Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
Hali zenu,

Hivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke, kuimarisha au kuidhoofisha. Sasa leo nataka nikupe experience ya mambo ambayo itasaidia kuijenga na kuongeza mapenzi katika ndoa yako na kwa wale watarajiwa wayajue haya. Nakuapia ukimfanyia mmeo haya ninayoyasema mmeo kila kukicha atakusifu na atakutamkia hajajutia kua na wewe na kila siku atakumwagia sifa na wengine furaha zao mpaka wanatoa machozi, staki kuulizwa nimejuaje, coz nishawahi kiyaexperience hayo maisha ndo maana nayaandika apa read now

Kua mwenye KAULI nzuri na ya KUBEMBELEZA mda wote kwa mmeo.
Wewe kama mwanamke jaribu ukiwa na mume wako mda wote mlegezee sauti, maneno matamu mda wote yawe yenye kumtulizisha akili. Sio katoka na stress nje au kazini anarudi nyumbani na wewe unamjazia stress kwa kumtupia lawama za apa na pale kuna kitu hujapendezwa msubiri atulie atoe machovu, hayo mengine utamueleza baadae.

kua mwenye SUBRA.
Maisha kuna kupata na kukosa, sio leo umeenda kwa shoga yako kanunuliwa kitu kipya na mmewe na wewe unaanza kupanic ohh kwanini mimi sjanunuliwa, unajikausha unaliweka rohon ukirudi nyumbani unaanza kumtupia lawama mumeo, flani kanunuliwa iki mimi mpaka leo hujaninunulia, jaribu wakati mko wenyewe wawili faragha mnakula raha za hapa na pale mueleze darling nahitaji unifanyie kitu flani na flani, anao uwezo wa kukuletea iko kitu atakuletea, hana atakuambia usubiri kidogo, hakiwezi atakuambia hawezi, ndo mana ukambiwa ndoa uvumilivu, sio walioishi miaka 70 hawajapitia changamoto hizo bali wamevumilia mpaka leo hii wamezeeka pamoja.

Mwanamke jifunze kua MSAFI.
Ndio msafi lakini usafi uwe wenye kumvutia mume mda wote na hata kutamani asitoke nje na hata akitoka basi akuwaze, akutamani na hata kupanga kurudi mapema ili awe mda wote na wewe hakikisha mda wote nyumba yako safi, wewe binafsi msafi na mpaka mmeo hakikisha akitoka umtizame kama yuko ok, nguo zake umempigia pasi, umuweke sawa ndo atoke. Sio mume anarudi kazini anakukuta unanuka shombo, inahuu, mume anarudi akute umejipamba umependeza unanukia, nyumba inanukia na nguo ya mtego unamvalia.

Ndani ya nyumba pawe na UDI
Mume akirudi anasikia harufu ya mawardi ndani ya nyumba tu lazima akili imchangamke kwanza atajisemea kweli hapa nimepata mke fukiza nyumba yako udi, wewe kaoge ukitoga kuoga jifunge kanga yako weka chetezo chini tia udi wako anza kujifukiza na nguo zako za jioni za mitego zote fukiza, kuanzia mke mpaka nguo unanukia.

mwanamke JIKO
Ndio mwanamke jiko, kama wewe kweli unampenda mumeo na unataka akupende ujue kupika sio kila siku unampikia chakula kimejaa chumvi, au chakula hakijaiva, au kila siku chakula ichoicho kimoja, jifunze kuhangaika kujua vitu vipya ili umfurahishe mmeo, uo mtandao unaotumia mda wote kuchati na kufanya mambo mengine jaribu kutafuta mahanjumati ujifunze ili umpikie bwana, ale chakula ajirambe aseme kweli mke kila sekta yupo jifunze kumbadilishia chakula leo iki mara kesho kile mpaka upishi ajione kweli kapata mke.

Kitu kibaya sana kwa mwanamke kua MVIVU.
Kitu kibaya ambacho kinawakera sana wanaume ni mwanamke kua mvivu, ila ndo wengine wanakua hawana jinsi kwasababu ndo washaoa tu, mda wote uwe mwenye kujituma na hasa zaidi mume akiwa nyumbani, jaribu kumsoma mume wako, kwa kumtizama tu ujue sasaivi mume wangu anataka maji ya kunywa, tengeza juice munywe, mda wote kua mcheshi tabasamu lisitoke mdomoni mwako usisubiri mume akuambie nina njaa, kabla hajasema uwe ushaandaa, jaribu kujiepusha uvivu ktk kila sekta, kuanzia usafi, upishi, mpaka kitandani.

Kua MTUNDU
Simaanishi utundu umkere mumeo, laa hasha utundu wa mapenzi na kuziteka akili zake uyo mwanaume. Mkiwa pekeenu wawili ndani ya nyumba au popote pale usikubali kumuacha mumeo anaangalia tv eti na wewe unachezea simu au unafanya mambo yako binafsi, hehehe dada yangu huo muda uko na mmeo ndani uuchukulie uo muda kama almasi, mana unaweza ukafanya mambo kwako utayaona madogo lakini kwake atajiozea juu yako.Mfano.. tafuta ndizi moja imenye alafu jisogeze alipokaa umtanietanie umpigepige uku unajipakatisha miguu yako izunguke kiunoni mwake kata ndizi kipande anza kula nae mdomo kwa mdomo mpaka iishe huku umemshikilia unampapasa papasa mkiwa faragha epekeenu popote pale haijalishi wapi muongelee pumba tu uku unamlegezea sauti na kumbuka ukiwa na mmeo unamvalia mtego 24hrs sio unamvalia dera utafkiri unaenda mnadani inahuu..jisogeze muongelee yale maneno yatamuongeza ashkiki mda wote spend your time having fun, kissing, laughing, mnachezeana, kiukweli asikwambie mtu raha yake uisikie tu hasa mkiwezana, maana mkitizamana tu bila ya kuongea kila mtu muwasho unamuanza, inakuja iwapo mwanamke atajiwekea hivo na kuzisogeza hisia zake mda wote na uyo mume wako.

MICHE ya kupandwa ndani ya nyumba.
Mwanamke hakikisha nyumba yako ina muasmini, mti wa kilua, rangirangi sio lazma yote na sio lazima kama hupendi but ni vizuri zaidi iwepo ndani ya nyimba na inakazi zake maalum na faida zake ni nyingi tyu. Kila ikifika jioni ukishatandika kitanda chako tupia asumin juu ya kitanda, mume akirudi asikie harufu tu inamtambalia kwa wanawake wanaojua kikuba ni muhimu mana inatengezwa kwahio mishe maua yake, kwa wanaotaka manjonjo asumini zinatengezwa vizuri kama kibanio cha katika nywele zinazunguka nywele kama kibanio alafu kinaninginia kwa chini hayo ndo maelezo kwa ufupi.

Wewe mwanamke JIPENDE.
Wengine watasema ohh watu wa sehemu flani wanapenda kujipaka na kuchora hina, ndio tunapenda na hayo ndo mapenzi yenyewe kama hujui mwanamke sharti mwili uvutie, mwanaume akikuona asitaman kutoa macho ktk mwili wako, we mwanamke jitahidi kusaafisha uo mwili wako, mana kuna wengn wanafuga nywele mwilini hazitoi, huwezi kumfananisha kati yako na mme wako jipangie kila baada ya wiki mbili au mwezi wenda saloon kufanya wax jipendezeshewe mwanamke hayo kwa ufupi tu.

Usiwe mtu wa KUPANIC kwa kitu kidogo.
limetokea tatizo ndani ya nyumba usikimbilie kwenda kutangaza nje ,umesokia neno kuhusu mumeo msubiri arudi muongee umsikilize anasemaje na wewe mwanamke ndo unauwezo wa kumbadilisha mmeo na si mtu mwingine, sio kila awepoe ktk ndoa eti watu nje wafurahi, wengine wanaumia nje wakiona umestarehe na mmeo, wanatamani muachane leo kabla ya kesho, sasa wewe jitahidi kupunguza hasira likitokea tatizo na hata likitokea basi usikimbilie kuwaeleza mashoga zako nje, kwa wale wenye mashosti, ao ao mashoga ndo wezi wakubwa unashangaa anakuibia hivihivi kisa kueleza mambo yako nje kwa kutoyamaliza ndani wewe na mmeo.

Tunza SIRI za mme na beba MADHAIFU yake.
Huyo ndo mumeo na umemkubali tangu mwanzo ndo mana ukaolewa nae, udhaifu wake uubebe wewe, wewe ndo faraja yake, aibu yake ndo aibu yako wewe ana kasoro yoyote wewe ndo mshauri wake mkubwa wa kumsaidia, sio kwa kwenda kutangaza nje ohh mume wangu ana kibamia, ohh mme wangu sikuhizi haniachii hela, hivi wewe unaenda kutoa siri nje unafikiri watu wanakusikitia? Hahahaha pole yako, ndo kwanza wanafurahi, ila kwa nje utawaona kama wenye huruma kumbe hamna lolote, jifunze. kua kua msiri.

Jali na ipende FAMILIA yake.
Ukishaolewa familia yake ndio yako wewe ukipenda ua penda na boga lake kama unavowaheshimu wazee wako na nduguzo basi ndo ufanye ivoivo kwa familia yake, jipendezekeze upendwe, onesha furaha yako kua ktk familia ile, onesha ushirikiano wako, onesha uwepo wako kwa kushirikiana nao ktk kila hali shida na raha hayo kwa ufupi tu.

Jifunze kumuita MAJINA MAZURI.
Ivi wewe mara ya mwisho kumwita mumeo majina kama beybe, darling, honey , stwy, habiby na kadhalika ni lini? Sishangai lakini uo ndo ukweli, kuitana majina mazuri kama hayo huongeza hisia za mapenzi na upendo baina yenu, so kama ulikua hufanyi u have to change from now on.

Kua mwenye MAAMUZI ktk baadhi ya mambo.
wewe mwanamke unauwezo wa kufanya baadhi ya maamuzi na yakakubalika bila pingamizi lolote naanza kuongelea kwa wale wapenda mazoezi, unamwambia kabisa mmeo kwa lugha safi na laini, hata akiwa mbishi hataki mwisho atakubali tu kwa jinsi unavyomlea mume ni kama mtoto jamani mume wangu asubuhi na jioni kila siku lazima tufanye mazoezi mimi na wewe, mtafanya, mume wangu usiku sitaki tule vyakula vizito, nitakua nakuandalia vyakula vyepesi kama mixed fruits na kitu flani mambo kama hayo mbona mambo mdogo atazoea taratibuu tu.Mwisho anazoea, live in. healthier life.

Usisubiri kila siku UANZWE wewe tu.
Kiukweli hii ndio ipo sana na si kitu kizuri kila siku mwanaume ajitutumue akufate yeye wa kwanza, mana atahisi yeye ndo mda wote anamatamanio wewe mwenzake na mie huna hisia nae, mwisho ndo wale baadhi ya wanaume wanajifanya makauzu japo wanataka wanaenda kuchepuka, ndio kwasababu na wewe ushajizoesha uanzwe, kila ukiwa na faragha jitoe akili jigandishe mda wote karibu yake, mshikeshike mda wote manjonjo mengine utaongeza wewe simalizi.

usiwe gogo unapokua katika zile RAHA zetu za sita kwa sita.
Najua kuna wengine wanakua kama magogo, ndio kwasababu hawajishuulishi,hebu ukiwa na uyo mmeo akili itulize iwaze hapo tu ktk Ibada kuu alaf utasema how it feels sio unawaza mhh ninanguo za kufua mie mara sjui sjapika mara ohh mtoto sjampigia pasi nguo zake, bibi weee mpe raha bwana uyo ayo mengine yatafata mhh mana yapo haya mambo ndo mana nasema, utasikia mtu anasema ohh spati raha wakati la tendo la ndoa iyo ni moja ya sababu inachangia kutotuliza akili yako wakati ule, tendo la ndoa linahitaji heshma yake,wengine stress, jitahidi kutuliza akili iwaze kwa iko mnachotaka kukifanya na ujitaarishe kupeana raha, toa ushirikiano wako wote toa mihemo unapohisi umekunika, sio umetulia kama sanamu bana ahhh kuwapotezea wenzenu stimu kisa na mkasa mkitoka apo nyote mmeridhika sio mmoja karidhika mmoja anatoka karidhika lakini roho upande tubadilike.

