pisces
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 240
- 61
habari zenu wadau.
mimi ni kijana mwenye kipato cha kawaida,nimekuta volkswagen polo inauzwa,hivyo nimeona nipate ushauri wenu wa kitaalam na kiuzoefu ili nisifanye makosa katika kununua gari hii.
naombeni ushauri katika upatikanaji wa spea, bei za spea, gharama za service, na uimara wa hii gari...
ntatumia ushauri wenu ili kufanya maamuzi sahihi.... natanguliza shukran... jamii forum forever.