Ushauri wangu kwa hali ilivyo kwa sasa katika maeneo haya ni vyema serikali ingejenga kituo maeneo ya Bunju B badala ya Boko kwa sabubu tayari maeneo ya Boko kumeshaanza kuwa na msongamano mkubwa wa watu na makazi ya watu tofauti na Bunju B..kinacho kimbiwa Ubungo ni eneo kuwa mjini na kusababisha foleni.
Ni vyema serikali ikawa na maono ya mbali kujenga kitu ambacho kitatumika kwa miaka zaidi hata ya 30 ni ushauri wangu.
Ni vyema serikali ikawa na maono ya mbali kujenga kitu ambacho kitatumika kwa miaka zaidi hata ya 30 ni ushauri wangu.