Ushauri kwa Mh Mwakyembe na Juliana Shonza changamoto nyingi za sanaa na wasanii hazijaguswa

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,214
42,086
Wasalaam...
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana Mh Juliana Shonza kwa kazi anayoifanya tangu amechaguliwa kuwa naibu waziri wa habari,tamaduni,michezo,sanaa na wasanii maana katika jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele na kila mtu kuhusu maadili ya wasanii wewe umeliusimamia vyema bila kuona aibu au kuogopa....

Ni ukweli ulio wazi kabisa swala la maadili kwenye sanaa hivi karibuni lilikuwa na changamoto kubwa sana...ilikuwa ni kawaida wasanii kutukana kwenye nyimbo au kuimba matusi bila kusahau kuvaa uchi kwenye video zao.....
Kila adhabu aliyopewa msanii haina shaka yeyote kabisa maana kila nyimbo zilizofungiwa au video kila anayefatilia sanaa anajua matatizo yake...

Suluhu ya kuondoa matatizo haya ya kazi za wasanii kuwa na ukakasi na zisizofaa kutazwa au kusikilizwa ni BASATA kuanzisha chombo au idara ya kuhakiki na kutathmini kazi za muziki zote kabla ya kwenda kwenye kituo chochote cha radio napengine zitawekwa sticker maalum ambazo zitaonesha kazi husika imepitia huko na kukaguliwa kama ambavyo kuna bodi ya filamu ambayo hukagua filamu zote kabla ya kumfikia mlaji.

BADO CHANGAMOTO NYINGI ZA WASANII HAZIJAGUSWA.

Wasaniii wetu bado wanazo changa moto nyingi sana hazijaguswa
Kuna kipindi watu walitegemea wasanii kuanza kulipwa kazi zao zinapo chezwa kwenye vituo vya radio na television lakini hadi leo sidhani kama hilo lilifanikiwa na hakuna anayejua nini kimekwamisha japo kuna habari kuwa ni baadhi ya wasanii wametumika na baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari kukwamisha swala hilo kwa kutishwa kuwa hawatazisikia kazi zao kabisa kwenye vyombo vyao.
Lakini nafikiri ili linapaswa kufatiliwa kwa karibu sana kujua nini cha kufanya maana wasanii wetu wanakosa haki zao sana na vyombo vya habari na burudani vina nufaika kupitia kazi zao..
Ni bora ukaa na vyombo vyote na wasanii hili kutekeleza hili swala hata wakilipwa 100/=si vibaya kuliko kuacha haki zao zikapote tuuu....

Pia kuna swala la kazi za filamu kuendelea kutowanufaisha wasanii.
Hili swala huwa naliangalia tofauti kabisa na watu wengine maana mimi huwa naona wengi wanapigania haki za wahindi au walanguzi wa kazi za wasanii wetu maana kimsingi asilimia 80% ya kazi za sanaa wanazotoa au kuigiza wasanii wetu hununuliwa kabla hata hazijakamika na hulipwa hela kabisa na haki ya kazi zile huamia kwa wadosi hivyo mnapozunguzuka mtaani kupigania uharamia dhidi ya kazi za wasanii mkifikiri mnapigania haki za wasanii huwa hamfahamu mnapigania haki za wadosi au wahindi ambao huzinunua kwa bei chee...mfano wengi huzinunua kwa 20Mill halafu zinakwenda kuingiza zaidi ya mill 60 maana wasanii hutoa master copy na wahindi huendelea kudurufu watakavyo na kujinufaisha...

Nafikiri hapa ndipo wizara na waziri mnatakiwa kupapigania kwani wasanii kimsingi wanatakiwa kuuza idadi ya copy na si haki yao yote na hapa ndipo mabadiliko ya sheria na kanuni za haki za sanaa na wasanii zinatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa na kwa kuwahusisha wadau wote na wasanii

Swala la wasanii kusajiliwa...
Nafikiri hili linapaswa kuwa lazima kabisa kwa kila msanii au mtu anayetaka kujihusisha na sanaa ni lazima awe amejisajili BASATA...na wasanii wengi hupoteza haki zao kwakuwa hawatambuliki BASATA na wala hawajasjili kazi zao hivyo wezi wa kazi zao hutumia mwanya huu kuwaibia kazi zao....

Swala la wasanii na wadau wa sanaa kusikilizwa..
Pamoja na mambo yote ni vyema kuwepo kwa utaratibu wa kukutana na wasanii na kusikiliza changamoto zao kama ambavyo kwenye michezo inafanyika hii itasaidia sana kuifanya sanaa kuwa ya kisasa na yenye tija.....

Swala la wasanii kupata mahala na sehemu za kufanyia kazi zao za sanaa..
Kumekuwepo na changamoto kubwa sana kwa wasanii kupata sehemu za kufanyia video au filamu zao hata sehemu za serikali hii inatokana na BASATA kutokuwa chombo ambacho kinajua majukumu yao vyema maana tuligetegemea wasanii wangelahisishiwa kufanya kazi zao hapa nchini kuliko kukimbilia nchi za jirani na ughaibuni..... kama wasanii wangekuwa na utambulisho wala hili lisingekuwa changamoto......

Swala la adhabu kwa wasanii kutokuwa na utata au kutoeleweka
Ni vyema vinapotolewa adhabu zikawa clear kama kilichofungiwa ni video au audio na pia kuwepo na utaratibu kwa wahusika na vyombo vya habari kupata barua rasmi.

Wasalaam
 
Aliahidi kumjengea studio Maumba aliyesamehewa na kupongezwa.
 
It seems as if wako bize kusubiri wasanii wakosee wawafungie, badala ya kuwanyanyua kimziki!
Unamfungiaje mtu ambaye kula yake ni muziki, anasomesha watoto kwa muziki, unataka aishije?
Zuia Mziki usipigwe, siyo kumfungia mtu asifanye kazi yake inayomfanya apate rizki!
 
Wewe na Shonza hamtofautiani akili
 
It seems as if wako bize kusubiri wasanii wakosee wawafungie, badala ya kuwanyanyua kimziki!
Unamfungiaje mtu ambaye kula yake ni muziki, anasomesha watoto kwa muziki, unataka aishije?
Zuia Mziki usipigwe, siyo kumfungia mtu asifanye kazi yake inayomfanya apate rizki!
wasanii wa bongo ni vilaza na wapuuzi sana ....wanajipendekeza wanataka mfumo uwabebe ...watakula jeuri yao!
 
Kila kitu sasa hivi kina simama, kazi iliyoko mbele yetu ni kuiteketeza kabisa Chadema na upinzani kwa ujumla ili turudi kwenye mfumo wa chama kimoja bila kuingia gharama ya kukusanaya maoni kama tulivyofanya kurudisha mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom