Siasa inavyo watafuna wasanii baada ya uchunguzi kukamilika

Feb 6, 2024
40
50
Leo napenda kuzungumzia suala hili angalau KWA ufupi ni kuhusu wasanii mbalimbali katika Taifa letu la Tanzania kutavunwa Baada ya uchunguzi kuisha/ KUKAMILIKA.

Naimani msomaji wa Andiko hili umekuwa ni sehemu ya mashuhuda kwenye maeneo mbalimbali kwenye Taifa hili Tanzania ambavyo wasanii wamekuwa wakitumika katika matukio mbalimbali / hafla zinazoandaliwa na Serikali nao wamekuwa hawana hiyana wamekuwa wakitoa ushirikiano katika hafla hizo za serikali KWA kutumbuiza nyimbo zao maeneo mbalimbali kipindi cha kampeni za uchanguzi mkuu.

Nadhani watu wanafahamu fika kuwa sauti ya msanii ina nguvu / ushawishi mkubwa sana kwenye jamii na ndio chanzo cha wanasiasa wengi hupenda kuwatumia wao ili kufikisha ujumbe / agenda zao kipindi cha uchunguzi na katika hilo wanasiasa wamefanikiwa kwa 75% maana % kubwa ya wananchi mara zote wanaamini atakachokisema ni msanii mara zote ni sahihi.

Kwa mashabiki wa msanii fulani wakisikia msanii wanayempenda yupo chama fulani/ kiongozi fulani na wao pia wanaamini hicho ndio chama sahihi kwao kukichangua kipindi cha uchunguzi.

Lakini changamoto kubwa ni pale kampeni za uchunguzi zinapokwisha wasanii wamekuwa hawapewi Heshima / kuthamini na ndio maana hata changamoto zao asitatuliwi.

Wengi wakipaza sauti zao wanadai ni kauli za kichochozi.

Unadhani Haki / utetezi wao utatoka wapi? Lakini pia natoa ushauri kwa wasanii ni vyema kuchangua upande sahihi.

Maana kuna ile kauli maarufu " kuna maisha Baada ya uchanguzi"

Ukipata time sikiliza hii ngoma kutoka KWA mwanaharakati Dk. Levy unaitwa " changamoto" akiwa amemshirikisha Hard mad.

#funguka
images.jpeg
 
View attachment 2915710

Sasa msanii akipata dili huko ccm aliache ?

Maisha yanakwenda kutoacha fursa Wasanii wapo sahihi kupambania mkate.

Siasa za Africa hasa Sub-Saharan ni uhuni na uongo ,unachobidi kufanya ni kutouuma mkono unaokulisha.
 
Back
Top Bottom