................Usifungue kusoma kama uhusiki......

Narudi kucomment muda si mrefu....... Hivi kwanini nimeifungua khaaaaa........
 
Nyie ndo watu mnaojamba kimya kimya afu wengine wanaanza kusingiziana.
Hahahahahaa i kinda like this thread now more than when i was writing it, watu wanasema siri zao bila kujua
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

NAUNGAMA. Nimekosa. Yani sirudii tena. Nilijua NAHUSIKA.
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

Mie sijafungua!
 
wewe wa ajabu.jpg

wewe wa ajabu
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

aka! mi cjafungua, kwa heri...!!?
 
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........

Jambo..!
 
Back
Top Bottom