................Usifungue kusoma kama uhusiki......

(..................Usifungue kusoma kama uhusiki........) Hivi hiki kiswahili umekitoa wapi ?

Uhusiki :Ndo nini sasa. Acha kuharibu lugha yetu .

Bahati yako, ningekutembezea kifimbo cheza.
Ndio maana ukachagua jina la kitu ambacho kazi yake ni kutengeneza Ufagio tena hasa wa nje na chooni......................sa kwa fikra zako we hapo kiswahili fasaha ni kipi?
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

Huwezi kunilazimisha kuchangia, na sichangii sasa, fanya unaloweza.
 
Ndio maana ukachagua jina la kitu ambacho kazi yake ni kutengeneza Ufagio tena hasa wa nje na chooni......................sa kwa fikra zako we hapo kiswahili fasaha ni kipi?[/QUOTE
Sasa hapo ndo umechemsha, fagio linatengezwa kwa chelewa, makuti kazi yake kuezekea au kupaua kwa lugha ya pwani.
 
Gud 4 u
 
Onyo!
Ni marufuku kuipotezea thread hii....................Hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayekiuka amri hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom