Huu ndio ujinga. Kama ni za itifaki ungesema ni kwa wote waliochaguliwa, si mtu mmoja.[FONT=courier
new]Membe na Mukama wamepita kwa kura za
kiitifaki! Hawakushinda uliza wahesabuji watakwambia Membe alishindwa
hata na LE Mutuz[/FONT]
kumzuia EL kutimiza matakwa yake ndani ya magamba camp siyo rahisi kama unavyothani..subiri uone akili yake.
Tumechoka na habari za CCM, hata wamsimamishe Malaika mwisho wao ni 2015. Nukta.
Whatever the case, EL atakutana na Dr. Slaa kwenye mchuano wa mwisho. Kwa hiyo wadau tujipange uko upande gani? Kubali au usikubali juu yako. Pesa nyingi sana imeshatumika kutafuta nafasi kwa ajili ya EL. Amua sasa.
Kwa hiyo mleta mada unataka kutuaminisha kuwa JK au Membe ni wasafi au?
Angalau bandugu unafikiria kwa kutumia akili.
Mie naomba niulize tu, WAPI NA LINI LOWASSA ALISEMA ATAGOMBEA URAIS MWAKA 2015?......
Whatever the case, EL
atakutana na Dr. Slaa kwenye mchuano wa mwisho. Kwa hiyo wadau tujipange
uko upande gani? Kubali au usikubali juu yako. Pesa nyingi sana
imeshatumika kutafuta nafasi kwa ajili ya EL. Amua sasa......