Ushauri wangu kwa watumishi wanaopokea mishahara

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!!
1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao.

2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo ya ofisi. Ukidondoka Leo, you will be replaced immediately and operations will continue. Ifanye familia yako kipaumbele.

3. Usikimbizie promotions. Boresha ujuzi wako na ongeza ufanisi kwa unalofanya. Wakitaka wataku-promote, that's fine if they don't, uwe positive katika maendeleo yako binafsi.

4. Epuka majungu kazini . Epuka yanayochafua jina lako. Usijiunge na magenge yanayong’ata mgongoni kwa bosi wako au wafanyakazi wenzio. Stay away from negative gatherings that have only people as their agenda.

5. Kamwe usishindane na mabosi wako. Utaunguza mikono yako. Usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

6. Hakikisha unabiashara pembeni. In a long run mshahara wako hautakidhi mahitaji yako yote.

7. Hifadhi pesa kiasi. Ruhusu ipunguzwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

8. Kopa kuwekeza biashara au kubadili Hali yako sio kununua anasa (luxury). Buy luxury from your profit.

9. Tunza maisha yako, ndoa na familia viwe siri yako. Waweke mbali na ajira yako. This is very important.

10. Kuwa muaminifu kwako mwenyewe amini katika kazi yako. Kujipendekeza kwa boss kutakutenganisha na watumishi wenzako na boss wako hatimae ataachana na wewe pindi atakapoondoka.

11. Staafu mapema. Mpango mzuri wa kutimiza hili ulianza pale ulipopokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni Leo. By 40 to 50 be out.

12. Jiunge na vyama vya wafanyakazi na uwe mwanachama hai wakati wote. Itakusaidia likitokea lolote .

13. Chukua likizo na uzitumie kujijenga kwako na kukuza mipango yako ya kesho.. Mara zote uyafanyayo likizo ni akisi/mwangwi wa vile utaishi baada ya kustaafu.. inamaanisha Kama unashinda kutwa nzima kushika remote na kubadili channel na series za Azam tv usitegemee jambo tofauti baada ya kustaafu.

14. Anzisha miradi ukiwa bado katika utumishi. Fanya miradi yako iendelee ukiwa bado kazini na ikitokea mradi hauna tija, anzisha mwingine hadi upate unaoenda vizuri. Mradi ukienda vizuri sana sasa staafu kwa hiari kusimamia biashara yako. Wastaafu wengi hushindwa katika maisha kwa sababu hustaafu ili kuanzisha biashara badala ya kustaafu ili kuendesha biashara.

15. Pensheni sio ya kuanzishia miradi au kujenga nyumba, ni pesa ya kujijenga na kuimarisha afya yako. Pesa ya pensheni sio ya kulipia ada za shule au mahali kuoa kabinti kigoli ila ni ya kutunzia afya yako.

16. Mara zote kumbuka, utakapostaafu usiwe case study kwa Kuishi maisha ya hovyo lakini jitahidi uwe role model kwa watumishi wenzako watamani kustaafu pia.

17. Usistaafu kwa kuwa umekwisha au kwa kuwa sasa umekuwa mzigo kwa kampuni na sasa unasubiri kufa. Staafu kijana au ukiwa na nguvu kufurahia kuamka na kikombe cha kahawa, furahia jua, pokea pesa kutoka kwa biashara, kutembelea maeneo mazuri uliyoyamisi na kutumia muda na familia. Wanaostaafu wakiwa wamechelewa, wanatumia 95% ya muda wao kazini kuliko na familia zao ndio maana huona ni ngumu kutumia muda wao na familia wanapostaafu mwisho wa siku huishia kutafuta kazi nyingine hadi umauti. Wasipopata kazi nyingine, hufa mapema.

18. Staafu ukiwa nyumbani kwako na so katika nyumba za serikali ili kwamba unapostaafu Uweze ku-fit na Jamii iliyokulea. Sio rahisi kuji-adjust kuishi katika mazingira mapya baada ya kuishi Miaka Mingi katika nyumba za shirika au serikali.

19. Kamwe usiruhusu faida za ajira yako zikakusahaulisha kuhusu kustaafu kwako. Maslahi ya ajira hukufanya u-relax, hukufanya uisheihuku muda ukisonga mbele. Kumbuka ukistaafu hakuna atakaekuita boss kama hauna biashara inayolipa.

20. Usichukie kustaafu kwa sababu siku moja utastaafu iwe kwa hiari au kwa lazima.

Natumaini hii itakufanya utazame maisha kwa mtazamo chanya. 👍
 
True
 
Ungeweka bayana kuhusu faida ya hivi vyama.

Hivi chama kama CWT kina faida gani kwa Walimu? zaidi ya viongozi wake kula 2% ya michango ya walimu kila mwezi
Hoja yako ina mashiko!Nadhani kisheria unatakiwa uhiyari kuingia chama hicho!
 
Lakini sheria inafuatwa? mara nyingi unakuta watu wanaingizwa kwenye makato kinyemela bila ridhaa yao.

Fikiria Mwalimu yupo ndani huko vijijini anakamilisha ishu ya ajira kwa mwajiri ambaye ni mkurugenzi wa Halmashauri aliyopo. Bila ridhaa yake na bila kujua anajikuta kaingizwa kwenye makato kama mwanachama. Hapo sio haki kabisa
 
Sisi wengine teyar tunamiaka 45 tumestaff rasmi mwaka huu pasi na kuwai kuajiriwa penseni yetu kwa mungu mana tumefanya kazi ya kumsifu, kumtumikia na kumuabudu ipaswavo Huku duniani mambo yetu bila bila .
 
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!!
1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao.

2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo ya ofisi. Ukidondoka Leo, you will be replaced immediately and operations will continue. Ifanye familia yako kipaumbele.

3. Usikimbizie promotions. Boresha ujuzi wako na ongeza ufanisi kwa unalofanya. Wakitaka wataku-promote, that's fine if they don't, uwe positive katika maendeleo yako binafsi.

4. Epuka majungu kazini . Epuka yanayochafua jina lako. Usijiunge na magenge yanayong’ata mgongoni kwa bosi wako au wafanyakazi wenzio. Stay away from negative gatherings that have only people as their agenda.

5. Kamwe usishindane na mabosi wako. Utaunguza mikono yako. Usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

6. Hakikisha unabiashara pembeni. In a long run mshahara wako hautakidhi mahitaji yako yote.

7. Hifadhi pesa kiasi. Ruhusu ipunguzwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

8. Kopa kuwekeza biashara au kubadili Hali yako sio kununua anasa (luxury). Buy luxury from your profit.

9. Tunza maisha yako, ndoa na familia viwe siri yako. Waweke mbali na ajira yako. This is very important.

10. Kuwa muaminifu kwako mwenyewe amini katika kazi yako. Kujipendekeza kwa boss kutakutenganisha na watumishi wenzako na boss wako hatimae ataachana na wewe pindi atakapoondoka.

11. Staafu mapema. Mpango mzuri wa kutimiza hili ulianza pale ulipopokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni Leo. By 40 to 50 be out.

12. Jiunge na vyama vya wafanyakazi na uwe mwanachama hai wakati wote. Itakusaidia likitokea lolote .

13. Chukua likizo na uzitumie kujijenga kwako na kukuza mipango yako ya kesho.. Mara zote uyafanyayo likizo ni akisi/mwangwi wa vile utaishi baada ya kustaafu.. inamaanisha Kama unashinda kutwa nzima kushika remote na kubadili channel na series za Azam tv usitegemee jambo tofauti baada ya kustaafu.

14. Anzisha miradi ukiwa bado katika utumishi. Fanya miradi yako iendelee ukiwa bado kazini na ikitokea mradi hauna tija, anzisha mwingine hadi upate unaoenda vizuri. Mradi ukienda vizuri sana sasa staafu kwa hiari kusimamia biashara yako. Wastaafu wengi hushindwa katika maisha kwa sababu hustaafu ili kuanzisha biashara badala ya kustaafu ili kuendesha biashara.

15. Pensheni sio ya kuanzishia miradi au kujenga nyumba, ni pesa ya kujijenga na kuimarisha afya yako. Pesa ya pensheni sio ya kulipia ada za shule au mahali kuoa kabinti kigoli ila ni ya kutunzia afya yako.

16. Mara zote kumbuka, utakapostaafu usiwe case study kwa Kuishi maisha ya hovyo lakini jitahidi uwe role model kwa watumishi wenzako watamani kustaafu pia.

17. Usistaafu kwa kuwa umekwisha au kwa kuwa sasa umekuwa mzigo kwa kampuni na sasa unasubiri kufa. Staafu kijana au ukiwa na nguvu kufurahia kuamka na kikombe cha kahawa, furahia jua, pokea pesa kutoka kwa biashara, kutembelea maeneo mazuri uliyoyamisi na kutumia muda na familia. Wanaostaafu wakiwa wamechelewa, wanatumia 95% ya muda wao kazini kuliko na familia zao ndio maana huona ni ngumu kutumia muda wao na familia wanapostaafu mwisho wa siku huishia kutafuta kazi nyingine hadi umauti. Wasipopata kazi nyingine, hufa mapema.

18. Staafu ukiwa nyumbani kwako na so katika nyumba za serikali ili kwamba unapostaafu Uweze ku-fit na Jamii iliyokulea. Sio rahisi kuji-adjust kuishi katika mazingira mapya baada ya kuishi Miaka Mingi katika nyumba za shirika au serikali.

19. Kamwe usiruhusu faida za ajira yako zikakusahaulisha kuhusu kustaafu kwako. Maslahi ya ajira hukufanya u-relax, hukufanya uisheihuku muda ukisonga mbele. Kumbuka ukistaafu hakuna atakaekuita boss kama hauna biashara inayolipa.

20. Usichukie kustaafu kwa sababu siku moja utastaafu iwe kwa hiari au kwa lazima.

Natumaini hii itakufanya utazame maisha kwa mtazamo chanya.
FANYA IBADA, MUWEKE MUNGU KUWA NAMBA MOJA KATIKA MAMBO YAKO YOTE. Amen.
 
Back
Top Bottom