Usibabaike na fremu za wanawake

kukatikiwa kuna raha yake jamani,, na ndo sifa ya mwanamke .sasa na wanaume wakikaa kama gogo inakuwaje hapo patanoga kweli?
 
mkuuuuu na mim kama wewe na toto la ki machame zuri lakini doh doh doh kwenye sita kwa sita gogo mwanzo mwisho
 
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao za asili. Siku hizi wanawake wengi wanajiingiza katika masuala ya kuutaka uzungu na kuzikimbia asili za kwao.

Unaweza kumuona mwanamke mzuri wa umbele kumbe hana lolote, hajafundwa na mila za kwao, wengi wamefundwa katika Kitchen Party hizi za wajanja wa mjini ambazo hata hao wanaoziongoza wameshindwa kabisa kutunza ndoa zao. Wanasema Kitchen Party ziko kwa ajili ya kukusanya vyombo tu.

Zamani ukikutana na mwanamke kutoka Tanga, Tabora, Mwanza, Uzaramoni, Mtwara, Kigoma na kwingineko kasoro Moshi tu alikuwa akijua kukitumia kitanda bwana, mwanaume ulikuwa ukiridhika.... siku hizi hata chachandu hawavai eti wanavaa cheni za dhahabu. Wamebaki fremu tupu za uzuri lakini hawana kitu, umeshaziona zile fenicha zinazotoka nje ya nchi, basi uzuri wake ni bure kabisaaa, ni sawa na wanawake wa leo, ukimpa bia zako ukiiingia naye chumbani hupati starehe unayoitarajia ndiyo maana wanakimbilia kutoa tigo. unajuta hata kwanini ulimtongoza.

Jamani wanawake hebu rudini kule vijijini mkafunzwe na Makungwi kama bado wapo..... maaana hii ni sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa sababu wanawake wengi wanalala kama magogo.
Hapo kwenye red wanawake wa kichaga badilikeni.
 
Yaani utoe bia ndio ulalamike hujakatikiwa??sema hao unaochukua unaokota barabaran c wapenzi ila ni machangu,hawapo kwa ajili ya burudani ila kikazi zaidi ukitaka wakatike basi watakutoza ya KUKATIKA kaka weye!!teeh teh teh!teh!unalo wapo mafund tatzo unaokoteza vijike sio wanawake.
Sijui kwanini Watanzania wakiambiwa ukweli wanakuwa na hasira na ku-provoke ovyo, nimezungumzia kuhusu asili ya wanawake wa zamani na jinsi mila na desturi zilivyopotea, kwamba wengi wameacha asili na kuutaka uzungu, hawajui kuwafurahisha waume chumbani, hawajui kufanya mapenzi, hawajui kukatika viuno.... nani amesema kuhusu machangudoa? haitakiwa akili ya ziada kuelewa hata watu kuchangia kuhusu mashoga, nahisi hao wanachangia ni machangu na mashoga ambao kwa njia moja ama nyingine wanatangaza bidhaa zao... please acheni ****** wenu.
 
Nashukuru Mungu katika hao wanawake ndani yake kuna dada zako, shangazi zako, mama zako na hata rafikizo.
Hivi huu ushauri umeshawahi kuwaambia live yaani ana kwa ana hao wanawake nduguzo au umekuja tu JF kuwachimba mkwara dada za wenzio???
Evarm unajua mila na dasteri za Kitanzania? hivi kama hao uliowataja wakisoma hapa hawawezi kujifunza kitu, hawawezi kujua udhaifu wao? Siyo rahisi kwa mwanaume kumfundisha dada yake na wengine mambo hayo.... jamani dunia imebadilika hamuoni???????? watu wanaacha mila na desturi zao hivi hamna macho????
 
hivi wewe simba mkali hebu nikuulize, wanaume wengi sasa hivi ni vikojozi, akiona paja kamaliza, hicho kiuno utamkatia saa ngapi. hebu tupishe hapa na thread yako isiyo na ukweli. au kwa vile huwa tunawasitiri uchafu wenu...? asilimia 75% ya wanaume ni vikojozi. kuna mmoja alileta mada juzi juzi tu hapa ya kulalamika kua siku hizi hamuwajibiki, sasa wewe leo unataka kiuno, cha wapi? wakati sekunde mbili mkojo unakutoka tena hapo ni kama jogoo kabahatika kuwika, maana asilimia kubwa mnashindia michips vumbi na supu za baa jogoo hawiki mpaka aimbiwe, akibahatika ndio mikojo chapachapa. sasa sijui kiuno utakipata vipi.
: Teh Tehe Teh.... Thead ya uongo.... sawa huo ni muono wako siwezi kukataa lakini ujue kuwa ukweli unaujua wewe ni mwanamke mimi ni mwanaume... nimesema kuhusu udhaifu wa wanawake unaukataa, unadhani ukisema udhaifu wanaume wataukubali?.... hebu niambie uliwashawahi kufundwa?
 
Kama wanawake hawafai nenda karukiane na wanaume wenzio.
Kiziza sijasema hawafai ila wanatakiwa kujifunza mila na desturi za Kitanzania walichoachiwa na bibi zao, wengi wanafanyiwa kitchen party ambazo haziwezi kuwaongoza vyema katika kulinda ndoa zao, hili hulioni? unanishangaza.... eti nenda karukie wanaume wenzio! uko sawasawa kweli?
 
Simba Mkali naona umeamua kwatumulia vumbi wanawake lakini kama hawaelekei si umfundishe, wakijitia wanajua utasikia malaya wakiona aibu ili mmchangamshe hajui lipi lililo bora?
Mzee wa Rula kama wewe ni mzee kweli unaweza kujua tofauti ya wanawake wa zamani na sasa.... tatizo wengi ninaozungumza hawakuwa na akili timamu miaka ya 80, wangejionea mambo yalivyokuwa mwanamke akijua wajibu wake chumbani ndoa yake haiwezi kuvunjika hata siku moja. hebu sema kweli weee mzeee.
 
Yaani wewe unawaza mapenzi 2!umekosa thread za kupost? Kuna m2 aliyezaliwa anajua hayo mapenzi,.come on..sio kl kabila wanafundishwa hayo mambo..hlf inavyoonekana wewe ni playerboy..n if unayaweza sana hayo mapenzi mfunde huyo mwenzi wako sio kumdharirisha na kuona wanawake wote wako sawa..huna adabu!
Nadhani ulitaka nizungumzie ujambazi sehemu ya mapenzi, thread zote hapa ni mapenzi ukitaka siasa fungua sehemu ya siasa. Kweli miye ni Play boy tena nimeanza zamani ndio maana nimeona mengi na pia ni kweli nayaweza kwa kiwango changu, kweli sina adabu kwa kuwa nimesema ukweli, sijamdhalilisha mtu kwa kuwa sijataja jina la yeyote. huo ni utafiti mdogo nilioufanya.... wanawake wengi wamebaki fremu zinazovutia kwa nje ndani hawajui kitu.
 
umetembea nao wote?
Siwezi kutembea nao wote lakini utafiti unahusiana na wale niloowahi kuwa nao siku za nyuma na hivui karibuni, pia kuongea na watu mbalimbali ndugu jamaa na marafiki ambao kwa njia moja ama nyingine wamekuwa wawazi kwangu na kunipa ukweli wao wa chumbani. najua hata siye wanaume tuna udhaifu wetu iko siku nitauweka bayana hapa hapa JF.
 
Sijui kwanini Watanzania wakiambiwa ukweli wanakuwa na
hasira na ku-provoke ovyo, nimezungumzia kuhusu asili ya wanawake wa
zamani na jinsi mila na desturi zilivyopotea, kwamba wengi wameacha
asili na kuutaka uzungu, hawajui kuwafurahisha waume chumbani, hawajui
kufanya mapenzi, hawajui kukatika viuno.... nani amesema kuhusu
machangudoa? haitakiwa akili ya ziada kuelewa hata watu kuchangia
kuhusu mashoga, nahisi hao wanachangia ni machangu na mashoga ambao kwa
njia moja ama nyingine wanatangaza bidhaa zao... please acheni ******
wenu.
Sasa si ukaoe hao wa zamani kwani wameisha? Wote mnapaswa kuwa performers sio wewe hujifunzi mbinu yoyote ukishajua ile simple harmonic motion(to and from) umemaliza unataka mwanamke ndio akuburudishe! Jitume.
 
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao za asili. Siku hizi wanawake wengi wanajiingiza katika masuala ya kuutaka uzungu na kuzikimbia asili za kwao.

Unaweza kumuona mwanamke mzuri wa umbele kumbe hana lolote, hajafundwa na mila za kwao, wengi wamefundwa katika Kitchen Party hizi za wajanja wa mjini ambazo hata hao wanaoziongoza wameshindwa kabisa kutunza ndoa zao. Wanasema Kitchen Party ziko kwa ajili ya kukusanya vyombo tu.

Zamani ukikutana na mwanamke kutoka Tanga, Tabora, Mwanza, Uzaramoni, Mtwara, Kigoma na kwingineko kasoro Moshi tu alikuwa akijua kukitumia kitanda bwana, mwanaume ulikuwa ukiridhika.... siku hizi hata chachandu hawavai eti wanavaa cheni za dhahabu. Wamebaki fremu tupu za uzuri lakini hawana kitu, umeshaziona zile fenicha zinazotoka nje ya nchi, basi uzuri wake ni bure kabisaaa, ni sawa na wanawake wa leo, ukimpa bia zako ukiiingia naye chumbani hupati starehe unayoitarajia ndiyo maana wanakimbilia kutoa tigo. unajuta hata kwanini ulimtongoza.

Jamani wanawake hebu rudini kule vijijini mkafunzwe na Makungwi kama bado wapo..... maaana hii ni sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa sababu wanawake wengi wanalala kama magogo.

Haya mambo ya kukata mauno ni very theoretical, watu wanawaangalia mabinti wanavyonengua mauno yao wakati wakicheza ngoma/mziki alafu wanategemea kuexperience the same performance wakiwa kitandani, inawezekana vipi?
mtu umemlalia kwa juu atawezaje kukatika??

the only way ukitaka akatike ni lazima umpe ushirikiano, kwa maana ya kwamba, kama uko juu yake basi unalazimika
kiuno chako ukiinue ili usimkandamize then atakuwa fee kuzungusha kiuno (kama anaweza) na hil ni challenge kubwa
sana kwa mwanamme sababu mara nyingi huwa tunatamani kumshindilia mwanamke kwelikweli, kitu kinachosababisha
kupoteza opportunity ya hiyo experience.

Lakini zaidi ni kwamba, sidhani kama ni interesting kutaka kukatikiwa na mwanamke sababu, experience yangu inanionyesha kwamba, ukimpa mwanamke fursa ya kukatika (according to her instructions of course) basi ujue
umejitakia kuimaliza hiyo session haraka sana, mwanamke akikutakia hauwezi kumudu kuucheza mchezo kwa zaidi ya dakika tano, na hapo ndio wengi wetu huwa tunalia, maskini.

Wakiwezeshwa wanaweza.
 
Tatizo umeizungumzia staili moja tu ya baba na mama basi, inawezekana ndiyo unayoijua....
 
Sasa si ukaoe hao wa zamani kwani wameisha? Wote mnapaswa kuwa performers sio wewe hujifunzi mbinu yoyote ukishajua ile simple harmonic motion(to and from) umemaliza unataka mwanamke ndio akuburudishe! Jitume.
Annie mi nina kiwango kikubwa sana, tena uwezo wangu si wa staili moja kama ulivyosema hiyo staili siye tunaiita baba na mama wewe umeiandika kama simple harmonic (to and from) hapana tumeshaiacha zamani.
 
Lawama za nini? Vipi kuhusu wanaume (wewe)? Unategemea nini kwa mwanamke kuingia kitandani na mwanamume asiyejishughulisha? Yaani mwanamume uko pale ukiangalia mwanamke atafanya nini!!? Umesahau wewe ndio kiongozi wa game zima? Ikiwa mwanamume ameduwaa; mwanamke afanye nini? Utamu wa ngoma unaanzia kwa mpigaji;ngoma ikipigwa vibaya, hakuna atakayecheza vizuri.
 
Back
Top Bottom