Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

heee!! Usiniambie uko pande hizo???
so kihivo, ila nilikumbuka kauli mmojawapo ya Ibrahimu Lipumba wakati wa kampeni 2005, alisema endapo angepata urais basi angempa kikwete nafasi ya kuwa waziri atakaeratibu ishu za warembo koz ye mwenyewe mrembo.
 
Yangu nayabania mmmhh
nikiyandika nakula BAN ya mwaka...
samahani mpenzi...


ha ha ha.... AD dear... wewe sio wa kwanza...
hizi kauli zinanifurahisha kweli... naona kweli
wengi wanayabania... nipe hints basi...
nakupa multiple choice ifuatayo;

I will narrow it down for you

  1. Sex related
  2. Anger related
  3. Name calling related
  4. No Guts related.
 
so kihivo, ila nilikumbuka kauli mmojawapo ya Ibrahimu Lipumba wakati wa kampeni 2005, alisema endapo angepata urais basi angempa kikwete nafasi ya kuwa waziri atakaeratibu ishu za warembo koz ye mwenyewe mrembo.



Ila kweli JK analipa in that Sector....lol
 
curiosity can kill a cat wifi. slowly bt surely, ngoja ntakuambia kesho ....hehehe

Wifi siukuachiii ..... lol

I will narrow it down for you

  1. Sex related
  2. Anger related
  3. Name calling related
  4. No Guts related.
 
JK is a good person and a good man... hilo ndio TATIZO...
He has the best interest at heart ya Watanzania... ila kazi hawezi..
yeye ilitakiwa tu awe mfanya biashara maarufu mwenye mpunga mrefu
wa kuweza kuenda nje mara kwa mara... na ku entertain yoote ayapendao
For Uongozi wa nchi masikini kama Tanzania inatakiwa a Mentally and
Physically Strong Person....


Umeanza vizuuuuri halafu unakandia makusudi tu niudhike!
 
trust me wifi yangu, none of those. and i guess u will never guess. since kesho hii request ya kutokuchakachua itakuwa haipo, naahidi kuchakachua,lol! ngoja nikimbie b4 hujanibananisha kwenye kona!

Wifi siukuachiii ..... lol

I will narrow it down for you
  1. Sex related
  2. Anger related
  3. Name calling related
  4. No Guts related.
 
Nafikiria nifanye nini kesho.Nipumzike nyumbani with a good book and my phone turned off au nifuatilie kitu ambacho nakihitaji next week.
 
vipi, walikuwa wanakukodolea mijicho? kama umeanza kuzeeka mkuu unahitaji bodyguard aisee. na unajua sheria ya kujamiina mwanaume habakwi na mwanamke?

Kumbe? Ndio maana juzi nikiwa town nilikuwa najiuliza huu mji vipi?
 
Pole dear... we are in the same boat.... akija rudi wangu..... Dah!

Hili Gozi langu halichelewi, safari zake za haraka haraka, alikuwepo leo asubuhi kanipigia simu anasafiri, ndio zake. Ji handsome langu, nikubandikie picha yake hapa? Wengi watalia nikiiweka! lol.
 
Back
Top Bottom