Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

Umewahi kuwaza kuwa yupo mwanaume atakayekuoa bila kutaka kujua kuhusu background yako
Me hata sikuelewi nn unachokisema,sasa backgrnd ina husian na nn?kwahiyo kwa upande wako unadhan hili tatz ni sbb ya backgrnd?
 
Yah nadhani. Background inakutambulisha wewe zaidi ya vile unavyojinasibu
Kwani ww kaka mpk kufikisha hiyo idadi ya wanne kwani nimependa?au nilijua itafikia hiyo wanne,alafu mimi sioni ajabu ni bas tu wkt wang haujafika..asante kwa ushauri wako mazuri nitayachukua mabaya nitayapuuzia,
 
Kwani ww kaka mpk kufikisha hiyo idadi ya wanne kwani nimependa?au nilijua itafikia hiyo wanne,alafu mimi sioni ajabu ni bas tu wkt wang haujafika..asante kwa ushauri wako mazuri nitayachukua mabaya nitayapuuzia,
Seriously kuna mtu anakushangaa kupitia wanaume wanne? Aisee humu jf kuna malaika, mashetani hapatufai
 
mi niseme tu kwamba yeye sio wa kwanza wapo wadada na wakaka wengi wanaopitia mambo kama haya, hawajapata tu nafasi ya kuyasema kama hapa. Naamini umepata ushauri wa kila aina kazi kwako kupembua pumba na mchele. ila as a matter of fact, ndoa sio ya kila mtu, I mean sio kila mwanamke ameandikiwa kuolewa, na mapenzi hayana kanuni maalumu ndio maana hata waume za watu wanakudondokea. Pia huenda unajinyima fursa za kuolewa kwa baadhi ya tabia zako, huenda sio mtii na mnyenyekevu, au uko too conservative, hilo linajidhihirisha kwa aina ya wanaume unaowapata (wasukuma, 'wana hofu ya Mungu.....hili neno no overrated siku hizi)....jaribu kufunguka kidogo jichanganye wanaume waoaji wapo wengi
 
@Gobe,
Utafiti wako nadhani haujakamilika vizuri nakusihi rudi tena nyanjani ukafanye utafiti upya na uwe na sample space za kutosha hasa kwa upande wa wanaume!
 
Ukipata mchumba mwingine hasa kama atakuwa wa dini ya kikristu jaribu we kubadili dini umfuate au hata ukipata mtu ambaye haamini katika dini itakuwa poa tu we ndo utambadilisha
Kingine unaweza fuata hata ushauri wa bibi wa kutambika ili kuyaondoa haya japo hii ni jinai kwa baadhi ya watu kwa sababu wanaamini kutambika ni ushetani,kumbuka hata weupe walozileta hizi dini wanatambika na kuabidi wanaabudu pia japo kwa kiasi kidogo sana kwa sasa wengi hawaendi kanisani hasa wazungu,kama utaona hii inafaa fanya
Yote kwa yote pole sana dada japo kuna wengi wamepitia hayo tena hata zaidi yako!!
 
Pole, simama vizuri na Mungu, ondoa hofu ya kujiona umechelewa, kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa wako bado anakuja, pia kama kuna tatizo hilo kwenye ukoo, unahitaji deliverance, kuvunja laana hiyo katika vizazi vyenu. Halafu usiwe mwepesi wa kuingia kwenye tendo la ndoa, maana matapeli ni wengi.
 
Dada. Mizimu ya babu sio kitu hasa ukijikita kwenye imani,.. Binafsi naona tatizo lilikuwa ni imani za kidini kwa wazazi ni tatizo kubwa. Happened to me once... Nakushauri tafuta mtu ambae mnaimani moja. Na kama tatizo linakuwa ni kati yenu wawili bhasi tafuta suluhu mana wanaume wengi wanacheat.
 
Back
Top Bottom