Ushauri kwa Mh Mwakyembe na Juliana Shonza changamoto nyingi za sanaa na wasanii hazijaguswa

Kila kitu sasa hivi kina simama, kazi iliyoko mbele yetu ni kuiteketeza kabisa Chadema na upinzani kwa ujumla ili turudi kwenye mfumo wa chama kimoja bila kuingia gharama ya kukusanaya maoni kama tulivyofanya kurudisha mfumo wa vyama vingi.
acha ujinga wewe hayo yote niliyo shauri yalikuwa hivyo toka zamani...
 
Kwanza kabla ya yoote waanzishe forum maalum na kuanza kutoa ushauri wa namna bora ya wasanii hawa kuutambua muziki kama kazi kwanza, pili wafundishwe nini maana ya muziki na namna ya kuubland huo muziki wao..Kupitia forum hiyo pia watapata pa kuanzia kuhusu tasnia ya sanaa kwa ujumla Tanzania kwani mpaka sasa ni Tanzania pekee msanii anatoa hongo au rushwa kwa DJ au au Radio presentors nyimbo yake ichezwe..

Tukirudi kwenye maada, suala hilo linapigwa vita sana na wamiliki wa vituo vya redioa na hao distributors na mwisho wa siku hao ndio wanaofanikiwa, kwa nini wasanii hawasikilizwi na hao wamiliki wa Radio na distributors ndio wanaosikilizwa? hapa jibu ni siasa na tusiwe wanafiki kama tunahitaji suluhu ya hilo, Kushindwa kwetu kutenganisha siasa na mifumo muhimu kwa jamii inaleta shida kwa jamii ya wanamuziki pia, Wamiliki na distributors tayari ni matajiri na watu wenye msukumo kwenye siasa za chama tawala na kupitia hii influence yao na tayari ni watu muhimu pia kwa uwepo wa chama tawala hapo ndipo tatizo linapoanzia na hakuna haki watakayoipata..Hakuna jibu lingine katika hili mkuu..
 
Back
Top Bottom