ushauri wenu juu ya hii gari VOLKSWAGEN POLO

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
habari zenu wadau.
mimi ni kijana mwenye kipato cha kawaida,nimekuta volkswagen polo inauzwa,hivyo nimeona nipate ushauri wenu wa kitaalam na kiuzoefu ili nisifanye makosa katika kununua gari hii.
naombeni ushauri katika upatikanaji wa spea, bei za spea, gharama za service, na uimara wa hii gari...
ntatumia ushauri wenu ili kufanya maamuzi sahihi.... natanguliza shukran... jamii forum forever.
 
I know nothing about this vehicle, but it's not a common car, that means people won't bring their spares in Tanzania because no demand, that can make spares expensive etc! Kama kipato chaki Ni cha kawaid, nunua Gari ya kawaida!
 
Wadau vip kuhusu NADIA hii gari nataka kununua, ilikuwa imetumiwa hapa bongo na ina engine ya RAV 4 vip ushauri wenu wakuu. Niipige chini au niibebe
 
Wadau vip kuhusu NADIA hii gari nataka kununua, ilikuwa imetumiwa hapa bongo na ina engine ya RAV 4 vip ushauri wenu wakuu. Niipige chini au niibebe

Kununua gari sio jina,model au rangi. Kikubwa ni engine perfomance na uwezo binafsi wa kuiweka barabarani(fuel servive). Binafsi gari ikishakuwa 'doctored' km kubadili engine na kuweka ya gari nyengine,nakuwa na mashaka nayo sana. So Mkuu kwa kuangalia vigezo hapo juu km vina-meet ur qualities, go for it!
 
Nimeshuhudia watu wawili walionunua hiyo gari wakipata shida nayo. Mmoja toka imefika inashinda gereji tuu hajawahi kuendesha zaidi ya siku moja bila kumletea tabu.Mara inachemsha, mara Cylinder Head inasumbua, mpaka sasa imehamishia makao yake Gereji jamaa anafikiria kuiuza kama scrapper.
Kama unaweza jaribu kununua gari yoyote jamii ya Toyota maana hata mafundi wengi wanaweza kuzitengeneza kuliko hii VW POLO
 
habari zenu wadau.
mimi ni kijana mwenye kipato cha kawaida,nimekuta volkswagen polo inauzwa,hivyo nimeona nipate ushauri wenu wa kitaalam na kiuzoefu ili nisifanye makosa katika kununua gari hii.
naombeni ushauri katika upatikanaji wa spea, bei za spea, gharama za service, na uimara wa hii gari...
ntatumia ushauri wenu ili kufanya maamuzi sahihi.... natanguliza shukran... jamii forum forever.

mkuu naifaham sana hii gari, kama wewe ni wa kipato cha kawaida sikushauri ata kidogo maana hii gari inabugia mafuta sana.then spea kimeo jiandae kuipaki itakapopata majeruhi..kaka jaribu kununua gari yoyote ile lakini iwe toyota maana spea uingiliana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom