CONSULT
Senior Member
- May 8, 2011
- 194
- 199
Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! !
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD)
Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki hadi juzi tu 5.6mln
Invoice zipo
Naomba msaada kwa yeyote na kwa wahusika TRA
Ili niweze kulipa ushuru niliouona na kunishawishi kuiagiza hiyo gari wakati itakapofika,
Vielelezo vyote vinavyohitajika INVOICEs MALIPO vipo endapo vitahitajika..
Sababu siwezi irudisha au ku cancel. Hata hivyo hizo pesa sina..