Ushauri wa haraka jamani

  1. do u think about her mnapokuwa apart?? (daydream, longing etc)
  2. how about ur bf?
  3. do u see urself living with another woman assuming ur family accepts?
[/QUOT

sina hisia kabisa na bf wangu bt nampenda. cha ajabu nikiwa mbali na gf wangu simfikirii kabisa mpaka nikiwa nae close
 
have u considered getting another bf? the gf thing might be infatuation au just lust since its stronger akiwa near and not when far? ukiwa una-doo na bf do u think of the gf? sry for so many qns, I'm trying to see if u're lesbian, bi or straight with 'nyumba ndogo'
 
nikitaka nienjyo sex na bf wangu basi nivute hisia jinsi anavyonifanyia gf wangu ndio nienjoy apart from hapo sijisikii raha yoyote nafanya kumridhisha yeye tu kwa sasa sijafikiria kuwa na bf mwingine coz stil nampenda
 
Hii ni sababu nyingine itayonifanya mwanagu asome shule mchanganyiko.

Kama 80s watu wa girls schools walikuwa wanasagana...leo hii na utandawazi huu si ndio itakuwa balaa.

nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu
 
girls ni mbaya sana jaman, mnafanya usiku na siku ukilala kwa kijembe wako au darling watu wanajua kabisa fulani kavusha hivyo lispect na mnazipa mashuka pembeni mwa kitanda kama kuna redio kunakua na mziki laini hivyo kwakua nikawwaida hata kwa wengine hawaoni kama ni kitu cha ajabu

Makubwa haya.....
 
Hilo ni pepo la kufanya ngono na jinsia yako linakusumbua...
Ukipata mtu wa kukupa tiba sahihi ya kukupa kile kinachopatikana kwa mwanaume ,,, ndio utajua kwa nini mwanaume anagombaniwa!!
Subiri upate kidume akupe kile ambacho lesbian parten wako hawezi kukupa
 
Speechless......anyway hata hivyo kuubali kuwa ni tatizo ni hatua ya kwanza kubwa. Ulishawahi kufanya maamuzi makubwa maishani mwako? Unakumbuka?
 
girls ni mbaya sana jaman, mnafanya usiku na siku ukilala kwa kijembe wako au darling watu wanajua kabisa fulani kavusha hivyo respect na mnaziba mashuka pembeni mwa kitanda kama kuna redio kunakua na muziki laini hivyo kwakua ni kawaida hata kwa wengine hawaoni kama ni kitu cha ajabu
Neema pita umenifurahisa sana hasa humo Bwenini mnavyolala, hebu tuhabarishe nasikia huwa ikinasa inavuta km pump inavyovuta vaccum na hata wakiolewa nasikia ni vigumu kuachana. (hapo nani alikuwa kidume kati yako na mwenzako?)
Kwa vile hamtazaa! nakushauri endelea taratibu mpaka hapo mtakapotengana na kuishi kwa mbali kwani lazima mtataka kuzaa
 
Last edited by a moderator:
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

Unachukia kitu gani saa nyingine msagaji??eti msaada wa haraka??na hiyo miaka 6 mbona hukuwa na haraka nayo ukaacha mapema?? Unachoboa unajijua kama ni msagaji,na unajua kama unafanya makosa,sema unatafuta njia za kuhalalishiwa huo usagaji.
 
pole sana but haya mambo yapo sana shule za wasichana. kikubwa ni kuamua kufunga huo ukurasa uanze upya. inawezekana ukiamua kwa dhati
 
Mmmmmh! Sodoma na gomora hiyoooo niwaachie wenyewe! Mimi ni mwendo wa bakora tu. Ila ukitaka kucha unaweza
 
Unachukia kitu gani saa nyingine msagaji??eti msaada wa haraka??na hiyo miaka 6 mbona hukuwa na haraka nayo ukaacha mapema?? Unachoboa unajijua kama ni msagaji,na unajua kama unafanya makosa,sema unatafuta njia za kuhalalishiwa huo usagaji.

Kama huna cha kumsaidia si bora usome tuu post za wenzio...kwani lazima kuchangia.....
 
Wewe binti acha uhuni,alafu inaonekana upo weak sana."if u want to defeat ur enemy hide ur weaknesses"young lady.
 
Huyo mwenzio naye anaBF wake au ndio anachakachua 2 wenzie bali yy achakachuliwi.?
 
Binti, unahitaji msaada wa kiroho. Nenda kwa viongozi wa dini yako, ufanyiwe ushauri nasaha uachane kwanza na wote. Halafu utajipanga upya.
Haya mambo niliyaona boarding school. Na naendelea kuyaona hata mtaani! Kuna lesbian nilisoma nae o-level, akaja kuolewa, akaachana na mume after a year. Naona anaandamana na yule basha wake wa enzi zile, na basha ni single mother! Zaidi ya msaada wa kiroho sijui utaponea wapi ee mwanadamu!
 
mimi nimsichana mwenye miaka 22. jamani sijui ninamatatizo ninampenzi wangu wa kike 1 na ninampenzi wa kiume cha ajabu na furahi sanna pindi napofanya romance na mwanamke mwenzangu kuliko boyfriend wangu nimejaribu kuacha nashindwa nimiaka 6 sasa nitumie dawa ganni jamaan au ndio nimeshaaribika hivyo

pole sana mdogo wng,cha kwanza umeshatambua kuwa unachofanya sio sahihi,pili umeanza kuichukia iyo tabia,hizo hapo juu ni hatua muhimu sana ktk kutafuta suluhisho la muda mrefu la tatizo lako,cha tatu unachotakiwa kukifanya ni kuchukua maamuzi magumu ya kumuambia gf wako it is over now na wala hutaki tena mambo hayo,cha nne baada ya kumueleza ukweli anza kukaa mbali na uyo gf wako,naamin utashinda mdogo wng though it will take a little time.pia usisahau kumuomba Muumba wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom