Usikimbilie ndoa

kat.ph

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,222
1,675
Anayetoa ni Mola pekee yeye, kwa kila goti na dua anajibu yeye.....Usijeitaka harusi kwa pupa, Usijeitaka harusi ukarudi na talaka. Usikimbilie mume ukaukondesha moyo

Kuwa na subira usiwe na pupa. Mungu amekuumba na sifa kedekede....ukimuomba yeye atakusikiaJiamini mama usiwe na mapepe!Yanini tunguli wakati mume majaaliwa. Yanini ujichoreshe na mali yako yaliwa.

Utabeba vibovu upewe maradhi kukimbilia mapenzi, uende ukapate tabu uyachukie mapenzi.......

Usijeitaka harusi kwa pupa!!

YouTube - https://youtu.be/t99-nzq-zt8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom