USHINDI WA ARUMERU - M.M.Mwanakijiji alijuaje?

huyu mzee inabidi tumchunguze, anawezekana akawa ndo pweza wa tanzania. kama atakuwa pweza kama paul tunampeleka makumbusho ya taifa.
 
kwa usahihi wa utabiri wake ni lazima atakuwa anatumia pacha wake na marehemu pweza Paul
 
Mi najua Mwana kijj alichofanya ni kama alichofanya NAPE kule Igunga kwa kutoa matokeo ya ukweli na kisha kukana kuwa si YY.
Ila matokeo huya yapo wazi kama mtu unakuwa na mfumo mzuri wa kujumlisha kutoka vituo vyote.
Hii njia ya mwaKJJ nimeipenda coz huwa inaondoa uchakachuaji katika hatua za mwisho manake magamba kwa kufanya fix ndo wenyewe.
 
Huna lolote, CALCULATOR ndo nimeshaingia jamvini, ntakuwa nawapa data za CCM mpk mchanganyikiwe wenyewe. Tatizo nyie CDM mmegeuza JF kama yenu. Subirieni uchaguzi mdogo wa madiwani ARUSHA mjionee wenyewe moto wa CCM. Tumejipanga, mtajibeba safari hii. Mwanakijiji ntakuuliza swali baada ya hukumu ya kesi ya LEMA kesho, nipime brain power yako..[/QUOTE]

Kama unamuda wa kuperuzi Thready moja iliyoletwa na jamaa mmoja akiwa na washkaji zake wakiwa baa! Basi utapata jibu la Mwanakijiji kuhusiana na hiyo kesi! Amesema mjiandae kwenda pale viwanja vya mahakama kusherehekea ushindi wa Chadema hapo kesho.
inamaana ni mkweli kabisa huwa habahatishi
 
Vita ili piganwa ndani na nje ya Arumeru Mashariki,

Alicho fanya M.M Mwanakijiji kinaitwa 'mind game' alianza kwa ku wa dash wamagamba kwa kusema CDM ikishindwa Arumeru safu yote ya uongonzi ndani ya chama ijiuzulu wakazubaa na kuingia mkenge wakijua dhahiri CDM kuna moshi unafuka! then saa tano ya usiku wakati wamagamba wanajiandaa kutuibia na kuchakachua kura zetu Mzee MM akautanganzia umma wa wa TZ (kupitia JF) matokeo! hiyo mijizi ika paralyse huku mijizi mingine ikikamatwa live na kuambulia vipondo vya mbwa mwizi! kilicho fuata ni kwa msimamizi wa uchaguzi (asubui asubui tena bila kupenda) kumtanganza 'dogo janja' a. k.a Daud kama mshindi kwa kumpa kichapo cha kueleweka kubwa jinga a.k.a goliati.

Tukiwaambia wamagamba thinktank cabinet yao imejaa vilaza watupu wanachukia lakini ukweli ndio huoo


Shukran kwa M.M Mwanakijiji na wapiganaji wenginee waliokesha na kuzilinda kura zetu adi kika eleweka!
 
Ngoja niweke sawa hivi; haya mambo si ya mtu mmoja hata kidogo. Miye niko Marekani kwa hiyo bila ya shaka lolote nitakalokuwa nimelifanya - iwe kwenye hili au mengine - ni kidogo sana kulinganisha na lile lililofanywa na mashujaa wasioonekana. Kwa karibu wiki moja kabla mtandao mzuri ulikuwa umewekwa wa kuhakikisha tunapata matokeo ya vituo zaidi ya asilimia 60 hivi ili kuonesha trend inakuwaje. Lakini zaidi pia kucross check na watu mbalimbali ambao walikuwa na taarifa za first hand.

Hivyo, naamini shukrani kubwa ni kwa wale vijana ambao walihakikisha wanaenda kwa mapikiki kituo baada ya kituo na kukusanya matokeo kwani hawa ndio kaw kweli kabisa walifanya kazi ngumu. Binafsi nawapa hawa heshima ya kipekee. Vijana ambao walijitolea muda na raslimali zao kuhakikisha kuwa kura za wananchi hazichezewi.
 
Nimekukubali MMM ongeza juhudi ktk mapambano haya ni njia nzuri uliyotumia tunaomba na wengine waige ili kuimaroisha taarifa rasmi na sahii hapo jf.
 
Bahati mbaya ni kuwa tunao wengi wenye uwezo wa kufanya kama MMKJ lakini hawana ari ya dhati kufanya hivyo.Ila sasa nadhani watakuwa wameona mageuzi ya kweli lazima sote tushiriki kila mtu kwa kadri alivyojaliwa na mola.
 
MMKJ zamani ya Nyerere alikuwa TISS ila ufisadi ulipozidi akaona aponye nafsi na dhamiri yake!

Sishangai anajuaje haya yote! (Joke)



Hongera komredi together tunawakilisha mpaka uhuru kamili
 
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman

Mzee unapendwa sana tu, na unakubalika. By the way, hivi wewe ni mfuasi wa chama gani? Nachojua siku zote huwa husiti kukosoa panapobidi iwe CCM, CDM, CUF etc..!
 
Mwanakijiji ni mtu mwenye vyanzo vingi vya habari na vya uhakika, anajua jinsi ya kuhack information na kuzitumia.
 
Oh boy! nyie naona hamnipendi... I just guessed. Anyone could do it even a caveman

hata YESU walimshangaa jinsi alivyokuwa anaongea kwa mamlaka na wakamuuliza ni kwa mamlaka gani unafanya hayo? Mimi nilishangaa sana jinsi ulivyokuwa na mamlaka ya kuwaambia viongozi wa CDM wajiuzulu! ni kwa mamlaka gani uliweza kufanya hayo yote?
 
Binafsi namkubali sana MM.Anajua mambo ya kila siku ya hapa Tanzania kuliko sisi tuliokaa hapa.Nilimfahamu MM kwenye ishu moja ya Bodi ya Mikopo akiandika makala ya uozo wa bodi na means testing yao yapata miaka 4 iliyopita kwenye gazeti la Kulikoni la Julai.Nilianza kufanya aye mawasiliano na nkigundua ni mtu makini anayejua kila jambo kwenye ardhi ya Tanzania hadi kule kijijini kwetu.Kichwa chake kipo active kuliko viongozi wengi tulionao Tanzania.Japo siijui kazi yake na amesomea nini maana kila idara ana uwezo wa kutoa uchambuzi.
 
Mwanakijiji, alikuwa anaangalia upepo unavyovuma kwenye uchaguzi wa Arumeru! watu wengi mbona walijua mapema tu kuwa Chadema wameshinda baada ya kufanya majumuisho ya kila kituo hakuna cha ajabu alichokifanya Mwanakijiji, alitumiwa matokeo na Chadema akaanzisha thread humu JF.

Mbona wewe hukutumiwa matokeo na CCM kuonesha mmeshindwa?
 
of course MMM ana mambo mazuri especially updates yuko vizuri kwa kupata taarifa sahihi kwa wakati.

keep on brother we need people like you,mda wa umbumbumbu na kujivika matope umepita sana .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom