USHINDI WA ARUMERU - M.M.Mwanakijiji alijuaje?

mmh.. yamekuwa haya sasa! just ignore me please.

Ilikuwa mwaka 2008, wakati huo JF ikijulikana kama Jambo forums, hapa ndipo nilipoanza kumfahamu huyu Mzee Mwanakijiji, nilibandika PM yangu hapa jamvini, kwa kweli haikuwa na mtiririko mzuri, nilikuwa nasimuliwa kisa cha Mzee Maganya wa kule kwetu Mara.

Unajua aliniambia nini Mzee Mwanakijiji?
Akasema hivi......

Mwita una hoja nzuri ila elimu yako inatia shaka.

Nilijisikia vibaya sana, nikawaza moyoni mwangu hebu huyu mtu kajuaje kuwa elimu yangu ni ya kubahatisha? tena 4m 6 ya kutafuta tafuta?kadiploma ka graphics?

Lakini wachangiaji wengine siku zile wakaniponda, wakanikejeli sana, kwake yeye Mzee Mwanakijiji akanishauri nitie bidii ili niweze kuwakilisha hoja kwa usahihi. Mwaka ule ule nikaamua kutafuta chuo(university) na kuendelea kusaka maarifa.

Mzee Mwanakijiji ana busara, hekima.
Mungu amuongezee siku za kuishi, ili watanzania walio wengi wafaidi kisima hiki cha busara na hekima na pia tunamuomba sasa arudi nyumbani tuikomboe nchi yetu.

 
Isaya Mwita,

Nimefurahishwa sana na ''ushuhuda'' wako kuhusu Mwanakijiji. Nadhani watu wote tungajaliwa kuwa kama wewe kuchukua criticism katika hali chanya basi tungefika mbali sana.Mwanakijiji is very unique sometimes huwa nahisi labda ni programed machine maana ana mambo amabyo ni adimu sana hapa Jamvini- No pumba, hatukani, yuko precise, anajua issues, mshauri na halazimishi. Asante Mungu kutupa huyu Mwanakijiji
 
Isaya Mwita,

Nimefurahishwa sana na ''ushuhuda'' wako kuhusu Mwanakijiji. Nadhani watu wote tungajaliwa kuwa kama wewe kuchukua criticism katika hali chanya basi tungefika mbali sana.Mwanakijiji is very unique sometimes huwa nahisi labda ni programed machine maana ana mambo amabyo ni adimu sana hapa Jamvini- No pumba, hatukani, yuko precise, anajua issues, mshauri na halazimishi. Asante Mungu kutupa huyu Mwanakijiji

Hilo ni jembe.
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

Wewe hukutumiwa ya ccm ukayaweka? badala yake ulikimbia jf hukuonekana wiki nzima.
 
Huna lolote, CALCULATOR ndo nimeshaingia jamvini, ntakuwa nawapa data za CCM mpk mchanganyikiwe wenyewe. Tatizo nyie CDM mmegeuza JF kama yenu. Subirieni uchaguzi mdogo wa madiwani ARUSHA mjionee wenyewe moto wa CCM. Tumejipanga, mtajibeba safari hii. Mwanakijiji ntakuuliza swali baada ya hukumu ya kesi ya LEMA kesho, nipime brain power yako..

CC.
calculator
 
Last edited by a moderator:
Tangopori; Hawa kina Calculator hawana muda wa kuchunguza mambo ila kuandika/kusema wanachotumwa na Mwigulu kisha wanakimbia jamvini baada ya matokeo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom