Ushauri kuhusu nini mkuu? Hujawa specific ushauri ulenge kwenye nini hasa?Nataka nichukue
Samsung Galaxy A73 5G 8GB RAM, 256GB ROM.
Tayari niko Specific sector zote si inamudu? Kama kuna pungufu ndio usemeUshauri kuhusu nini mkuu? Hujawa specific ushauri ulenge kwenye nini hasa?
Toa reasonHapana usichukue
Esim sio kigezo kikubwa sim bado zinatengenezwa na pande mbili NANO NA ESIM mimi nasubiri ambayo itakuwa fully esim support Bila physical sim card sasahivi nishauri vingine.Ina Esim?
Km haina achana nayo
Simu nzuri mkuu assume unaipata around laki 7 kushuka.Nataka nichukue
Samsung Galaxy A73 5G 8GB RAM, 256GB ROM.
Wapi hapo Full Boxed? NionesheSimu nzuri mkuu assume unaipata around laki 7 kushuka.
Kwa budget yako ningechukua S21 ultraWapi hapo Full Boxed? Nioneshe
Nioneshe huyo dealer mzuriSimu nzuri mkuu assume unaipata around laki 7 kushuka.
Esim kwenye A series zinaanzia A54Ina Esim?
Km haina achana nayo
Hizo ninazo ntakufanyia 1.1mNataka nichukue
Samsung Galaxy A73 5G 8GB RAM, 256GB ROM.