Ushauri: Bado miezi 3 ya harusi, mpenzi wangu ananiambia hanitaki tuachane

Kuna Muda mwenyez mungu huwa anatuepushia mabaya kwa namna yake piga goti sali na kumshukuru mungu kwa yote
 
Anza kutafuna shoga zake ,dada zake mashangazi we yani kula wote asibaki hata mmoja kwenye phone book halafu nenda zimbambwe ukishamaliza...
 
Shukuru Mungu kakuepushia balaa hilo ni heli uchumba uvunjike kuliko ndoa yenye mateso kubaliana tu na hali mwache aende atashtuka kumeshakucha tafuta mkali zaidi yake
Wakati mwingine muache matumizi mabaya ya neno "Shukuru MUNGU",
Mtoa mada amekuwa kwenye mahusioano yasiyo rasmi kwa Miaka 5, ivi jamani mbona mnamtania Mungu. Mtoa mada amejitakia, Miaka 5 unafanya kitu gani kwenye mahusiano yasio rasmi??
 
Kuwa bad boy uta enjoy sana ila tumia kinga usimuhamini mwanamke you jas hit and run simply..hutoendeshwa na mapenzi..
 
Kuwa bad boy uta enjoy sana ila tumia kinga usimuhamini mwanamke you jas hit and run simply..hutoendeshwa na mapenzi..
 
Daaaah pole sana mkuuu pole sana !!! Ila kwakua yeye ndo kaamua ivo ,, sioni haja yaww kuteseka sana ili hali umeshaongea naye sana kujua nini sababu.

Embu tulia wala usijali jamii utaieleza nini !!!.Tena wakikuuliza sana watu just wajibu kwaufupi * Nmekuja kugundua sio mtu sahihi kwangu * japokua utakua unaumia ila piga moyo konde then Fanya kaz zako zidisha kipato jibidiishe ktk mambo yako.

Huyo wee muhesabie tu siku ,, ma Newcomer huwa wanawaaminisha sana kua * achana naye Mimi nakuoa* dem anaona kapata mume ,, anakuacha,, kajamaaa kakishagonga Mara saba , uke wake kameusasambua kweli kweli Kanapiga chini ,,alafu ndo anakukumbuka wewe mwanamme .


Kama nimimi siumii namtu anayeondoka kwangu , kwanza nashukuru sababu kuna kitu atakua kaniepushia ,,then hata kama arudi Analia mpaka machozi yadamu huwa sirudi nyuma.

Mimi huwa naumia pale ambapo namkosea mwanamke Wangu ,, Ila mwanamke anaponikosea ,huwaga sina mambo mengi sana zaidi ya kumwacha tuuu sababu najua wapo wengiiiiiiii , yaaan wengi sanaaaaaa.


Kikubwa tulia ,, usikurupuke kuingia ktk mahusiano ,,, Najua sketi zahumu zitakufata nyingi kukupa " pole ya faida " ........eti * usijali mwaya ,wanawake tupo tunaofaa * PM kama hizi kua nazo makini sana ,,, Upo ktk wakati mgumu kwaiyo hata maamuzi yako sio sahihi sana ....


All in all ,, Mwenyezi Mungu akusaidie amani na furaha kwasababu ulikua mkweli kwake ila yeye ndo kazengua.
 
Wewe ni mtu mwenye bahati sana.wanawake wengine wameingia ktk ndoa na watu wasio chaguo Lao.wanawatesa hao wanaume hatari . Wanagegedwa na machaguo Yao huku wakubwa ktk hizo ndoa.hivyo endelea na maisha yako ukimuoa huyo wewe ndio utakuwa njia kuu mchepuko.mahukuru mungu umeokoka na Hilo.zaidi ya 50% ya wanaume walio ktk ndoa sasa hivi ni njia kuu mchepuko.yaani sio chaguo la wake zao.Hongera sana,Mungu anakupenda sana na amekuandalia mwanamke atakaekuchagua.
 
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
Siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu

Nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.

Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano, Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia

Wanawake kwanini mnakuwa hivi au tamaa
Wanawake hawaaminik,dawa ni kuwatungua(kuwamimba),il kumpunguzia uthaman kama unajua kabisa unamhitaji kwa dhat
 
Wewe ni mtu mwenye bahati sana.wanawake wengine wameingia ktk ndoa na watu wasio chaguo Lao.wanawatesa hao wanaume hatari . Wanagegedwa na machaguo Yao huku wakubwa ktk hizo ndoa.hivyo endelea na maisha yako ukimuoa huyo wewe ndio utakuwa njia kuu mchepuko.mahukuru mungu umeokoka na Hilo.zaidi ya 50% ya wanaume walio ktk ndoa sasa hivi ni njia kuu mchepuko.yaani sio chaguo la wake zao.Hongera sana,Mungu anakupenda sana na amekuandalia mwanamke atakaekuchagua.
Kabisaa mkuuu ..kuna jamaa angu maisha yake ni safi sana yaan sana ,,sasa jamaaa alipofiwa namkewe ,, siakata kuoa mwanamke mwingine...basi akakapata kadada ivi kapo 28 nayeye yupo 43 ,, sasa mambo yakawa sawa jamaa ukweni Akaanza kujenga nyumba hahahahahah....demu siku moja anamwambia jamaaa ,,nmegair kuolewa naww ,,we umenizidi sana umri .....

Jamaa Wangu wacha apagawe ,alikua km chizi..akabembeleza ,,mwisho dem akakubali kwaashariti makubwa sana.


Jamaa wakafunga ndoa ,,, nachofurahia Akafanikiwa kukapa mimba ,,kakatoa ,,akakapa yapili kakazaa nakwao ile nyumba ikawa imeisha bado madirisha namilango na mapambo ya ndani.

Demu bana akaja akaanza sokosoko duuuhhhhhhh nguo patashika...Mara naondoka ...mpenzi Wangu karudi ..oohhhh yupo tayar kunioa iviivi ..looohhhh jamaaa akakambia poaaa.


Jamaaa akabaki na mwanawe anamwaka mmoja na miezi saba ivi....akampeleka shule .

Mweee dem kameliwa weeeeee kamepigwa nayule newcomer baada ya miezi akakaacha...dem kachanganyikiwa. Kwaboss wake alikua anamuweka mujin hawezi rudi ...uku newcomer hamtaki hahaahahahah.....

Kamembembeleza jamaaa Wangu weeeee TUMEMWAMBIA ACHANA NAKO ,,SAIZI JAMAA KAPATA MMAMA MTU MZM ,, ANAWATOTO WAWILI MAPACHA ,,JAMAA KACHUKUA ,,NAMAMA ANAVYOMUHESHIMU JAMAAA HADI RAHA .

KALE KADEMU Mpaka Leo Kanahangaika tu nawanaume hapo Tabata ... Na tumekapiga BAN ya kumtembelea mtoto.
 
Pole na wala usilazimishe kuwa nae kila linalokuepuka lina kheri na wewe........isitoshe ndoa imeandikwa mbinguni
 
Kuna mwingine anasema kwamba harusi ni disemba ila hajawahi kufanya sex na mpenziwe, akiomba anaambiwa hadi ndoa,sasa Mungu anavyojua kumuumbua mtu mchana kweupe na pia huruma yake Mungu, jamaa kafuma msg za mpenziwe huyo akimuomba kwa udi na uvumba, kwa namna yoyote ampe " muhogo" ....
Jamaa anaanza mikakati ya kuitisha kikao amwanike na kujitoa ...nimempa pole nkamwambia kuna baadhi ya wanawake wana roho za kinyama, je akimletea ukimwi ndani?
Kwaio na mimi nakupa pole brother, huyo ni miongoni wenye roho za kinyama, lakini, usishtuke, tabasamu then mwambie Mungu asante kwa kuniokoa pengine ningepata shida zaidi huko mbeleni(kufumania)
 
Amekufanyia wema kukwambia ukweli!, kubali na songa mbele utampata akupendaye..
Wema? Unaujua wema? Kwanini huo wema asiufanye bado mwaka mmoja ama miaka 2 au hata mwanzoni tu kwamba hamtaki...unasubiri miezi to marriage nd unamwambia ..kwamba aibu yote anaibeba yeye?
 
Kuna Mwanamke alinifanya vibaya sana, huu mwaka sijuwi kama nitausahau aaaaahhhh wanawake wengi wenu ni wauaji walaaahh
 
Naelewa maumivu unayopata na wakati mgumu unaopitia. Lakini jipe moyo kuna maisha zaidi ya hapo na with time utapona... Ila ni kipindi cha kua makini sana kimaamuzi, ni kipindi cha kushirikisha akilili yako zaidi moyo, maisha yako ni yako, yakiharibika ni wewe mwenyewe maana kila mtu kaumbwa na mwili na roho yake pekeyake. Kama akili yako inakwambia kakufanyia ukatili basi jikaze usuendekeze moyo,endelea na maisha yako utampata aliekua rizki yako
 
Hivi kumbe wanaume mnaumizwaga eh? na mnaumia! haya muache aende haikua riziki.Sina la kukwambia tafuta hela tena hela haswaa wanawake wanapenda pesa mno kuliko utu.
kuna wanawake wana jielewa hela haijawahi kuwa kipaumbele kwao. wengi wapenda hela ni wale washamba, malimbukeni usiwajumuishe wote
wewe na huyu mwanamke and co. ndio washamba wa hela unaacha ndoa kisa hela ukatumike kesho unarudi na magoti juu
 
Shukuru Mungu kasema kweli,kuliko kukuongopea,usimlaumu Wala usimlaani,piga moyo konde kisha sema Ahsante Yesu.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
5years? Amekukinai muache tu akaolewe huko mfyuuu asiouchoshe tupo kibao kitaa ndoa bado
 
  • Thanks
Reactions: cpt

Similar Discussions

Back
Top Bottom