Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

Asha bana! Haya mawazo tunayowaza "hayaandikiki" lakini siyo kama ya The Boss. Actually amenifanya nicheke. Inaelezwa kuwa more than 70% ya wanaume wanapokuwa kwenye foleni za magari barabarani huwa wanawaza mambo ya "wakubwa." Huu utafiti sijui ni hakika kiasi gani. Sina jeuri ya kusema ninayowaza sasa.. ila ni mambo ya kawaida sana.

Hizo asilimia sina hakika nazo ila naweza kukueleza kwa hukakika kabisa kwamba wanaume mara nyingi wanawaza vitu vikubwa viwili,

Pesa (na viambatanisho vyake...kinywaji au deal nyingine)
Ngono...mara nyingi na kiumbe kipya ambacho kiko kwenye wish list yake au kakiona mahali!!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
I will narrow it down for you
  1. Sex related
  2. Anger related
  3. Name calling related
  4. No Guts related.
P.S.. Long time man... how have you been?

Unanitafutia ban eh? I have been around labda tulikuwa tunapishana, though siku zilizopita nilikuwa natoa povu jukwaa la siasa. Kuna siku nili log in nikakutana na thread inaulizia kama Asha Dii na Steve Dii ni ndugu. I had to log out straight away.
 
naangalia kipindi fulani TBC kinachohusiana na barabara mpya inayofunguliwa usagara, namfikiria kikwete anavyojishadadia na kuwaibia mawazo wananchi.

JK is a good person and a good man... hilo ndio TATIZO...
He has the best interest at heart ya Watanzania... ila kazi hawezi..
yeye ilitakiwa tu awe mfanya biashara maarufu mwenye mpunga mrefu
wa kuweza kuenda nje mara kwa mara... na ku entertain yoote ayapendao
For Uongozi wa nchi masikini kama Tanzania inatakiwa a Mentally and
Physically Strong Person....
 
naangalia kipindi fulani TBC kinachohusiana na barabara mpya inayofunguliwa usagara, namfikiria kikwete anavyojishadadia na kuwaibia mawazo wananchi.

Aaah jamani! hata mie nimekiangalia, ni mambo mazuri tu, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Sijachakachua, yale ya mwanzo na haya ni tofauti.

ha ha ha... hapo nimekupata....lol.. ukifikiria mengine please come back...

Hizo asilimia sina hakika nazo ila naweza kukueleza kwa hukakika kabisa kwamba wanaume mara nyingi wanawaza vitu vikubwa viwili, Pesa (na viambatanisho vyake...kinywaji au deal nyingine)
Ngono...mara nyingi na kiumbe kipya ambacho kiko kwenye wish list yake au kakiona mahali!!

What an insight... kumbe mnakua na wish list.... i see....
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Unanitafutia ban eh? I have been around labda tulikuwa tunapishana, though siku zilizopita nilikuwa natoa povu jukwaa la siasa. Kuna siku nili log in nikakutana na thread inaulizia kama Asha Dii na Steve Dii ni ndugu. I had to log out straight away.

ha ha ha.... yaani jina langu linakutisha hivo siku hizi??? lol You know me man... ungekuja kunitetea....
 
ha ha ha.... yaani jina langu linakutisha hivo siku hizi??? lol You know me man... ungekuja kunitetea....

No that way. That fact is I have known Asha Dii na Steve Dii kwa muda mrefu sasa, but I have never thought about your "surnames" kufanana.
 
No that way. That fact is I have known Asha Dii na Steve Dii kwa muda mrefu sasa, but I have never thought about your "surnames" kufanana.

Hata mimi sikugundua mpaka siku moja Rev aliponiuliza....
Huyo mfungua uzi siku hio nilibanana nae jukwaa la elimu
aladu kumbe Steve alibanana nae jukwaa la Siasa... thus piqued his interest...

Sasa hapo nini kulikukimbiza and you know both of us?? lol
 
Aaah jamani! hata mie nimekiangalia, ni mambo mazuri tu, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
yap! FB and FF on the line! Hivi faiza we unaizimikia ccm au unamzimikia jk? Huyu jamaa simpendi kama nini! 100% kazi kaifanya Magufuli ambae nae kwa kutetea wali kajifanya anamjazia misifa kibao. Jk ye ni kusafiri tu na kuuza sura huku wapiga kura tunaishi kwa mwanga wa mishumaa na makoroboi kutokana na mgawo wa umeme!
 
Hata mimi sikugundua mpaka siku moja Rev aliponiuliza....
Huyo mfungua uzi siku hio nilibanana nae jukwaa la elimu
aladu kumbe Steve alibanana nae jukwaa la Siasa... thus piqued his interest...

Sasa hapo nini kulikukimbiza and you know both of us?? lol

Niliona kama uzee umeniingia vile that I couldn't figure this out.
 
JK is a good person and a good man... hilo ndio TATIZO...He has the best interest at heart ya Watanzania... ila kazi hawezi..yeye ilitakiwa tu awe mfanya biashara maarufu mwenye mpunga mrefuwa kuweza kuenda nje mara kwa mara... na ku entertain yoote ayapendaoFor Uongozi wa nchi masikini kama Tanzania inatakiwa a Mentally andPhysically Strong Person....
ndiyo, he is good person when we will be searching for handsom guys.
 
Back
Top Bottom