Sir_Finus
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 330
- 139
Muda umepita sasa toka vodacom na Tigo walipotangaza upatikanaji wa 5G kwa mtandao wao.
Kwangu sijapata kuona kabisa katika simu nilizotumia network kupanda kwenda kwenye 5G.
Nimeangalia band wanazotumia na simu nilizotumia ndo hizo hizo lakini hamna kupanda na maeneo mengi nayokuwepo dsm ndo yanayo support network yao kwa 5G.
Naomba kujua kuna yeyote ambaye ameweza kuona simu yake ikipanda na kusoma 5G?
Nimetumia simu zifuatazo toka network ya 5g kutangazwa na voda ambazo ni samsung Galaxy s20+ 5g, google pixel 5a 5g, galaxy s10 5g na sasa galaxy s22 ultra 5g lakini zote hamna kitu.