Ushauri wa mwanamke unapo mpotosha mwanaume

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200 ndipo mjadala mkali ukaanza baina yake na kondakta eneo lile ni jilani na makazi yake huyo jamaa, ugomvi ukaanze pale mke wa yule jamaa alienda nyumbani kuchukua nyundo nzito na kumpa mmewe, jamaa akaitumia kumbonda kondakta kichwani.
 
Na huyo mwanaume ana akili ya kuku ama?Kwani alilazimishwa kumponda nayo mwenzie?Wote hapo hawanazo...Mirembe inawahusu!!Duh yani mpaka watu wanauana kwa tofauti ya sh. 500 ni zaidi ya hatari..
 
They say birds with the same feather.............,Huna haja ya kumlaumu huyo mwanammke kwani mwanamme angetoa hela inayotakiwa nyundo ingeenda kuchukuliwa?wote wanamakosa ya Manslaughter hao.
 
Kwa pilato jamaa ajibu hivi "Huyu mwanamke niliyepewa niwe naye, amenipa nyundo, nami nikaua", then hakimu atamuuliza mwanamke, "ni kitu gani ulichotenda ewe mwanamke"?
 
Ila huyo mwanamke naye kiboko
 
Kwa pilato jamaa ajibu hivi "Huyu mwanamke niliyepewa niwe naye, amenipa nyundo, nami nikaua", then hakimu atamuuliza mwanamke, "ni kitu gani ulichotenda ewe mwanamke"?

Mwanamke atajibu nyundo ilinidanganya lol!!!!!!!!
 
They say birds with the same feather.............,Huna haja ya kumlaumu huyo mwanammke kwani mwanamme angetoa hela inayotakiwa nyundo ingeenda kuchukuliwa?wote wanamakosa ya Manslaughter hao.

Mwanamke alikuwa na nafasi kubwa ya kushusha munkari wa mme wake
 
Mmmmh ni shilingi mia tano tu au kulikuwa na kisasi kingine juu yao. Lakini hawa inaonesha wanapendana na wanashirikiana vizuri.

Hata hivo huyu mwanamama ilibidi awe muamuzi wao bwana, yani roho ya mwanamke mara nyingi inatakiwa iende kinyume na roho ya mwanaume hasa kwene ishu za hatari kama hizi.
 
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200 ndipo mjadala mkali ukaanza baina yake na kondakta eneo lile ni jilani na makazi yake huyo jamaa, ugomvi ukaanze pale mke wa yule jamaa alienda nyumbani kuchukua nyundo nzito na kumpa mmewe, jamaa akaitumia kumbonda kondakta kichwani.

**^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**nimeipenda
 
Mmmmh ni shilingi mia tano tu au kulikuwa na kisasi kingine juu yao. Lakini hawa inaonesha wanapendana na wanashirikiana vizuri.

Hata hivo huyu mwanamama ilibidi awe muamuzi wao bwana, yani roho ya mwanamke mara nyingi inatakiwa iende kinyume na roho ya mwanaume hasa kwene ishu za hatari kama hizi.

Pia kwenye mauaji lol!!! Hivi umeisha RETHINK
 
Wote walipotoshana na inaelekea ndio style yao ya maisha kila mmoja kumsikiliza mwingine hata kwa mambo hatarishi
 
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200 ndipo mjadala mkali ukaanza baina yake na kondakta eneo lile ni jilani na makazi yake huyo jamaa, ugomvi ukaanze pale mke wa yule jamaa alienda nyumbani kuchukua nyundo nzito na kumpa mmewe, jamaa akaitumia kumbonda kondakta kichwani.

Ni sehemu gani ya Arusha hilo tukio limetokea?
 
mwanamme alikuwa na nafasi kubwa ya kulipa hela yote

Kwa vile mwanaume alikuwa kafika nyumbani na kujisachi ana sh.200 mwanamke ilipaswa achukue jelo/500 ampe mmewe aongezee kuliko kuchukua Nyundo, mwanamke ndiye aliye mshawishi mwanaume kumuua kondakta
 
kwani wakati wanakubaliana nauli ni 750 hakujua mfukoni ana sh ngapi?mind u mke na mume wameapa for beta or worse!anyweiz hatukuwa kwenye tukio so ni ngum kusema maybe konda nae alitoa kitu kingine who knws,wote wamefanya makosa acha wakatumikie jela

Back
Top Bottom