Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 411
Duh! Afadhali bwana umewaambia mimi ni mjasiliamali hapa maeneo ya jamatin!
labda kwa upande wangu sina kipya ila naomba Niongezee hapo kwenye ukibaka(wapga ndole) nikianza na wadada na mikoba yao ile mikubwa(hand bag) utakuta wadada wamesmama wanasubir coster anakuja kushtuka hana wallet kwa ndan au wallt ipo lkn tupu cha ajabu sjui wanatumia dawa hii nimeshudia mara 2 au 3 hivi dada analia wallet lkn tupu na imesachiwa ndan kwa ndani sasa hapo wamesmama skilizia kwenye kusukumana kwaajili ya kupanda hakuna 3rd wala 2nd year ambao haendi na move hapo kalia sasa hawa new 1st ndo mamaaaaa!
Sasa ukija kwa hawa masela wenzangu mtu anaamin kila mtu ni mwanachuo kaweka wallet,simu nk mfukoni hapa hamna 3rd wala (new entry) 1st year mchezo ule ule kama sehemu nyingne mnasukumana jitu linazuga linaingia huku linajbana na ku-push huku na vidole viko kazn na limependeza ka janafunzi vile! Sasa hapa u 1st na u 3rd utaonekana na protection ya mali zako! Tu! Otherwise!
Na ukimkamata mwizi wako na kidhibiti wewe na kampan yako muwe comfotable maana na wao wanakampani kubwa watkuzongazonga utasikia mwachie! Mwachie! Mara utaona hayupo!!
Na Makole utakubaliana na mimi kuwa wakishaiba wallet kituo chao ni kule shell kwa nyuma ndo dampo la IDs na kule public toilet
utasikia wamama wanaofagia "jamani watakaokuwa wantafuta vtambulisho vyao vko kwa fulan"
na niangalizo kwa woote!