Weka UTARATIBU wako binafsi
Mfano kila wakati wa kula mnawishe mmeo mikono ndo mule chakula, maoenzi hasa ni kula sahani moja sio kila mtu yake na kulishana ikiwezekana ujipakatishe au ujiegemeze kwake mnalishana uku unampa maneno malaini hata kama anastress zake uko akija apo wewe ndo barafu lake la moyo unamyayusha kiulaini. Mfano mwingine mume wako mfanyie singo kila baada ya wiki mbili au mwezi kutokana na mda wako, ndio singo mana si wote huwafanyia waume zao ni wachche sana na hayo ni miongoni mwa mahaba na kuongeza mapenzi maana mume ataona duh yani mke wangu anayonifanyia sjawahi fanyiwa nje na sidhani kama atatokea atakaenifanyia tutaliongelea zaidi siku ingine mada ni mada ingine io.
Mfano mwanangu kua na utaratibu wa kumsafisha sehemu zake nyeti (kumnyoa) ndio nasema hivi coz si wanawake wote wanayafanya haya ni wachache sana sana so badilika kama wewe ni mmoja wapo, sio lazmalakini ni mbinu tu moja wapo ambayo itaongeza mapenzi katika ndoa yako.

Usijitie KIMBELEMBELE.
Ivi unajua wanaume wanataka uhuru,sio mda wote umbanebane tu,simu yake imeita yy kaenda kuoga eti unaipokea ww ujue ni nani,ww mwanamke kama unatabia io naomba uache kuanzia sasa,acha usipokee subir arud umpe sim yake umwambie aim yako ilikua inaita, kwanza atashangaa mke wangu ananiamin sana, hata kama anafanya maovu roho itamsuta na atabadilika tu kila mwanzo una mwisho muhimu mambo uyachukulie taratibu sio papara na kimbelembele chako dada angu kitakuponza.

SHANGA na VIKUKU
ivi unajua matumizi ya shanga?mana skuiz wanawake tunajijaza shanga kiunoni hata kumi tukizani urembo tu,ndio urembo utakapozitumia vzry,sio uzibambikie tu na wala hujui zinamaana gani,umemuona flani kavaa na wewe ujibambikie tu shanga kumi kiuno kimoja shanga zinavaliwa moja, tatu, tano na kuendelea in odd no na kila shanga ina maana ake na faida ya shanga mwanamke kua nayo kiunoni ni kumuongezea hisia ya mapenzi yeye na mwenza wake wawapo faragha na hmuongezea hisia zaidi mwanaume anapokodoa macho kiunoni mwako akakutana kiuno kimepambwa na kimezungukwa shanga na pale anapozichezea vikuku vya miguuni mwanamke lazma uwe navo,najua wengine wanahesabia kuvaa vikuku eti umalaya, si kweli, kua malaya kwa mumeo jitoe akili, nakuapia hatotamani nje kamwe.

UNAPOMUAGA mmeo na MAPOKEZI ya nyumbani.
Ndio lazima na ili nilizungumzie, linaonekana ni jambo la kawaida mume kutoka kwenda zake kazini hali ya kua mke bado yuko ndani hajui mmew katoka mda gani na wala kuagana hawajaagana basi hata wakiagana ni ya maneno tu haya tutaonana jion,jamani tubadilike,mme wako kabka hajatoka mtizame alivovaa yuko safi?amependeza?ananukia? Nywee umemchana,vyote ivo mtizame kuanzia juu had chini,hapo ndo umuage kwa mabusu huku mmeegemeana,na umpe baraka zako na kumwambia safar njema.hayo ndo mapenzi.na akirudi kutoka kazini umpokee kwa bashasha na mabusu akikaa tu umvue viatu umpe glass ya juice ya parachichi na embe utakosha moyo wake huku ukimpa pole na machovuna mengine yafate kama kumkanda mwili kumtoa machovu na mengn,hayo kwa kufupisha tu.

JAMANI SITOMALIZA KUANDIKA
Kwa leo yanatosha hayo, huo ndio ujuzi wangu niwape na nyie wadada wenzangu myajue mlokua hamyajui au niseme niwakumbushie kwa yale mlokua myasahau kiukweli yapo mengi sana ila naamini hapo mmepata kitu jaribu uone, wewe ndie uliekua na uwezo wa kubadilisha ndoa yako kua maridadi na si mwengine. mtanisamehe kwa niliowakera.

Nimalizie NAWAPENDA SANA.

Shukrani.
 
Hali zenu.
Ivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke,kuimarisha au kuidhoofisha.
Sasa leo nataka nikupe experience ya mambo ambayo itasaidia kuijenga na kuongeza mapenz ktk ndoa yako na kwa wale watarajiwa wayajue haya.nakuapia ukimfanyia mmeo haya nnayoyasema mmeo kila kukicha atakusifu na atakutamkia hajajutia kua na ww,na kila siku atakumwagia sifa,na wengine furaha zao mpk wanatoa machozi,staki kuulizwa nmejuaje,coz nshawah kiyaexperience hayo maisha ndo mana nayaandika apa.read now
Kua mwenye KAULI nzuri na ya KUBEMBELEZA mda wote kwa mmeo.
Ww kama mwanamke jaribu ukiwa na mme wako mda wote mlegezee saut ,maneno matamu mda wote yawe yenye kumtulizisha akili.sio katoka na stress nje au kazini anarudi nyumban na ww unamjazia stress kwa kumtupia lawama za apa na pale.kuna kitu hujapendezwa msubiri atulie atoe machovu ,hayo mengin utamueleza baadae.
kua mwenye SUBRA.
maisha kuna kupata na kukosa,sio leo umeenda kwa shoga yako kanunuliwa kitu kipya na mmewe na ww unaanza kupanic ohh kwann mm sjanunuliwa,unajikausha unaliweka rohon ukirudi nyumban unaanza kumtupia lawama mmeo,flani kanunuliwa iki mm mpk leo hujaninunulia,jaribu wakat mko wenyew wawil faragha mnakula raha za apa na pale mueleze darling nahitaji unifanyie kitu flan na flani,anao uwezo wa kukuletea iko kitu atakuletea ,hana atakuambia usubir kdg,hakiwezi atakuambia hawez,ndo mana ukambiwa ndoa uvumilivu ,sio walioishi miaka 70 hawajapitia changamoto izo bali wamevumilia mpk leo hii wamezeeka pmj.
mwanamke jifunze kua MSAFI.
ndio msafi lkn usafi uwe wenye kumvutia mume mda wote na hata kutamani asitoke nje na hata akitoka basi akuwaze ,akutaman na hata kupanga kurud mapema ili awe mda wote na ww.hakikisha mda wote nyumba yako safi,ww binafsi msafi na mpk mmeo hakikisha akitoka umtizame kama yuko ok,nguo zake umempigia pasi ,umuweke sawa ndo atoke.
sio mume anarudi kazini anakukuta unanuka shombo,inahuu,mume anarudi akute umejipamba umependeza unanukia ,nyumba inanukia na nguo ya mtego unamvalia.
ndani ya nyumba pawe na UDI
mume akirud anaskia haruf ya mawardi ndani ya nyumba tu lazma akili imchangamke kwanza atajisemea kweli apa nmepata mke.fukiza nyumba yako udi,ww kaoge ukitoga kuoga jifunge kanga yako weka chetezo chini tia udi wako anza kujifukiza ,na nguo zako za jion za mitego zote fukiza,kuanzia mke mpk nguo unanukia.
mwanamke JIKO
ndio mwanamke jiko,kama ww kweli unampenda mmeo na unataka akupende ujue kupika sio kila siku unampikia chakula kimejaa chumvi,au chakula hakijaiva,au kila siku chakula ichoicho kimoja,jifunze kuhangaika kujua vitu vipya ili umfurahishe mmeo,uo mtandao unaotumia mda wote kuchat na kufanya mambo mngn jaribu kutafuta mahanjumati ujifunze ili umpikie bwana,ale chakula ajirambe aseme kweli mke kila sekta yupoJifunze kumbadilishia chakula leo iki mara kesho kile.mpk upishi! ajione kwel kapata mke.
kitu kibaya sana kwa mwanamke kua MVIVU.
Kitu kibaya ambacho kinawakera sn wanaume ni mwanamke kua mvivu,ila ndo wengn wanakua hawana jinsi kwasababu ndo washaoa tu,mda wote uwe mwenye kujituma ,na hasa zaid mume akiwa nyumbani,jaribu kumsoma mume wako,kwa kumtizama tu ujue asaiv mme wangu anataka maji ya kunywa,tengeza juice munywe,mda wote kua mcheshi tabasamu lisitoke mdomoni mwakousisubir mume akuambie nina njaa,kabla hajasema uwe ushaandaa ,jaribu kujiepusha uvivu ktk kila sekta ,kuanzia usafi ,upishi,mpk kitandani.
Kua MTUNDU
simaanishi utundu umkere mumeo,laa hasha.utundu wa mapenzi na kuziteka akili zake uyo mwanaume.mkiwa pekeenu wawil ndan ya nyumba au popote pale usikubal kumuacha mmeo anaangalia tv eti na ww unachezea simu au unafanya mambo yako binafsi,hehehe dada angu huo muda uko na mmeo ndani uuchukulie uo muda kama almas,mana unaweza ukafanya mambo kwako utayaona madogo lkn kwake atajiozea juu yako.Mfano..
tafuta ndizi moja imenye alaf jisogeze alipokaa umtanietanie umpigepige uku unajipakatisha miguu yako izunguke kiunon mwake kata ndizi kipande anza kula nae mdomo kwa mdomo mpk iishe huku umemshikilia unampapasa papasa.
...mkiwa faragha epekeenu popote pale haijalishi wapi muongelee pumba tu uku unamlegezea saut na kumbuka ukiwa na mmeo unamvalia mtego 24hrs sio unamvalia dera tafkir unaenda mnadani inahuu.jisogeze muongelee yale maneno yatamuongeza ashkiki mda wote .spend your time having fun,kissing,laughing,mnachezeana,kiukwel asikwambie mtu raha yake uiskie tu hasa mkiwezana,mana mkitizamana tu bila ya kuongea kila mtu muwasho unamuanza,io inakuja iwapo mwanamke atajiwekea ivo na kuzisogeza hisia zake mda wote na uyo mme wako.
MICHE ya kupandwa ndan ya nyumba.
Mwanamke hakikisha nyumba yako ina muasmini,mti wa kilua ,langilangi sio lazma yote na sio lazima kama hupendi but ni vizuri zaid iwepo ndani ya nyimba,na inakazi zake maalum na faida zake ni nyingi tyu.
Kila ikifika jion ukishatandika kitanda chako tupia asumin juu ya kitanda ,mume akirud asikie haruf tu inamtambalia.kwa wanawake wanaojua kikuba ni muhimu mana inatengezwa kwa io miche maua yke,kwa wanaotaka manjonjo asumini zinatengezwa vizurii kama kibanio cha ktk nywele zinazunguka nywele kama kibanio alaf kinaninginia kwa chin.ayo ndo maelezo kwa ufupi.
Wewe mwanamke JIPENDE.
wengine watasema ohh watu wa sehem flani wanapenda kujipaka na kuchora hina,Ndio tunapenda na hayo ndo mapenzi yenyewe kama hujui mwanamke sharti mwili uvutie ,mwanaume akikuona asitaman kutoa macho ktk mwili wako,we mwanamke jitahid kusaafisha uo mwil wako ,mana kuna wengn wanafuga nywele mwilin hazitoi,huwez kumfananisha kati yako na mme wako.
jipangie kila baada ya wiki mbili au mwez wenda saloon kufanya wax.jipendezeshewe mwanamke hayo kwa ufupi tu.
Usiwe mtu wa KUPANIC kwa kitu kdg.
limetokea tatizo ndani ya nyumba usikimbilie kwenda kutangaza nje ,umeskia neno kuhus mmeo msubir arud muongee umsikilize anasemaje ,na ww mwanamke ndo unauwezo wa kumbadilisha mmeo na si mtu mwngn,sio kila awepoe ktk ndoa eti watu nje wafurah ,wengine wanaumia nje wakiona umestareh na mmeo ,wanataman muachane leo kabla ya kesho,sasa ww jitahid kupunguza hasira likitokea tatizo,na hata likitokea basi usikimbilie kuwaeleza mashoga zako nje ,kwa wale wenye mashosti,ao ao mashoga ndo wezi wakubwa unashangaa anakuibia iviivi kisa kueleza mambo yako nje kwa kutoyamaliza ndani ww na mmeo.
Tunza SIRI za mme na beba MADHAIFU yake.
uyo ndo mmeo na umemkubal tangu mwanzo ndo mana ukaolewa nae,udhaifu wake uubebe ww ,ww ndo faraja yake,aibu yake ndo aibu yko ww.ana kasoro yyte ww ndo mshauri wake mkubwa wa kumsaidia,sio kwa kwenda kutangaza nje ohh mme wangu ana kibamia,ohh mme wangu skuizi haniachii hela,ivi ww unaenda kutoa siri nje unafikir watu wanakuskitia??hahahaha pole yako,ndo kwanza wanafurahi ,ila kwa nje utawaona kama wenye huruumaaa kumbe hamna lolote,jifunze kua kua msiri.
Jali na ipende FAMILIA yake.
ukishaolewa familia yake ndio yako ww.ukipenda ua penda na boga lake.kama unavowaheshimu wazee wako na nduguzo basi ndo ufanye ivoivo kwa familia yake,jipendezekeze upendwe,onesha furaha yako kua ktk familia ile,onesha ushirikiano wako ,onesha uwepo wako kwa kushirikiana nao ktk kila hali shida na raha.hayo kwa ufupi tu.
Jifunze kumuita MAJINA MAZURI.
Ivi ww mara ya mwisho kumwita mmeo majina kama beybe,darling,honey ,stwy,habiby,na kadhalika ni lini??sishangai lkn uo ndo ukwel,kuitana majina mazuri kama hayo huongeza hisia za mapenzi na upendo baina yenu ,so kama ulikua hufanyi u have to change from now on.
Kua mwenye MAAMUZI ktk baadhi ya mambo.
ww mwanamke unauwezo wa kufanya baadhi ya maamuz na yakakubalika bila pingamizi lolote.naanza kuongelea kwa wale wapenda mazoez,unamwambia kabisa mmeo kwa lugha safi na laini ,hata akiwa mbishi hataki mwisho atakubali tu kwa jinsi unavomlea mume ni kama mtoto jamani.mume wangu asbuh na jion kila siku lazma tufanye mazoez mm na ww,mtafanya,mme wangu usku staki tule vyakula vizito ,ntakua nakuandalia vyakula vyepes kama mixed fruits na kitu flani.mambo kama hayo mbona mambo mdg atazoea taratibuu tu.Mwisho anazoea,live in healthier life.
Usisubiri kila siku UANZWE ww tu.
kiukweli hii ndio ipo sana na si kitu kizuri kila siku mwanaume ajitutumue akufate yy wa kwanza,mana atahis yy ndo mda wote anamatamanio ww mwenzake na mie huna hisia nae,mwisho ndo wale baadh ya wanaume wanajifanya makauzu japo wanataka wanaenda kuchepuka,ndio kwasababu na ww ushajizoesha uanzwe.kila ukiwa na faragha jitoe akili jigandishe mda wote karibu yake ,mshikeshike mda wote manjonjo mengn utaongeza ww simalizii.
usiwe gogo unapokua ktk zile RAHA zetu za sita kwa sita.
Najua kuna wengine wanakua kama magogo ,ndio kwasababu hawajishuulishi,hebu ukiwa na uyo mmeo akili itulize iwaze hapo tu ktk Ibada kuu alaf utasema how it feels.sio unawaza mhh ninanguo za kufua mie mara sjui sjapika mara ohh mtoto sjampigia pasi nguo zake,bibi weee mpe raha bwana uyo ayo mengine yatafata.mhh mana yapo haya mambo ndo mana nasema,utaskia mtu anasema ohh spati raha wakat la tendo la ndoa iyo ni moja ya sababu inachangia kutotuliza akili yako wakat ule,tendo la ndoa linahitaji heshma yake,wengn stress .jitahidi kutuliza akili iwaze kwa iko mnachotaka kukifanya na ujitaarishe kupeana raha,toa ushirikiano wako wote ,toa mihemo unapohis umekunika,sio umetulia kama sanamu bana ahhh kuwapotezea wenzenu stimu kisa na mkasa.mkitoka apo nyote mmeridhika sio mmoja karidhika mmoja anatoka karidhika lkn roho upande.tubadilike.
Weka UTARATIBU wako binafsi
MFN.kila wakati wa kula mnawishe mmeo mikono ndo mule chakula,maoenzi hasaa ni kula sahani moja sio kila mtu yake,na kulishana ikiwezekana ujipakatishe au ujiegemeze kwake mnalishana uku unampa maneno malaini hata kama anastress zake uko akija apo ww ndo barafu lake la moyo unamyayusha kiulainiii.MFN MWINGINE.mume wako mfanyie singo kila baada ya wiki mbili au mwez kutokana na mda wako,ndio singo mana si wote huwafanyia waume zao ni wachche sna na hayo ni miongoni mwa mahaba na kuongeza mapenz mana mume ataona duh yani mke wangu anayonifanyia sjawah fanyiwa nje na sidhan kama atatokea atakaenifanyia.tutaliongelea zaid siku ingine mada ni mada ingine io.
MFN mwngn.kua na utaratibu wa kumsafisha sehem zake nyeti (kumnyoa).ndio nasema ivi coz si wanawake wote wanayafanya haya ni wachache sn sn.so badilika kama ww ni mmoja wapo,sio lazmalkn ni mbinu tu moja wapo ambayo itaongeza mapenz ktk ndoa yako.
Usijitie KIMBELEMBELE.
Ivi unajua wanaume wanataka uhuru,sio mda wote umbanebane tu,simu yake imeita yy kaenda kuoga eti unaipokea ww ujue ni nani,ww mwanamke kama unatabia io naomba uache kuanzia sasa,acha usipokee subir arud umpe sim yake umwambie aim yako ilikua inaita,kwanza atashangaa mke wangu ananiamin sn,hata kama anafanya maov roho itamsuta.na atabadilika tu.kila mwanzo una mwisho.muhim mambo uyachukulie taratibu sio papara na kimbelembele chako dada angu kitakuponzaaa.
SHANGA na VIKUKU
ivi unajua matumizi ya shanga?mana skuiz wanawake tunajijaza shanga kiunoni hata kumi tukizani urembo tu,ndio urembo utakapozitumia vzry,sio uzibambikie tu na wala hujui zinamaana gani ,umemuona flan kavaa na ww ujibambikie tu shanga kumi kiuno kimoja.shanga zinavaliwa moja,tatu,tano na kuendelea in odd no.na kila shanga ina maana ake ,na faida ya shanga mwanamke kua nayo kiunoni ni kumuongezea hisia ya mapenzi yy na mwenza wake wawapo faragha,na hmuongezea hisia zaid mwanaume anapokodoa macho kiunon mwako akakutana kiuno kimepambwa na kimezungukwa shanga na pale anapozichezea...vikuku vya miguuni mwanamke lazma uwe navo,najua wengine wanahesabia kuvaa vikuku eti umalaya ,si kweli,kua malaya kwa mmeo jitoe akili ,nakuapia hatotamani nje kamwe.
UNAPOMUAGA mmeo na MAPOKEZI ya nyumban.
Ndio lazma na ili nilizungumzie,linaonekana ni jambo la kawaida mume kutoka kwenda zake kazini hali ya kua mke bado yuko ndani hajui mmew katoka mda gani na wala kuagana hawajaagana basi hata wakiagana ni ya maneno tu haya tutaonana jion,jamani tubadilike,mme wako kabka hajatoka mtizame alivovaa yuko safi?amependeza?ananukia? Nywee umemchana,vyote ivo mtizame kuanzia juu had chini,hapo ndo umuage kwa mabusu huku mmeegemeana,na umpe baraka zako na kumwambia safar njema.hayo ndo mapenzi.na akirudi kutoka kazini umpokee kwa bashasha na mabusu akikaa tu umvue viatu umpe glass ya juice ya parachichi na embe utakosha moyo wake huku ukimpa pole na machovuna mengine yafate kama kumkanda mwili kumtoa machovu na mengn,hayo kwa kufupisha tu.
JAMANI SITOMALIZA KUANDIKA
Kwa leo yanatosha hayo,huo ndio ujuzi wangu niwape na nyie wadada wenzangu myajue mlokua hamyajui au niseme niwakumbushie kwa yale mlokua myasahau .kiukweli yapo mengi sana ila naamini hapo mmepata kitu jaribu uone ,ww ndie uliekua na uwezo wa kubadilisha ndoa yako kua maridadi na si mwengn. mtanisamehe kwa nliowakera .Nimalizie NAWAPENDA SANAAA.
Shukran.
Big up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom