ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.
Kuna mtu (mwanamke) aliropoka nadharia moja kwamba "ukiona wanawake wa eneo fulani hawajui mapenzi basi na wanaume wao wako hivyo hivyo-kwamba na wanaume wao ni bure kabisa kitandani". Kwa kuwa mimi ni mwanaume siwezi kuthibitisha hilo, ila kina dada mnaweza kutusaidia hapa kwa kuweka mambo hdharani kuhusu hii nadharia niliyoisikia.