Ushauri unahitajika...!

incest hukumu yake ni jela miaka 30,tena alianza kutembea na kitoto cha form 2,huyu so called ba mdogo ni wa kupeleka central tu tena fasta,mshenzi kabisa hana adabu.Ona sasa anavyomharibia binti mipango yake ya ndoa.
 
Back
Top Bottom