Nayo huwa na magonjwa mkuuKumbe hadi puani,masikio yanatoaga harufu
daah we jmaa n mnOmamtumie sms kwa namba ngeni...
Tena itakuwa njia nzuri pia ya kumpiga chini akileta mdomo maana akikiwasha na wewe unakiwasha hapo kuhusu hio sms, aseme aliemtumia ni nanidaah we jmaa n mnOma
hii mbinu ntaitumia sku mojA mkuuHuo ndio ujanja... mi nilimuachaga binti mmoja alikua anakoroma balaa!
nkaona hii shida.. nkatengeneza mbinu.. nikam mwaga
KabisaNdege warukao pamoja
Ila uwe makini kweli mkuu!hii mbinu ntaitumia sku mojA mkuu
hahahahha dah 🤣🤣 mzee ulitisha saNa aiseIla uwe makini kweli mkuu!
uwe na confidence hasa jifanye hujui kitu na wala huhusiki na chochote kuhusu hio sms...
mimi nilishawahi kugombanisha watu kwa namba ngeni na wakapigana kabisa, mpaka wa leo mwaka wa 7 hawajui kama nilihusika
na nilivyomaliza ile namba nikai divert kwenda kwa mtu flani.. ikipigwa anapokea yeye haahhhaaa