bottom