mzalishe
utanishukuru, watakulilia na mahari utapanga wewe
😅 😅 😅 aje nimfiche Mlamleni hukuwatampiga sime
Mama mtuMama ndo hajui kiswaili au binti ndo hajui kiswahili?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ushauri wako mkuuuAisee
Niko Tabora binti Yuko Arushaaje nimfiche Mlamleni huku
usiogope sime, zalisha kwanza huyo, atakosa soko chapNiko Tabora binti Yuko Arusha
wamasai walinipima kama nina uwezo wa kumuoa binti yao wakaropoka mahari million 4 wala sikulalamika, kulia lia au kuomba wapinguze mahari.
Nikawauliza "mnaitaka mda gani hiyo hela?"
wamasai wakwe wakajibu "hata sasa mda huu kama unayo lipia"
nikapandisha suruali juu mguu wa kulia nikashusha socks nikatoa million 2
nikapandisha suruali juu mguu wa kushoto ikatoa million 2 nikawapa
wakataka kuhesabu nikawahibu haina haja wasiwe na wasiwasi imekamilika
nikatoa laki mbili nikaagiza vinywaji sikujua kumbe wamasai wanajua kucheza twaarabu. Zikapigwa nyimbo za mzee Yusuph "nitadumu nae kwa nguvu za manani, na waseme shauri yao....."
nimezaa na mmasai wangu watoto wazuri waarabu kama baba yao😀
View attachment 2660470
Huwa anavaa mashuka akienda kwao, lakini akiwa mjini huwa ana vaa kama sister do na wife material. Nimekutana naye ArushaHuyo binti bado anavaa mashuka au umekutana nae wapi.
Ushauri wako mkuuuMwaraaaabuuu
Safi lkn mila zao nzuri sana ..sijui kama bado wanaziendeleza😁Huwa anavaa mashuka akienda kwao, lakini akiwa mjini huwa ana vaa kama sister do na wife material. Nimekutana naye Arusha
Hajakeketwa?Habari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku.
Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao aolewe kwa mwanamme asiye masai. wakati huo mama wa binti amekubali na hajui kiswahili na namna ya kuongea naye vigumu.
Kaka ake mkubwa ndo mlezi mkubwa aliyemlea binti tangu mdogo pindi baba yao alipofariki. Binti wa wawatu amekufa ameoza kwangu kama ilivyo kwangu.
Naombeni ushauri wenu wenye experience na case hii. Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
Kumekucha🤣😂😂 na unafiki wako mshamba_hachekwi, bro Gily tuje tuiteke mbwa hi😁😁mchaga wa rombo ameshakua muarabu😀
Tafuta mkalimani wa kimasai nenda kwa mama mkamalize taratibu zao.Habari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku.
Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao aolewe kwa mwanamme asiye masai. wakati huo mama wa binti amekubali na hajui kiswahili na namna ya kuongea naye vigumu.
Kaka ake mkubwa ndo mlezi mkubwa aliyemlea binti tangu mdogo pindi baba yao alipofariki. Binti wa wawatu amekufa ameoza kwangu kama ilivyo kwangu.
Naombeni ushauri wenu wenye experience na case hii. Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
Bora wewe umekumbuka kuuliza hili nami nimelifikiria pia!!Hajakeketwa?
Hapana na hategemei kufanyiwa hivyoHajakeketwa?
Mama mtu hana sauti mbele ya vijana wake. Vijana wake wameshikilia kipengele Cha waswahili( makabila tofauti na wamasai) hawezi kujenga boma( kudumu na familia).Tafuta mkalimani wa kimasai nenda kwa mama mkamalize taratibu zao.
Hao wakaka usihangaike nao