Ushauri wa haraka jamani

Majibu ya tazito lako unayo mwenyewe! Amua na itakuwa! Ukiendelea kulialia 'cwez' hutaweza! Damu ya Yesu ikufunike na kktakasa, amen!
 
hebu nitafute nitakushauri zaidi namna ya kuondokana na hiyo hali waitaji ushauri wa kisaikolojia zaidi ili utoke hapo
pm nikushauri zaidi
 
Keleuwiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!Zile dalili za mwisho wa dunia ck hz zpo wazi wazi .Muombe Mungu huyo shetani ashindwe!Thats the only way madame
 
Unachukia kitu gani saa nyingine msagaji??eti msaada wa haraka??na hiyo miaka 6 mbona hukuwa na haraka nayo ukaacha mapema?? Unachoboa unajijua kama ni msagaji,na unajua kama unafanya makosa,sema unatafuta njia za kuhalalishiwa huo usagaji.

Wewe acha kumlaumu huyu binti ndio anachofanya sio sahii na amesema mwenyewe. Hivi unajua mtoto wa kike wa form one anakuwaje? Kwanza ndo yuko kwenye barehe na anakutana na msichana mwenzake wa form four anamwonyesha mapenzi hayo ndo yatakuwa maisha yake kama hakupata msaada na ushauri. Hapo ndo wazazi wajue umuhimu wa kuongea na watoto kuhusu mema na mabaya ,sio mzazi unamfungashia mtoto begi lenye vitabuna daftari na kumwambia "soma kwa bidii mama" huku hajui anaenda kukutana na nini. Inaonyesha alisoma kwa bidii ndo maana yuko chuo. Lakini mzigo aliotokanao ni mzito na dhambi. Muombe Mungu akusaidie na ukae mbali na huyo binti
 
Dah nahc story vle waone watumishe wa mungu haraka kabla mambo hayajabadilika tena jielezee zaid ya humu
 
binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak

Duh inashangaza sana,kumbe haya mambo yako jaman!!!! Acha kuendekeza hizo hisia zako hasi,you need to change kama umeshaona hivyo,acha kabisa hako ka tabia na kaa mbali na huyo mpenzi wako wa kike hii itakusaidia kuondokana na hisia hizo towards your fellow girl, spend more time around your boyfriend and learn to love and have feelings for him,with time you will be normal.
 
mimi nimsichana mwenye miaka 22. jamani sijui ninamatatizo ninampenzi wangu wa kike 1 na ninampenzi wa kiume cha ajabu na furahi sanna pindi napofanya romance na mwanamke mwenzangu kuliko boyfriend wangu nimejaribu kuacha nashindwa nimiaka 6 sasa nitumie dawa ganni jamaan au ndio nimeshaaribika hivyo

Kiufupi umepagawa na pepo/roho mchafu kama yule anayewapata baadhi ya wanaume hadi kufurahia kuwa mashoga wakati sio kitu cha kawaida.

unachotakiwa kufanya unatakiwa uwatafute walokole wa kweli wakuombee na kukufundisha maarifa ya msingi utalishinda hilo tatizo. usipofanya hivi utaendelea na usije ukashangaa siku wasagaji watajitokeza kudai kutambuliwa kisheria na ww utakuwa mmoja wao

huo ni ushauri wa bure kwa faida yako hauhitaji kutafuta ruhusa ya mtu kutekeleza ushauri huo

nitafurahi kusikia umeacha sio tu usagaji bali hata uasherati kwani zote hizi ni dhambi na yeyote azitendaye ataingia motoni endapo atakufa bila kutubu zaburi 51.5, zaburi 58.3, mithali 28.13, luka 19.10, luka 1.77
 
Si itakuwa balaa imeshakua balaa NK...Maswali wanayouliza hawa watoto wa "me generation" siye tulipokuwa watoto hata tulikuwa hatuyajui kabisaaa!!!!! ukichanganya na technology ya akina google, Utube, Twitter, FB n.k. hali ndio inazidi kuwa mbaya.

Hii ni sababu nyingine itayonifanya mwanagu asome shule mchanganyiko.

Kama 80s watu wa girls schools walikuwa wanasagana...leo hii na utandawazi huu si ndio itakuwa balaa.
 
naweza kukusaidia ila uwe na muda mzuri wa kufanya yale tunayokubaliana na nafsini mwako useme kabisa a kwamba unataka kubadilika so ukisha sema from the inside you and not just becaue you want to enjoy love with your bf.

nitumia pm am she usihofu na naaweza kuifanya azi kwa maandish tu wewe unasoma kisha tunauwa na checklist kila siku una rank tabia moja baada ta nyingine. ni simple issue hapa ni utayari basi.
 
kata mawasiliano na huyo gf, then vitendo ulivyokuwa unafurahia na huyo gf mweleze bf wako taratibu akufanyie, completely utamsahau huyo ex gf.
 
nashukuru mungu naendelea kuimprove ilikua haipiti wiki sasa nina miez 2 cjafanya hicho kitu
 
njoo kwangu nimeshawatibu watano wa aina yako mi sio mganga lakini .
 
Back
Top Bottom