Ushauri wenu unahitajika hapa

Therapist 2015

JF-Expert Member
Aug 4, 2018
791
830
Habari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku.

Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao aolewe kwa mwanamme asiye masai. wakati huo mama wa binti amekubali na hajui kiswahili na namna ya kuongea naye vigumu.

Kaka ake mkubwa ndo mlezi mkubwa aliyemlea binti tangu mdogo pindi baba yao alipofariki. Binti wa wawatu amekufa ameoza kwangu kama ilivyo kwangu.

Naombeni ushauri wenu wenye experience na case hii. Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
 
Habari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku.

Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao aolewe kwa mwanamme asiye masai. wakati huo mama wa binti amekubali na hajui kiswahili nanamna yakuongea naye vigumu.

Kaka ake mkubwa ndo mlezi mkubwa aliyemlea binti tangu mdogo pindi baba yao alipofariki. Binti wa wawatu amekufa ameoza kwangu kama ilivyo kwangu.

Naombeni ushauri wenu wenye experience na case hii. Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
Mpe mimba
 
Duuh dawa mtie mimba tu maana si wamegoma..?

na inakuaje hajui kiswahili vzr au uko chaka uko porini kwao ..? Angalia wasije kukuvamia tu hao morani wakishikana masikio
Binti anahitaji tufunge ndoa kwanza, ndo nimpe mimba , isitoshe mama mtu anatoa baraka zote kwa mwanae kuolewa na mimi sema namna ya kuwasiliana naye kwa kiswahili hawezi
 
Mimi Ni Maasai Mwenye asili ya Oltokitok.

Naona Kuna watu wanakushauri umpe mimba. Hiyo siyo njia nzuri ya kumpata huyo binti kwani kwa Kufanya hivyo ni kuanzisha migogoro ambayo Unaweza ukajihatarishia maisha yako, jamii yetu ina tamaduni static.

Njia nzuri; mpange huyo binti atishie kujiua endapo atazuiliwa usimuoe Mara nyingi hii njia inafanya kazi
 
wamasai walinipima kama nina uwezo wa kumuoa binti yao wakaropoka mahari million 4 wala sikulalamika, kulia lia au kuomba wapinguze mahari.

Nikawauliza "mnaitaka mda gani hiyo hela?"


wamasai wakwe wakajibu "hata sasa mda huu kama unayo lipia"

nikapandisha suruali juu mguu wa kulia nikashusha socks nikatoa million 2

nikapandisha suruali juu mguu wa kushoto ikatoa million 2 nikawapa

wakataka kuhesabu nikawahibu haina haja wasiwe na wasiwasi imekamilika


nikatoa laki mbili nikaagiza vinywaji sikujua kumbe wamasai wanajua kucheza twaarabu. Zikapigwa nyimbo za mzee Yusuph "nitadumu nae kwa nguvu za manani, na waseme shauri yao....."



nimezaa na mmasai wangu watoto wazuri waarabu kama baba yao😀
20230604_160755.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom