Ushauri wa mwanamke unapo mpotosha mwanaume

kwani wakati wanakubaliana nauli ni 750 hakujua mfukoni ana sh ngapi?mind u mke na mume wameapa for beta or worse!anyweiz hatukuwa kwenye tukio so ni ngum kusema maybe konda nae alitoa kitu kingine who knws,wote wamefanya makosa acha wakatumikie jela

Alie leta nyundo ndo mwenye kosa kubwa
 
Kwa pilato wote ni mandalaaa, kama ni adhabu ya kifo wote wapewe, lakin kwenye tukio nadhani mwanamke kwa jinsi anavyofahamia ktk jamii yeyote ile kwa upendo, utu na kujali haikutegemewa angeenda kuleta MTWANGIO :disapointed::disapointed:
 
Pia kwenye mauaji lol!!! Hivi umeisha RETHINK

Bado sijamaliza mwenzang, Am still Rethinking!!!

Mmmh huyu mama kiboko ujue, kama ni kweli lakini,
Manake hata wakati mwizi anapigwa mahali wanawake wengi huwa wanakimbia, au wanalia muacheni tu jamani.
Lakini yeye kaleta nyundo kabisaaaaa, usikute alikuwa anasema uaaaaaaa!, uaaaaa mume wangu!!
 
Hata mimi nimeshangaa mtu anamtii mumewe kwenye mambo ya ajabu wakati yeye ndo alipaswa kutuliza hasira ya mumewe, kweli hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.

Yule mama alikuwa na nafasi ya kushusha jazba ya mmewe maana mme ana umri wa miaka 39 ni baba mtu mzima alafu Konda ni miaka 25 ni bado kijana mmbichi kabisa
 
Bado sijamaliza mwenzang, Am still Rethinking!!!

Mmmh huyu mama kiboko ujue, kama ni kweli lakini,
Manake hata wakati mwizi anapigwa mahali wanawake wengi huwa wanakimbia, au wanalia muacheni tu jamani.
Lakini yeye kaleta nyundo kabisaaaaa, usikute alikuwa anasema uaaaaaaa!, uaaaaa mume wangu!!

Ha ha ha ha ha ha ha lol!! wewe haujatulia kabisa nimecheka hapa acha tu watu mna visa
 
Bado sijamaliza mwenzang, Am still Rethinking!!!

Mmmh huyu mama kiboko ujue, kama ni kweli lakini,
Manake hata wakati mwizi anapigwa mahali wanawake wengi huwa wanakimbia, au wanalia muacheni tu jamani.
Lakini yeye kaleta nyundo kabisaaaaa, usikute alikuwa anasema uaaaaaaa!, uaaaaa mume wangu!!

nimeipenda hii
 
Yule mama alikuwa na nafasi ya kushusha jazba ya mmewe maana mme ana umri wa miaka 39 ni baba mtu mzima alafu Konda ni miaka 25 ni bado kijana mmbichi kabisa

Hommie natumaini sifikiri unavyofikiria wewe lol!!
 
Hao wote ni wakosaji
a -town hamna nauli ya 750
muuaji hana akili hata moja
mkewe ni ibilisi mkubwa
yako wapi maisha bora kwa kila mTz?
 
Back
Top Bottom