................Usifungue kusoma kama uhusiki......

Vichaanza wanaanza kwa staili kama hii.
Geniuses, Intelligent pia wanaanza kwa staili hii hii now how do u tell kama ni kichaa or the other way round...............
 
kule Himo Moshi kuna pombe inaitwa mbundimbundi , ukinywa inaganda tumboni kama lami halafu unakosa hamu ya kitu chochote

hii thread ina harufy ya mbundimbundi

hahahahahahahahahahahahahahahahaha.
 
ahhhh sio mimi bana mouse imejifungulia yenyewe
Hahahahaaa haya kaka, hope u had a great week and welcome to a very long weekend mi kesho nina mpango wa kwenda Butiama kuongea na BABA WA TAIFA
 
Mkuu wiki yangu ilikua njema sana namshukuru Mungu kwa hilo na naona weekend ndefu inaanza na imeangukia Ijumaa
Asante sana mkuu na uwe na weekend njema pia na safari njema kama unasafiri pia
 
Shukurani sana kaka nasafiri kama 45 km hivi so sio safari ndefu
 
Mkuu hii mbinu lazima itakuwa ya kupima discipline za watu. Woote walioingia humu wamekosa adabu kwani hawahusiki. Ungewaambia watoto wa chekechea hakuna ambaye angeingia humu kwani watoto ni innocent na ni watiifu ila mijitu mizima inataka kila kitu kuchungulia huku KWA NINI ZIKIWA NYINGI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unaitwa UPEKENYUZI
 
Sitakiwi kuwa humu ila bado naendelea kucomment hii si haki
Kuna mawili, huenda unatakiwa kuwa humu au ni mgumu kufuata maagizo. Kati ya hayo mawili ni lipi hasa ndio swala la msingi
 
Back
Top Bottom