................Usifungue kusoma kama uhusiki......

If you [SUP]can't love[/SUP] me now, [SUP]don't love[/SUP] me later..........
 
Wanaohusika hapa ni wale Updp a.k.a breki ya nyau waliokua na mgombea anaekata mayi kama mamba pale igunga,chupa za bia zikimuona tu vizibo vinafunguka vyenyewe,mie simo.
 
Wanaohusika hapa ni wale Updp a.k.a breki ya nyau waliokua na mgombea anaekata mayi kama mamba pale igunga,chupa za bia zikimuona tu vizibo vinafunguka vyenyewe,mie simo.
"Vijana mna very proble, mnajianika juani asubuhi mpaka jioni kama solar power"
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

Mwaka jana mwezi wa 10 nilikutana na wewe unapelekwa mirembe kumbe bado ujapona.....
 
Mwaka jana mwezi wa 10 nilikutana na wewe unapelekwa mirembe kumbe bado ujapona.....
Waligundua kwamba sikuwa naumwa ila nilikuwa na akili zaidi yao wote na ndio maana nikawa nakuwa ahead of them kwa kila kitu............ so nikatolewa
 
Hii inatokea hata viongoz na watu wa kiroho wanaangalia picha chaf, coz zinakatazwa. Mi nimeangalia ili nijue kwa nn anikataze? Ukitaka wasiangalie wasiohusika usiwakataze. Hata ndo maana wanafunz wakiwa bodin wanatoroka kwenda disko, ila wakishamaliza shule wakiwa frii hawaend tena.
 
(..................Usifungue kusoma kama uhusiki........) Hivi hiki kiswahili umekitoa wapi ?

Uhusiki :Ndo nini sasa. Acha kuharibu lugha yetu .

Bahati yako, ningekutembezea kifimbo cheza.
 
Hii inatokea hata viongoz na watu wa kiroho wanaangalia picha chaf, coz zinakatazwa. Mi nimeangalia ili nijue kwa nn anikataze? Ukitaka wasiangalie wasiohusika usiwakataze. Hata ndo maana wanafunz wakiwa bodin wanatoroka kwenda disko, ila wakishamaliza shule wakiwa frii hawaend tena.
Kweli kabisa sijui ndio curiosity au ni hali ya binadamu ya kufanya kile walichokatazwa! Vitabu vya Mungu vinasema usifanye dhambi watu ndo wanafanya kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom